mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Ni sawa vyama hivi viungane. Lakini urais wa ZNZ CHADEMA wamwachie Maalim. Fatma agombee ubunge. Mgombea mwenza atafutwe mwingine.Naunga mkono hoja ila yule Dada Sijuwi kama atakubali ila hata Ismail Jussa anafaa kuwa makamo.
Mnamfukuza mtu to the point anaenda mahakamani ili abakie na ubunge.
Anaanzisha chama chake.
Miaka baadaye unaenda ili ukaungane naye.
All the while sababu ya kumfukuza mnadai ni msaliti.
Dafuq
Unaonaje wewe ukiwa ndiye nyumbu?DUH.....Combinenga ya nyumbu na chui lazima mmoja aliwe
ismail jussa atakuwa ni mgombea wa jimbo la malindi (mji mkongwe) nafasi ya uwakilishi, pia si jambo rahisi kwake kuhamia chadema.Na kumuweka Jussa bila shaka linaweza kuwa ni moja ya makubaliano kati ya ACT na CHADEMA na hapo ndio ugumu wa kumsimamisha mwamama huyu unaweza kutokea ila nahakika mwanamama huyu angefaa sana kuwa mgombea mwenza wa Lissu.
Mfa maji haishi kutapatapa,tume ni huru na ipo kikatiba,na kupitia tume hii wakapatika wahuni wakupiga kelele na kuropoka hovyo hovyo bungeni,(wabunge wa chadema) Leo utasemaje sio huru?Tangu lini mtu anaejiamini kushinda akakataa swala la kuwa na Tume huru na alienza vitisho hata kampeni hazijaanza?
Cool down , ushachanganya mada 'nyumbu' hawapatikani Lumumba ...!, ila wapo huko mitaa ya Ufipa na togoNyumba wako Lumumba wakiongozwa na nyumbu mwenye chongo katika jamii ya nyumbu vipofu wa Lumumba.
Kafeli huyo bwana kabakia kutisha watu tu kwasababu hajiamini.Alieviona vile viwanda vilivyotajwa leo atusaidie tuwaoneshe vijana wakaombe ajira.
Mzee Ni muongo hatariiKafeli huyo bwana kabakia kutisha watu tu kwasababu hajiamini.
Aisee! Kama nyie ndio washauri wa chadema basi hicho chama kina shida sana! Yani mtu yeyote anaemkosoa Magufuli kwenu nyie anafaa kuwa Rais?Na kumuweka Jussa bila shaka linaweza kuwa ni moja ya makubaliano kati ya ACT na CHADEMA na hapo ndio ugumu wa kumsimamisha mwamama huyu unaweza kutokea ila nahakika mwanamama huyu angefaa sana kuwa mgombea mwenza wa Lissu.
Nikwambie huyo Magu hata akisimamishwa na Kwingendu huku bara hachomoki.Aisee! Kama nyie ndio washauri wa chadema basi hicho chama kina shida sana! Yani mtu yeyote anaemkosoa Magufuli kwenu nyie anafaa kuwa Rais?
Sasa mtu kama Fatuma kwa lipi hasa?
Hivi hata hao usalama watakuwa wajinga kiasi gani kukabidhi nchi kwa genge la kihuni namna hiyo?
Hivi kwa akili zenu ile page ya twitter ya Fatuma mnafikiri ndio Tanzania ile?
Naanza kuona mantiki ya wale wanaosemaga ccm itatawala milele!
Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA na ACT-Wazalendo ambao wako katika mazungumzo na vyama vingine kwa lengo la kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Ninahaki combination ya Lissu na Fatma Karume itakuwa na nguvu sana na pia itasaidia ku-balance swala zima la gender huku Maalim Seif akiongeza nguvu kwa kumpigia kampeni huko visiwani.
Vile vile itasaidia sana kuweka mizani sawa iwapo CCM watamsimamisha mtu mwingine kutoka katika ukoo/famili ya mzee Karume kugombea uraisi huko Zanzibar.
Nawachia wakuu muamue sisi wengine tunatoa mawazo tu.
Kwani unaandika kumfurahisha nani mkuu?Nikwambie huyo Magu hata akisimamishwa na Kwingendu huku bara hachomoki.
Mtu anaejali vitu kuliko watu nani anamtaka?
Mi siyo mwanasiasa tho. Notice namna mawazo yangu hayajabanwa na boksi la uccm au ucdmWana cdm ni wana siasa wa ukweli siyo kama nyinyi wavuvi