Umesoma Katiba lakini? Waziri Mkuu lazima awe mbunge wa kuchaguliwa siyo kuteuliwa.kwa nafasi kumi za uteuzi wa rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma Katiba lakini? Waziri Mkuu lazima awe mbunge wa kuchaguliwa siyo kuteuliwa.kwa nafasi kumi za uteuzi wa rais
Kama Lissu ni kichaa aliyesema atampelekea mama yake mzazi mwanaume baada ya kupewa jogoo ni nani???Yaani tuongozwe na kichaa? Hivi ukimtazama tu Lissu usoni, huoni kama kuna fyuzi moja imeungua.
sasa mnatengeneza jinaiKama Lissu ni kichaa aliyesema atampelekea mama yake mzazi mwanaume baada ya kupewa jogoo ni nani???
Membe sio Lowassa, Lissu atakaposhinda uelewa wake wa kidiplomasia ya nje ya kudai ushindi wake hauwezi kuifikia diplomasia ya membe kimataifa katika kuidai haki yake uzi ni mwepesi lakini tuuchambue kwa akili nyingi kidogo sana sana Lissu atakapodhania amepokwa ushindi ataamrisha maandamano which is not good way badala ya kusolves kimataifa zaidi bila ya kuumiza wananchi.
Kweli mzee wa MIGA lazima awe Rais tuwalipe ACCACIA Mabilioni ya dola zao.Mataga kazini. Na mtataga mwaka huu. Go Lissu Go Lissu.
Watu lazima mpoteane mwaka huu. Na Lissu ndo Raisi wenu mwaka huu, mpende msipende.
Waungane, waache tamaa. Nilitegemea mpaka sasa wawe wamefikia makubaliano ya kumsimika mgombea mmoja kwenye ngazi zote kuanzia urais mpaka udiwani.
Kumbuka hii ni Tanzania siyo TanganyikaWhat if iwe vise versa, Lisu for President, Nyalandu Vice President and Membe - PM?
Nijibu swali langu kama Lissu ni kichaa sasa wewe niambie , Aliyesema atampelekea Mama yake mzazi mwanaume baada ya kupewa jogoo huyo ni nani???sasa mnatengeneza jinai
Ila sie tuanze kujiandaa kuimba kale kawimbo maarufu ka "...tumeibiwaaa"Jiandae kisaikolojia ndugu, huyo ndiye Rais wa JMT ajaye
Yaani mtu aongee kwa masikhara na utani, nyinyi mjifanye mnachukulia serious. Hivi nani anaeweza kumuoza mama yake? Vitu vingine muwe mnafikiria kabla ya kuongea.Kama Lissu ni kichaa aliyesema atampelekea mama yake mzazi mwanaume baada ya kupewa jogoo ni nani???
Wewe mwenyewe unakili kuwa Hakuna anayeweza kumuoza Mama yake mzazi. Sasa nisaidie umjibie mwenzako hapo juu aliyesema Lissu ni kichaa....Yaani mtu aongee kwa masikhara na utani, nyinyi mjifanye mnachukulia serious. Hivi nani anaeweza kumuoza mama yake? Vitu vingine muwe mnafikiria kabla ya kuongea.
Aliyesema ndio anaweza, kwani ww n msemaji wake unakanusha??Yaani mtu aongee kwa masikhara na utani, nyinyi mjifanye mnachukulia serious. Hivi nani anaeweza kumuoza mama yake? Vitu vingine muwe mnafikiria kabla ya kuongea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wengine akili zenu banaaMembe sio Lowassa, Lissu atakaposhinda uelewa wake wa kidiplomasia ya nje ya kudai ushindi wake hauwezi kuifikia diplomasia ya membe kimataifa katika kuidai haki yake uzi ni mwepesi lakini tuuchambue kwa akili nyingi kidogo sana sana Lissu atakapodhania amepokwa ushindi ataamrisha maandamano which is not good way badala ya kusolves kimataifa zaidi bila ya kuumiza wananchi.
Anzisha chama chako ukakiunganishe na cha huyo Membe.
Mshikamano tulionao ni kumsimamisha Tundu Lissu hakuna cha Membe wala Nyarandu.Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa makubaliano ya kimaandishi kabisa although kushinda huwa ni ndoto ya mfalme juha kutokana na kutokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi.
Wana CHADEMA wengi wana imani na Membe tatizo ni bwana huyu asipoipata hii nafasi kwa wakati huu hatakawia kufanya kama Ndg. Slaa alivyofanya njia panda ndio hii.
Hivi Jpm na lissu nani zaidi kwa ukichaa? Ukimpa mike tu utagundua nani zaidiYaani tuongozwe na kichaa? Hivi ukimtazama tu Lissu usoni, huoni kama kuna fyuzi moja imeungua.
Haahaa ombea achaguliwe tu na wajumbe utaona.lissu na magu patawaka motoHivi mbona mnapenda kujifikirisha vitu ambavyo havifikirishi. Eti Lissu atadai ushindi wake, huo ushindi kwanza ataupatia wapi? hawezi kupata hata asilimia 10 ya kura amejitahidi sana asilimia 2.
HII NI BATILI MAANA SIONI KUTOKA KANDA ZA KASKAZINI NA JUU YA KULIKUU, HUU UCHAGUZI NI BURE KABISA. KWANIN KUSI NA KATI TUU, INAMAANA SISI WA KASKAZINI TUMEKUWA MANYUMBU AMBAYO HATUWEZI KUONGOZA INJI HII??What if iwe vise versa, Lisu for President, Nyalandu Vice President and Membe - PM?