Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

Jiwe lazima ashinikizwe. Usiwapangie. Umeona matamko ya mabalozi wa US na Canada? Sasa jiwe aendelee kuwa hard headed aone! Atakamatwa kama ilivyokamatwa bombardier yake.
[emoji3][emoji3][emoji3] mawazo mengine hayasaidii
Wazungu wanaangalia biashara zao mkuu
 
Wazee wa mabakabaka wamevalishwa sare za wagambo na polisi, chonde chonde kijana kaa hapo kwenye keybord vinginvyo hayo meno ya kibarazani watayamwaga na utaishia kutamka thamaki badala ya samaki
 
Uchaguzi umekwisha tufanye kazi zingine!
Wakishindwa tena wataomba uchaguzi mwingine mpaka hapo watakaposhinda ndo utakua mwisho wa uchaguzi.
 
Ndugu WATANZANIA,
Hii ndiyo fursa pekee ya kudai UHURU wetu kutoka kwa MKOLONI wa CHATO. Nyerere na wenzie walipigana wakamtoa Mkoloni MWINGEREZA na tukawa huru kuanzia 1961 mpaka 2015 alipokuja huyu MRUNDI wa CHATO...
Kwa hiyo hao wemgine waliopiga kula kuchagua ccm ni waKenya?
 
Kuna rais amewahi kutekwa na CIA akiwa angani halafu akafichwa kwa miezi sita. Siku anatolewa anakuta nchini kwake kuna rais mpya. Endeleeni kumdanganya jiwe.
Unaamini sana kwenye miujiza..
Sali sana itokee mkuu
 
Huo umateka wa fikra jisemee mwenyewe na moyo wako. Kuvunja maandamano ya amani nayo ni haki ya kisheria oale ambapo mandanano ya amani yatahatarisha amani iliyoko na uharibifu wa mali za watu. Sasa kama wako vibaja kama wewe ambao wabaona maandamano ni fursa lazima wanyamazishwe.

Msisitizo ni viongozi wanaohamasisha maandamano wajibishwe kwa matendo yao.
Sawa, jitulize basi kidogo ufanye masahihisho! Kuna mtu anakufukuza? Mwambie Polepole umeniita kibaka, atakuongezea buku kwenye malipo ya leo!
 
Tulitegemea kuyasikia haya baada ya Uchaguzi kutoka kwa hawa vibaraka wa mabeberu kwahiyo hapo hakuna kipya.

Wanatulazimisha wananchi kupinga matokeo ambayo Sisi wenyewe ndo tumeyapigia Kura....
Umenena kwa Weledi sana
 
Huyu Tundu Lisu ataweza kweli kukimbia na kale kamguu kake likitokea seke seke; Maalim Sefu naye atautupa wapi ule mkongojo wake?
 
Huyu Tundu Lisu ataweza kweli kukimbia na kale kamguu kake likitokea seke seke; Maalim Sefu naye atautupa wapi ule mkongojo wake?
ndio ujue ulaghai wao, kama kweli wanamaanisha watokee wakae mbele ya waandamanaji waongoze wao hiyo J3 tena iwe mji mkubwa km DSM, Arusha, Mwanza hivi
 
Kigogo na Amstadamu wamesema uchaguzi utarudiwa 😂😂😂
 
Kuamini upande mmoja nisawa na kulala kwenye kitan
da chenye miguu mitatu
 
Kashikwa pabaya na kwa kuwa mbunge wa chadema kasusia ushindi imeipa chadema credit kubwa kusonga mbele.
Kinachofuata ni mashinikizo hata watakapoandamana ni wazi kuyaacha maandamano ni tatizo na kuyazuia maandamano ni tatizo zaidi.
 
Back
Top Bottom