darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 1,899
- 4,055
Membe bado ni CCM labda yeye ndio amsaport lisu kisha yeye ndio awe PM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why Nyalandu? What has he done kwa TaifaWhat if iwe vise versa, Lisu for President, Nyalandu Vice President and Membe - PM?
Wana Chadema wengi hawawezi kuwa na imani na Membe then wakose imani na Liu wewe utakuwa unazunumzia watu wengine tofauti na wana Chadema!Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa makubaliano ya kimaandishi kabisa although kushinda huwa ni ndoto ya mfalme juha kutokana na kutokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi.
Wana CHADEMA wengi wana imani na Membe tatizo ni bwana huyu asipoipata hii nafasi kwa wakati huu hatakawia kufanya kama Ndg. Slaa alivyofanya njia panda ndio hii.
Kweli kabisa, ndio maana licha ya ACT kuandika barua kibao na kubembeleza hadharani, Chadema hawaongei chochote kuhusu hio fake coalition.Bora Chadema isimame yenyewe kama watashindwa kuelewana.Na hii itairudisha Chadema kwenye misingi yake ya awali.Baada ya uchaguzi hao wafuata ulaji watayeyuka na kubakiza Chadema Asilia.Kuna haja gani ya ushirikiano wa mashaka huku mkijua hakutaleta mafanikio.
Tulia wewe sindano ikuingie vyema kusudi upone. Lissu ndiye mgombea na mshindi wa uraisUmoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa makubaliano ya kimaandishi kabisa although kushinda huwa ni ndoto ya mfalme juha kutokana na kutokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi.
Wana CHADEMA wengi wana imani na Membe tatizo ni bwana huyu asipoipata hii nafasi kwa wakati huu hatakawia kufanya kama Ndg. Slaa alivyofanya njia panda ndio hii.
Mataga kazini. Na mtataga mwaka huu. Go Lissu Go Lissu.
Watu lazima mpoteane mwaka huu. Na Lissu ndo Raisi wenu mwaka huu, mpende msipende.
Kwa kuitumia ACT ndio maana mnalilia muungano na Chadema sio. Safari hii Chadema inasimamia show yenyewe.
Membe sio Lowassa, Lissu atakaposhinda uelewa wake wa kidiplomasia ya nje ya kudai ushindi wake hauwezi kuifikia diplomasia ya membe kimataifa katika kuidai haki yake uzi ni mwepesi lakini tuuchambue kwa akili nyingi kidogo sana sana Lissu atakapodhania amepokwa ushindi ataamrisha maandamano which is not good way badala ya kusolves kimataifa zaidi bila ya kuumiza wananchi.
Nasema hivi CDM, wasipompitisha lisu kugombea urais watu hatutawaelewa! Acha tushindwe tukiwa na Lissu! Hatutalaumu mtu.
Bila. Lissu Jpm atakwenda kulala
Jiandae tu ndugu. Huyo unayesema kilema ndo Raisi wako hapo October 2020
Upuuzi mtupu.Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa makubaliano ya kimaandishi kabisa although kushinda huwa ni ndoto ya mfalme juha kutokana na kutokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi.
Wana CHADEMA wengi wana imani na Membe tatizo ni bwana huyu asipoipata hii nafasi kwa wakati huu hatakawia kufanya kama Ndg. Slaa alivyofanya njia panda ndio hii.
Anatakiwa mtu ambaye ataweza kutetea ushindi wake kwa uwezo wa kidiplomasia alio nao na sio kubakia kulalama
nimeibiwa nimeibiwa nimeibiwa.
Bongo wanasiasa wa upinzani karibu wote ni waigizaji tu. Kilele nyiiingi, matendo sifuri.
WAnachadema wa wapi wewe? Membe hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi. Kama mnataka watu wote waondoke, wamteue membe. Wanaompigia debe mtu huyu ni wale wasio na ufahamu vichwani, ama miaka 10 iliyopita walikuwa watoto bado. Achana na membe unaharibu hali ya hewa.
Acha utani bana.
Mchukueni nyie akatetee ushindi wenu. Chadema ni Lisu.Anatakiwa mtu ambaye ataweza kutetea ushindi wake kwa uwezo wa kidiplomasia alio nao na sio kubakia kulalama
nimeibiwa nimeibiwa nimeibiwa.
Awe waziri mkuu Kwa ubunge upi?
Nani anayeweza kuutetea ushindi maana watanzania pia wanachoka sana kusimama mistari mirefu ya kupiga kura bila tumaini lao kutimia WHO CAN PROTECTS ITS WIN diplomatically without chaos hao wengine wataona fujo ndio solutions