ArtificialIntelligence
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 377
- 734
Wakamate wote ndiyo vizuri wanachochea zaidiMaalimu ameshakamatwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakamate wote ndiyo vizuri wanachochea zaidiMaalimu ameshakamatwa
Acha wapumzike. Miezi miwili campaign. Kazi nzito sana poleniNilitegemea hadi muda huu mmeshaitisha press conference kuelezea kinachojiri kuliko kila mtu kulia kivyake, Ester Bulaya analia kivyake, Heche analia kivyake, Zitto kivyake na Lema kivyake haisaidii, muda huu ni wakati wa kuonyesha mshikamano.
Kama ni ushahidi wa wizi wa kura umeshaonekana, mmejionea wenyewe mawakala wenu wengi wakienguliwa na sasa wanatolewa vituoni wakati muhimu wa kuhesabu na kujumlisha kura. Mmeshuhudia viongozi wenu hasa wenyeviti na makatibu wakivamiwa na kuuwawa hadharani, mawakala wenu wanakamatwa, mnasubiri kitu gani kuongea na wapigakura wenu.
Lissu, Maalimu Seif, Mbowe, Zitto where are you.
Wameingia mazima katika mtegoWakamate wote ndiyo vizuri wanachochea zaidi
Ndicho walichopanga kufanya. Watamuhifadhi ndani na kuwakamata wote watakaoingia barabarani. Watakaokaidi itatumika nguvu kubwa sana kuwavunja miguuMaalimu ameshakamatwa
Kilichotokea ni calculations, baada ya Lissu kuitangazia jumuia ya kimataifa ndiyo maandamano yanaanza. ICC watafanya uchunguzi sababu ya Maalim kuwekwa ndani. Kumbuka Lissu amewaomba majirani pia wasiukubali ichaguzi huu uliokosa haki.Ndicho walichopanga kufanya. Watamuhifadhi ndani na kuwakamata wote watakaoingia barabarani. Watakaokaidi itatumika nguvu kubwa sana kuwavunja miguu
Yaani ni lazima Hussein Ali Hassan Mwinyi aapishwe. Nina uhakika hata Maalim Seif alikuwa anajua hawa watu hawatompa Nchi milele daima
Hakuna mwenye muda wa kupoteza, nendeni nyie na familia zenu.BREAKING NEWS
Mwenyekiti wa ACT Maalim Seif Sharif Hamad, Makamo Mwenyekiti Juma Duni Haji Ismail jussa na Viongozi wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Wamekamatwa muda huu Michenzani walikuwa wanaongoza maandamano ya kutafuta haki.
Muda wa Ukombozo ni sasa. Kila pahala kila mtanzania atoke Sasa....Unguja asibaki mtu nyumbani.
Shida kubwa zaidi ilikuwa ni kukosekana kwa nguvu ya kudai tume huru mapema kabla ya uchaguzi, huyu bwana kwa jinsi alivyojaza pamba kwenye masikio na boriti kwenye macho sidhani kama atarudi nyuma, angeweza kula na vipofu na kuwaachia baadhi ya maeneo yaliyozoeleka, ila ndio hivyo kaamua kunyoosha kila sehemuWameingia mazima katika mtego
Wapinzani wenyewe wanatengeneza mazingira ya kuibiwa,ingawa sina uhakika kama kura zinaibiwa kweli.Mwaka 2015 Mawakala wa Mnyika waliombwa kusimamia bure na wengi waliombwa kutoka makanisa ya kilokole.
Wengine hata ile ahadi ya nauli hawakupewa baada ya uchaguzi kuisha
Ni kweli mkuu lakini pia Chadema hawawezi kukwepa lawama. Embu ona walivyokua wamejikunyata mpaka Lissu alipokuja na kuendesha kampeini bila woga! Chama kikuu cha upinzani kimeshindwa kuonyesha leadership kabisa raia waoga huko barabarani watafanya nini? Tayari wanaumia na umaskini! Naturally raia lazima wawe waoga.Hapa hamna wa kulaumu nazingira ya siasa Tz yalikua magumu atakukusanya tu wana chama wako mkiwa ndani ya hoteli au nyumbani ulikua unakamatwa na police, lawama inakuja kwetu raia sie ni waoga tumeshidwa kudhibiti hiyo hali ya udikiteta
Let us hope and seeKilichotokea ni calculations, baada ya Lissu kuitangazia jumuia ya kimataifa ndiyo maandamano yanaanza. .
Wewe ni wakupuuzwa tu.
Hakuna mwenye muda wa kupoteza, nendeni nyie na f
Ni vizuri alivyofanya lakini mwaka huu hatuko peke yetu. Kumbuka 2015 mpaka serikali ilimuondoa muwakilishi wa UNDP kwa msaada alikmpa Maalim. Sasa hivi wamerudia yale yale.Shida kubwa zaidi ilikuwa ni kukosekana kwa nguvu ya kudai tume huru mapema kabla ya uchaguzi, huyu bwana kwa jinsi alivyojaza pamba kwenye masikio na boriti kwenye macho sidhani kama atarudi nyuma, angeweza kula na vipofu na kuwaachia baadhi ya maeneo yaliyozoeleka, ila ndio hivyo kaamua kunyoosha kila sehemu
Mkuu hakuna mbunge wa CHADEMA wala ACT kwa Tanzania bara atakayetangazwa.Watawaridhisha kwa kuwapa wabunge kadhaa. Halafu nafasi za urais zote wanachukua ccm. Wakati ilitakiwa kuwa kinyume chake.
Muda ni Sasa. Kura zinakamatwa kwenye malori halafu tunasubiri zihesabiwe!!?? Tunahesabu nn?
Wapo in shock (kumbuka vipato vyao vimeguswa) wape mda pressure ipungue kidogo halafu hata hivyo low turn out imewavunja sana nguvu. Check body language ya TL utaelewa.Nilitegemea hadi muda huu mmeshaitisha press conference kuelezea kinachojiri kuliko kila mtu kulia kivyake, Ester Bulaya analia kivyake, Heche analia kivyake, Zitto kivyake na Lema kivyake haisaidii, muda huu ni wakati wa kuonyesha mshikamano.
Kama ni ushahidi wa wizi wa kura umeshaonekana, mmejionea wenyewe mawakala wenu wengi wakienguliwa na sasa wanatolewa vituoni wakati muhimu wa kuhesabu na kujumlisha kura. Mmeshuhudia viongozi wenu hasa wenyeviti na makatibu wakivamiwa na kuuwawa hadharani, mawakala wenu wanakamatwa, mnasubiri kitu gani kuongea na wapigakura wenu.
Lissu, Maalimu Seif, Mbowe, Zitto where are you.
zipo kwenye mabegi unazlindajeBado mpo vituoni kulinda kura?