Uchaguzi 2020 CHADEMA Muungane na ACT-Wazalendo na pia fanyeni mazungumzo na Fatma Karume awe Mgombea mwenza wa Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu

Uchaguzi 2020 CHADEMA Muungane na ACT-Wazalendo na pia fanyeni mazungumzo na Fatma Karume awe Mgombea mwenza wa Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu

Naunga mkono hoja ila yule Dada Sijuwi kama atakubali ila hata Ismail Jussa anafaa kuwa makamo.
Ni sawa vyama hivi viungane. Lakini urais wa ZNZ CHADEMA wamwachie Maalim. Fatma agombee ubunge. Mgombea mwenza atafutwe mwingine.
 
Mimi siungi mkono hito Combination.Fatuma Karume abakie uraiyani tuu kama back up yetu sisi wananchi.Ikitokea Tundu Lisu akawa Raisi halafu akawa dictator basi tuwepo na mwanaharakati wa kumkemea.Maanake sometimes maroho ya udictator huwa yana mvaa mtu baada ya kukabidhiwa dola
 
Wana cdm ni wana siasa wa ukweli siyo kama nyinyi wavuvi
Mnamfukuza mtu to the point anaenda mahakamani ili abakie na ubunge.

Anaanzisha chama chake.

Miaka baadaye unaenda ili ukaungane naye.

All the while sababu ya kumfukuza mnadai ni msaliti.

Dafuq
 
Na kumuweka Jussa bila shaka linaweza kuwa ni moja ya makubaliano kati ya ACT na CHADEMA na hapo ndio ugumu wa kumsimamisha mwamama huyu unaweza kutokea ila nahakika mwanamama huyu angefaa sana kuwa mgombea mwenza wa Lissu.
ismail jussa atakuwa ni mgombea wa jimbo la malindi (mji mkongwe) nafasi ya uwakilishi, pia si jambo rahisi kwake kuhamia chadema.
jussa ni seif, na seif ni jussa.
code nyepesi​
 
Tangu lini mtu anaejiamini kushinda akakataa swala la kuwa na Tume huru na alienza vitisho hata kampeni hazijaanza?
Mfa maji haishi kutapatapa,tume ni huru na ipo kikatiba,na kupitia tume hii wakapatika wahuni wakupiga kelele na kuropoka hovyo hovyo bungeni,(wabunge wa chadema) Leo utasemaje sio huru?
 
kwa iyo umeshafanya teuzi kabsaa ?? duh !! kwanini mgombea uraisi kati ya ACT na Cdm atoke cdm moja kwa moja? Tunasubiri wakae mezani kwanza .
 
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza, hata kama wataunganaje haisaidii kitu.Kipigo cha mbwa koko mwizi wa mayai kiko palepale.
 
Na kumuweka Jussa bila shaka linaweza kuwa ni moja ya makubaliano kati ya ACT na CHADEMA na hapo ndio ugumu wa kumsimamisha mwamama huyu unaweza kutokea ila nahakika mwanamama huyu angefaa sana kuwa mgombea mwenza wa Lissu.
Aisee! Kama nyie ndio washauri wa chadema basi hicho chama kina shida sana! Yani mtu yeyote anaemkosoa Magufuli kwenu nyie anafaa kuwa Rais?
Sasa mtu kama Fatuma kwa lipi hasa?

Hivi hata hao usalama watakuwa wajinga kiasi gani kukabidhi nchi kwa genge la kihuni namna hiyo?

Hivi kwa akili zenu ile page ya twitter ya Fatuma mnafikiri ndio Tanzania ile?

Naanza kuona mantiki ya wale wanaosemaga ccm itatawala milele!
 
Nikwambie huyo Magu hata akisimamishwa na Kwingendu huku bara hachomoki.

Mtu anaejali vitu kuliko watu nani anamtaka?
 
Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA na ACT-Wazalendo ambao wako katika mazungumzo na vyama vingine kwa lengo la kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Ninahaki combination ya Lissu na Fatma Karume itakuwa na nguvu sana na pia itasaidia ku-balance swala zima la gender huku Maalim Seif akiongeza nguvu kwa kumpigia kampeni huko visiwani.

Vile vile itasaidia sana kuweka mizani sawa iwapo CCM watamsimamisha mtu mwingine kutoka katika ukoo/famili ya mzee Karume kugombea uraisi huko Zanzibar.

Nawachia wakuu muamue sisi wengine tunatoa mawazo tu.

Wazo zuri, shida ya Fatuma Karume sio mwanachama wa hivi vyama vya cdm na Act kwa sasa. Siafiki sana huu mwendo wa kupata wagombea wa vodafasta, kisha huko mbele ya safari mtu ashindwe kumech na tabia zilizomo ndani ya vyama husika. Fatuma Karume atumike kwenye amsha amsha tu. Ile voda Fasta ya Lowasaa na mafuriko yake, mpaka sasa bado inatugharimu. 95% ya waliorejea ccm ni waliokuwa wanachama, hasa waliokuja na mafuriko ya lowassa.
 
Nikwambie huyo Magu hata akisimamishwa na Kwingendu huku bara hachomoki.

Mtu anaejali vitu kuliko watu nani anamtaka?
Kwani unaandika kumfurahisha nani mkuu?

Wewe unafikiri kura zinapigwa na zile likes za kwenye page za kina kigogo?
 
Back
Top Bottom