Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
[emoji3][emoji3][emoji3] mawazo mengine hayasaidiiJiwe lazima ashinikizwe. Usiwapangie. Umeona matamko ya mabalozi wa US na Canada? Sasa jiwe aendelee kuwa hard headed aone! Atakamatwa kama ilivyokamatwa bombardier yake.
Comment ya kijinga sana hii...Tupo nao bega kwa bega nyuma ya keyboard na id fake
Uko serious?CCM walidhani uchaguzi ni mchezo wa kombolela, kumbe ngoma bado mbichi.
Kwa hiyo hao wemgine waliopiga kula kuchagua ccm ni waKenya?Ndugu WATANZANIA,
Hii ndiyo fursa pekee ya kudai UHURU wetu kutoka kwa MKOLONI wa CHATO. Nyerere na wenzie walipigana wakamtoa Mkoloni MWINGEREZA na tukawa huru kuanzia 1961 mpaka 2015 alipokuja huyu MRUNDI wa CHATO...
Unaamini sana kwenye miujiza..Kuna rais amewahi kutekwa na CIA akiwa angani halafu akafichwa kwa miezi sita. Siku anatolewa anakuta nchini kwake kuna rais mpya. Endeleeni kumdanganya jiwe.
Sawa, jitulize basi kidogo ufanye masahihisho! Kuna mtu anakufukuza? Mwambie Polepole umeniita kibaka, atakuongezea buku kwenye malipo ya leo!Huo umateka wa fikra jisemee mwenyewe na moyo wako. Kuvunja maandamano ya amani nayo ni haki ya kisheria oale ambapo mandanano ya amani yatahatarisha amani iliyoko na uharibifu wa mali za watu. Sasa kama wako vibaja kama wewe ambao wabaona maandamano ni fursa lazima wanyamazishwe.
Msisitizo ni viongozi wanaohamasisha maandamano wajibishwe kwa matendo yao.
Acha kutisha watu ukiwa under keyboard! Kama na wewe Unaweza kweli kutahiri jitambulishe uhalisia wako!Natamani uandamane kweli, tukurahiri mara ya pili.
Najua unatania, ila natamani iwe kweli
Umenena kwa Weledi sanaTulitegemea kuyasikia haya baada ya Uchaguzi kutoka kwa hawa vibaraka wa mabeberu kwahiyo hapo hakuna kipya.
Wanatulazimisha wananchi kupinga matokeo ambayo Sisi wenyewe ndo tumeyapigia Kura....
ndio ujue ulaghai wao, kama kweli wanamaanisha watokee wakae mbele ya waandamanaji waongoze wao hiyo J3 tena iwe mji mkubwa km DSM, Arusha, Mwanza hiviHuyu Tundu Lisu ataweza kweli kukimbia na kale kamguu kake likitokea seke seke; Maalim Sefu naye atautupa wapi ule mkongojo wake?
π π π π π π πTupo nao bega kwa bega nyuma ya keyboard na id fake
Wanaweza kuugharimia kweli hao akina Kigogo?Kigogo na Amstadamu wamesema uchaguzi utarudiwa πππ
Wanaweza kuugharimia kweli hao akina Kigogo?