Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa makubaliano ya kimaandishi kabisa although kushinda huwa ni ndoto ya mfalme juha kutokana na kutokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi.
Wana CHADEMA wengi wana imani na Membe tatizo ni bwana huyu asipoipata hii nafasi kwa wakati huu hatakawia kufanya kama Ndg. Slaa alivyofanya njia panda ndio hii.
Wana CHADEMA wengi wana imani na Membe tatizo ni bwana huyu asipoipata hii nafasi kwa wakati huu hatakawia kufanya kama Ndg. Slaa alivyofanya njia panda ndio hii.