Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

Sijui Membe ana hali gani saa hii. Safari yake kuomba msamaha ili arudishwe CCM baada ya kufukuzwa inazidi kufanywa kuwa rahisi sana.
 
Ahaaaa, imeisha hiyo.

JPM akiapishwa ni marufuku siasa mpaka 2025.
#Ni yeye.
#tunajambo letu.
#Armstadam kasema.
#Ponda na Bagonza wamesema.
#The Haugue.

Mwishowake ulikua ni tarehe 28 October,sasa nikuchapa kazi.
 
Atakamatwa kama ilivyokamatwa bombardier yake.
Akamatwe? This will never happen. Hao watu wanaongea tu. Zero action. Rais Assad wa Syria anaua watu daily ila hajaguswa hata sikio hadi leo. “Mabeberu” wapo vizuri kwenye kutoa matamko tu.

The worst thing that can happen labda ni kunyimwa/kupunguziwa misaada/mikopo. Ila kwa kuwa Magufuli anadai Tanzania ni tajiri sana na tunaweza kuwa donaa kantrii, who knows, labda anazo pesa na hahitaji mikopo yao😊
 
Mwembieni apunguze gharama ya kumlinda sasa hivi Kila mtu anampenda anaweza hata tembea bila bodigadi.
 
Waache uselfish. Walipokuwa wanashinda kina Mbowe, walikuwa hawajitoi. Leo ugali umehana kina Mbowe wanakua na roho ya kwa nini! Hata wakijitoa, maadam akaunt namba zao zipo, wataendelea kuingiziwa mshahara kwa kipindi chote cha miaka mitano na hakuna uchaguzi ambao umefanyika.
 
Wasaliti,

Wana nini cha kuwaambia Watanzania?

Tumewashitukia. Tumeamua kumpa JPM. Atuongoze kwa nchi ya Ahadi.
 
Back
Top Bottom