Uchaguzi 2020 CHADEMA ni lazima ioneshe mshikamano juu ya mgombea mmoja, Lissu awe Waziri Mkuu

Kwa kuitumia ACT ndio maana mnalilia muungano na Chadema sio. Safari hii Chadema inasimamia show yenyewe.
Bora Chadema isimame yenyewe kama watashindwa kuelewana.Na hii itairudisha Chadema kwenye misingi yake ya awali.Baada ya uchaguzi hao wafuata ulaji watayeyuka na kubakiza Chadema Asilia.Kuna haja gani ya ushirikiano wa mashaka huku mkijua hakutaleta mafanikio.
 
Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa makubaliano ya kimaandishi kabisa although kushinda huwa ni ndoto ya mfalme juha kutokana na kutokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi.

Wana CHADEMA wengi wana imani na Membe tatizo ni bwana huyu asipoipata hii nafasi kwa wakati huu hatakawia kufanya kama Ndg. Slaa alivyofanya njia panda ndio hii.
Lissu ndo Rais
 
HAPANA!
 
UZURI WAJUMBE HAWAJAWAHI KUPANGIWA WANAJUA JUKUMU LAO with a smile period
 
Mataga kazini. Na mtataga mwaka huu. Go Lissu Go Lissu.

Watu lazima mpoteane mwaka huu. Na Lissu ndo Raisi wenu mwaka huu, mpende msipende.
Yaani tuongozwe na kichaa? Hivi ukimtazama tu Lissu usoni, huoni kama kuna fyuzi moja imeungua.
 
Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa makubaliano ya kimaandishi kabisa although kushinda huwa ni ndoto ya mfalme juha kutokana na kutokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi.

Wana CHADEMA wengi wana imani na Membe tatizo ni bwana huyu asipoipata hii nafasi kwa wakati huu hatakawia kufanya kama Ndg. Slaa alivyofanya njia panda ndio hii.
Meko hana ujanja huku kuna Membe huku kuna Lissu anapigwa kote kote.
 
Membe sio Lowassa, Lissu atakaposhinda uelewa wake wa kidiplomasia ya nje ya kudai ushindi wake hauwezi kuifikia diplomasia ya membe kimataifa katika kuidai haki yake uzi ni mwepesi lakini tuuchambue kwa akili nyingi kidogo sana sana Lissu atakapodhania amepokwa ushindi ataamrisha maandamano which is not good way badala ya kusolves kimataifa zaidi bila ya kuumiza wananchi.
Hivi mbona mnapenda kujifikirisha vitu ambavyo havifikirishi. Eti Lissu atadai ushindi wake, huo ushindi kwanza ataupatia wapi? hawezi kupata hata asilimia 10 ya kura amejitahidi sana asilimia 2.
 
Waungane, waache tamaa. Nilitegemea mpaka sasa wawe wamefikia makubaliano ya kumsimika mgombea mmoja kwenye ngazi zote kuanzia urais mpaka udiwani.
Chadema kuna wachaga pale wana tamaa. Pesa mbele. Ukizungumzia mgombea mmoja wanataka asilimia kubwa watoke kwao ili wapate ruzuku. Waulize UKAWA 2015 hawana hamu nao.
 
they must rely on majority thought
 
Back
Top Bottom