NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,920
CHADEMA YAWEZA KUWA NDOGO KWELI SHIDA YA CHADEMA NI LILE LIDUDE PALE KWENYE KITI.LILE LI TUNDU LISSU.FUMBUA MACHO.
Lissu wala sio shida kwasababu siasa za hivyo zimeanza toka muda mrefu.Kwasababu walijikita katika propaganda za kisiasa zaidi badala yakuact smart katika kuzipangilia hizo propaganda kwa namna ya kuzitekeleza ata kama sio kwa haraka au kwanamna wapinzani wanavyokosoa.CHADEMA YAWEZA KUWA NDOGO KWELI SHIDA YA CHADEMA NI LILE LIDUDE PALE KWENYE KITI.LILE LI TUNDU LISSU.FUMBUA MACHO.
Lakini tukubali wanamuogopa au labda watanzania wote ni vichaa labda.maana kiendeleacho zama hiz iklnashangaza na kutia aibu kiasi.Lissu wala sio shida kwasababu siasa za hivyo zimeanza toka muda mrefu.Kwasababu walijikita katika propaganda za kisiasa zaidi badala yakuact smart katika kuzipangilia hizo propaganda kwa namna ya kuzitekeleza ata kama sio kwa haraka au kwanamna wapinzani wanavyokosoa.