Uchaguzi 2020 CHADEMA ni lazima ioneshe mshikamano juu ya mgombea mmoja, Lissu awe Waziri Mkuu

TL ni mpinzani wa kweli.
BM ni sawa na Nasari au Lijualikali pengine ni sawa na L Nyalandu.

BM sasa kimyaaaaaaaa heri hata EL !!!
 
Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa makubaliano ya kimaandishi kabisa although kushinda huwa ni ndoto ya mfalme juha kutokana na kutokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi.

Wana CHADEMA wengi wana imani na Membe tatizo ni bwana huyu asipoipata hii nafasi kwa wakati huu hatakawia kufanya kama Ndg. Slaa alivyofanya njia panda ndio hii.

Aidha iwe CHADEMA ama ACT - WAZALENDO, kwa maoni yangu watakuwa wajinga sana kama watampa Bernard K. Membe kuwa mgombea Urais kuviwakilisha vyama hivi huku wakitambua kabisa huyu ni "mwanachama maslahi" tu aliyejiunga jana huku mwanachama wakongwe waliojipanga miaka nenda rudi wakiwasukumiziwa nje ya haki yao ya KUCHAGULIWA....

Membe Bernard K, kama kweli na yake ni kumwona hasimu wake John Magufuli - CCM akiangukia pua mwaka huu, basi lazima awe mgombea yeye....

Anaweza kuwa sambamba na TL kwenye jukwaa la kampeni akimsadia kumnadi na kuichanachana CCM mshindani mkuu wa UKAWA ya 2020...

Mimi ni TUNDU A.M. LISSU for URT presidency - 2020. Siungi mkono Membe kupewa nafasi hiyo. Yeye ndiye anaweza kuwa PM au aka resume nafasi yake ya Foreign Minister tena....

La hawataki, ACT waende na Membe wao, CHADEMA na Tundu Lissu na CCM na Magufuli wao. Wakutane kiringeni huko huko...
 
Kwahiyo Kabuudi ni mbunge wa jimbo gani?
Duh..SASA ndugu mbona hivyo tena?! SASA kabudi ni waziri mkuu !? Soma ata habari Tafadhali..natambua sio kila aliyeko kwenye forum hii ana uelewa wa current issues lakini nadhani Kwa swali lako nahisi kuna uzembe fulani katika nchi hii.
 
What if iwe vise versa, Lisu for President, Nyalandu Vice President and Membe - PM?

You seem to lack some information as stated by URT constitution...

Your combination is UNCONSTITUTIONAL..!

According to constutution of URT, states that;

If the president is from other part of union (muungano), then the VP must come from the other side....

Tundu Lissu and Nyalandu are both residents of Tanzania Mainland. One can not be president and the other Vice President....!!

For PM, there's no problem anyone from either sides of the union can hold the position....

However, the normality, customs favour residents of of Tanzania Mainland to this administrative position....
 
Duh..SASA ndugu mbona hivyo tena?! SASA kabudi ni waziri mkuu !? Soma ata habari Tafadhali..natambua sio kila aliyeko kwenye forum hii ana uelewa wa current issues lakini nadhani Kwa swali lako nahisi kuna uzembe fulani katika nchi hii.
Haikusaidii kitu
 
Membe sio Lowassa, Lissu atakaposhinda uelewa wake wa kidiplomasia ya nje ya kudai ushindi wake hauwezi kuifikia diplomasia ya membe kimataifa katika kuidai haki yake uzi ni mwepesi lakini tuuchambue kwa akili nyingi kidogo sana sana Lissu atakapodhania amepokwa ushindi ataamrisha maandamano which is not good way badala ya kusolves kimataifa zaidi bila ya kuumiza wananchi.
"Tusifanye kazi ya uaguzi na kupiga ramli"- Tundu A Lissu, unachoongea ni kurasimisha ramli yako , eti akishindwa atachochea maandamano, ni lini alishawahi kuchochea maandamano, hiyo technology ya time travelling ya kujua atafanya hivyo akishindwa umeitoa wapi??
 
Haikusaidii kitu
SASA chief kama hujui waziri mkuu ni Nani.. seriously Mie nakusaidia vipi?! Au hujasoma ili bandiko linahusu nini?!.. okay naomba ni assume ni kweli hujui kitu..ni hivi; mleta mada kashauri MTU mwingine agombee urais Membe/Nyalandu alafu Tundu Lissu apewe nafasi ya WAZIRI MKUU. hopefully mpaka hapo umepata mwanga wa kinachoendelea na kama pia hujui namna waziri mkuu anapatikana katika Tanzania Tafadhali usisite kuuliza, sitachoka kukujuza ili twende sawa.
 
Haisaidii kitu
 
Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa makubaliano ya kimaandishi kabisa although kushinda huwa ni ndoto ya mfalme juha kutokana na kutokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi.

Wana CHADEMA wengi wana imani na Membe tatizo ni bwana huyu asipoipata hii nafasi kwa wakati huu hatakawia kufanya kama Ndg. Slaa alivyofanya njia panda ndio hii.
Umeandika upumbavu mtupu, nendeni mkamfanye Membe rais wa kijiji chenu
 
Kwa kuitumia ACT ndio maana mnalilia muungano na Chadema sio. Safari hii Chadema inasimamia show yenyewe.
Kweli aisee. Tumeshuhudia idad kubwa ya mamluki wakiunga juhudi na kurudi CCM
 
Waungane, waache tamaa. Nilitegemea mpaka sasa wawe wamefikia makubaliano ya kumsimika mgombea mmoja kwenye ngazi zote kuanzia urais mpaka udiwani.
Waungane na ccm?? Hujui most of them ni vya ccm?
 
Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa makubaliano ya kimaandishi kabisa although kushinda huwa ni ndoto ya mfalme juha kutokana na kutokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi.

Wana CHADEMA wengi wana imani na Membe tatizo ni bwana huyu asipoipata hii nafasi kwa wakati huu hatakawia kufanya kama Ndg. Slaa alivyofanya njia panda ndio hii.
Kwa hiyo akigombea membe ndio tume itakuwa huru?
Membe alisha pitishwa aliko omba ukimbizi, acha chadema nao wafanye maamuzi yao wakutane kwenye uchafuzi uliokwisha chafuliwa na ccm.
 
Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa makubaliano ya kimaandishi kabisa although kushinda huwa ni ndoto ya mfalme juha kutokana na kutokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi.

Wana CHADEMA wengi wana imani na Membe tatizo ni bwana huyu asipoipata hii nafasi kwa wakati huu hatakawia kufanya kama Ndg. Slaa alivyofanya njia panda ndio hii.
umetuwa? walio kutuma kawaambie sijawakuta
 
Back
Top Bottom