Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kahaba kweli hilo!Kampikie mumeo wewe kahaba
Pathetic foolMimi kama mjasiliamali wa kuprinti tisheti nimeanza kupokea order za kuprint tisheti zenye picha ya hayati Magufuli zitazovaliwa siku ya mkutano mkubwa wa Chadema pale jijini Mwanza.
Mtu mmoja aliyenipa order aliuliza.....
Tisheti za JPM zinauzwa wapi, ndio za kuvaa nyakati hizi za mikutano sasa, bila kujali upo mkutano gani, no matter what kuna ujumbe utapenya... tena wenye nguvu... usiobezeka..
Njooni Mwanza tuwalie hela zenu na mtueleze kwa nini mlishangilia kifo cha Magufuli, na mtueleze pia kwa nini watoto wa Mbowe ,Lisu na Lema ni raia wa Marekani.
Niko hapa naprint za kutosha
Sawa, kesho msije mkapiga vichwa tu namikono ilimuonekane wengi.Si ndio vizuri hilo lichama lijiue lenyewe. Huyo dhalimu unatakiwa udhalimu wake uwekwe wazi, kisha NONDO za uhakika zimwagwe mchana kweupe.
Sawa, alafu msisahau kumakejeli huyo mnaemuita muuwaji.Huyo muuaji nani amkubali? Tukutane kesho Furahisha. Hata chawa tunawakaribishe tuwatoe mapepo. Mtabatizwa muache uchawa na madhambi yenu mnayowatendea watz
Mkuu hili nitangazo la biashara au mimi ndio sijaelewaMimi kama mjasiliamali wa kuprinti tisheti nimeanza kupokea order za kuprint tisheti zenye picha ya hayati Magufuli zitazovaliwa siku ya mkutano mkubwa wa Chadema pale jijini Mwanza.
Mtu mmoja aliyenipa order aliuliza.....
Tisheti za JPM zinauzwa wapi, ndio za kuvaa nyakati hizi za mikutano sasa, bila kujali upo mkutano gani, no matter what kuna ujumbe utapenya... tena wenye nguvu... usiobezeka..
Njooni Mwanza tuwalie hela zenu na mtueleze kwa nini mlishangilia kifo cha Magufuli, na mtueleze pia kwa nini watoto wa Mbowe ,Lisu na Lema ni raia wa Marekani.
Niko hapa naprint za kutosha
Chadema ilikuwa ni Dk Slaa baada ya slaa kutoka pale Chadema Sasahivi Chadema nikama cha wauni tu, kipindi hicho Chadema ilikuwa ikukusanya nyomi kusikiliza nondo za dk slaa na akina Myika na Ndee waliokuwa wamepikwa vizuri na slaa, ngoja tusubiri tuone nyomi ya Mbowe maana Sasahivi walisema Chadema ni Mbowe na Mbowe ni Chadema.Ni Aibu
Hivyo ndio unavyoweza kusema, ni aibu kubwa imewapata chadema kwenye maandalizi ya mikutano yao mwanza na musoma.
Nimekuja Mwanza kikazi ila pia kuafatilia mkutano wa chadema. Muitikio wa watu ni mdogo sana, bahati mbaya Wana magari ya matangazo Ila magari yenyewe nimekutana na moja limeisha mafuta.
Watu wapo busy kusaka pesa ili kuinua uchumi. Hawana muda kabisa na hii inayoitwa mkutano wa hadhara.
Hali ikiendelea hivi, huenda mkutano wa kesho ukahairishwa. Ndio, nina uhakika kwa 90% mkutano unaweza kuhairishwa sababu ya muitikio mdogo.
Nitawaletea kila kitachojiri, maana wana kawaida ya ku-edit picha na kutumia zile za 2015 za Lowassa.
Mama ni mama, hupenda Watoto wote watundu, wapole,Malaya, majambazi, mashoga, mateja n.kMsaliti ambaye Rais na mwenyekiti wako wa Chama anakwenda ulaya na kuonana naye faragha kujadili ya maana?
Acha utoto bwana! Au nyie ndio wale wa yule aliyeKWEnda zake?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Watu wapo busy Mwanza, hawana habari na chadema
Nimepewa taarfa hawa wavaa combat feki wanakutana na zomea zomea toka waendee mwanza
Wanapita mitaani na mawani yao makubwa wanapanua vidole viwili wananchi wanawajibu kwa kuwazomea
Hii aibu imefanya chadema kuita viongozi wa umoja fulani wa watu waishio mwanza kutoka kule mkoa fulani wawashawishi ili kuhudhuria mkutano
Pia machinga wanapewa tisheti za bure km watahudhuria mkutano
Pia kuna malori yameandaliwa kutoka mara kusomba watu kwenda kufuta aibu
Hii aibu wanayopata chadema sijaishuhudia toka waanze siasa

Wewe ulitakaje?Kwani ulitakaje?.
Umetumwa nini wewe. Sasa wakipata aibu wewe inakuhusu niniNimepewa taarifa hawa wavaa combat feki wanakutana na zomea zomea toka waendee Mwanza
Wanapita mitaani na mawani yao makubwa wanapanua vidole viwili wananchi wanawajibu kwa kuwazomea
Hii aibu imefanya CHADEMA kuita viongozi wa umoja fulani wa watu waishio Mwanza kutoka kule mkoa fulani wawashawishi ili kuhudhuria mkutano
Pia machinga wanapewa tisheti za bure kama watahudhuria mkutano
Pia kuna malori yameandaliwa kutoka Mara kusomba watu kwenda kufuta aibu
Hii aibu wanayopata CHADEMA sijaishuhudia toka waanze siasa
Tuliza shobo.Nimepewa taarifa hawa wavaa combat feki wanakutana na zomea zomea toka waendee Mwanza