Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
Chama Tawala kina mizizi mikubwa sana hapa Tanzania na hakuna njia ya kupambambana nacho ili kukiondoa,iwe kwa boksi la kura au hata nje ya boksi la kura but kwa bahati mbaya mno viongozi waandamizi pamoja na Makada wa Chama wamekuwa na Mawazo finyu juu ya upinzani kitu ambacho kinapekekea CDM kupata AIRTIME kwa sehemu kubwa.
Kuna muda unavyojaribu kuuzima moto ndivyo unajitahidi kuuchochea,CCM hasa Rais na kmati zake wajikite kwenye kuboresha huduma kwa jamii njia nzuri ya kudhibiti upinzani ni control transaction na siyo kushughulikia watu,jazba zinaweza kupoteza nafasi yenu ya ushawishi katika nchi.
NAWASILISHA