Clemence Mwandambo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 1,378
- 1,427
Naona wengi wanapendekeza Membe au Nyalandu, kwa nini sio Lisu! Sijui, Ipo sababu bila shaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora Chadema isimame yenyewe kama watashindwa kuelewana.Na hii itairudisha Chadema kwenye misingi yake ya awali.Baada ya uchaguzi hao wafuata ulaji watayeyuka na kubakiza Chadema Asilia.Kuna haja gani ya ushirikiano wa mashaka huku mkijua hakutaleta mafanikio.Kwa kuitumia ACT ndio maana mnalilia muungano na Chadema sio. Safari hii Chadema inasimamia show yenyewe.
sioni kikwazo itatafutwa njia tuWaziri mkuu ni lazima awe mbunge wa Jimbo/kuchaguliwa na wananchi.
WE NEED A ONE WHO CAN PROTECT ITS WIN WHITHOUT CHAOSNaona wengi wanapendekeza Membe au Nyalandu, kwa nini sio Lisu! Sijui, Ipo sababu bila shaka.
Katiba inagoma. Upande mmoja mgombea na upande wa pili mwenzaWhat if iwe vise versa, Lisu for President, Nyalandu Vice President and Membe - PM?
Lissu ndo RaisUmoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa makubaliano ya kimaandishi kabisa although kushinda huwa ni ndoto ya mfalme juha kutokana na kutokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi.
Wana CHADEMA wengi wana imani na Membe tatizo ni bwana huyu asipoipata hii nafasi kwa wakati huu hatakawia kufanya kama Ndg. Slaa alivyofanya njia panda ndio hii.
What if iwe vise versa, Lisu for President, Nyalandu Vice President and Membe - PM?
HAPANA!Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa makubaliano ya kimaandishi kabisa although kushinda huwa ni ndoto ya mfalme juha kutokana na kutokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi.
Wana CHADEMA wengi wana imani na Membe tatizo ni bwana huyu asipoipata hii nafasi kwa wakati huu hatakawia kufanya kama Ndg. Slaa alivyofanya njia panda ndio hii.
Mtalaumu Tume na Polisi.Acha tushindwe tukiwa na Lissu! Hatutalaumu mtu.
Ninavyoelewa, Rais na Makamu wake hawawezi kutoka upande mmoja wa Muungano.
Amandla...
Yaani tuongozwe na kichaa? Hivi ukimtazama tu Lissu usoni, huoni kama kuna fyuzi moja imeungua.Mataga kazini. Na mtataga mwaka huu. Go Lissu Go Lissu.
Watu lazima mpoteane mwaka huu. Na Lissu ndo Raisi wenu mwaka huu, mpende msipende.
Meko hana ujanja huku kuna Membe huku kuna Lissu anapigwa kote kote.Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa makubaliano ya kimaandishi kabisa although kushinda huwa ni ndoto ya mfalme juha kutokana na kutokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi.
Wana CHADEMA wengi wana imani na Membe tatizo ni bwana huyu asipoipata hii nafasi kwa wakati huu hatakawia kufanya kama Ndg. Slaa alivyofanya njia panda ndio hii.
Hivi mbona mnapenda kujifikirisha vitu ambavyo havifikirishi. Eti Lissu atadai ushindi wake, huo ushindi kwanza ataupatia wapi? hawezi kupata hata asilimia 10 ya kura amejitahidi sana asilimia 2.Membe sio Lowassa, Lissu atakaposhinda uelewa wake wa kidiplomasia ya nje ya kudai ushindi wake hauwezi kuifikia diplomasia ya membe kimataifa katika kuidai haki yake uzi ni mwepesi lakini tuuchambue kwa akili nyingi kidogo sana sana Lissu atakapodhania amepokwa ushindi ataamrisha maandamano which is not good way badala ya kusolves kimataifa zaidi bila ya kuumiza wananchi.
Lissu For President? Bangi hizi.What if iwe vise versa, Lisu for President, Nyalandu Vice President and Membe - PM?
Chadema kuna wachaga pale wana tamaa. Pesa mbele. Ukizungumzia mgombea mmoja wanataka asilimia kubwa watoke kwao ili wapate ruzuku. Waulize UKAWA 2015 hawana hamu nao.Waungane, waache tamaa. Nilitegemea mpaka sasa wawe wamefikia makubaliano ya kumsimika mgombea mmoja kwenye ngazi zote kuanzia urais mpaka udiwani.
Kabisa aisee. Wanataka mpaka mgombea urais awe kichaa mwenzao.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Vichaa Wengi sana nyakati za Uchaguzi.
they must rely on majority thoughtChadema kuna wachaga pale wana tamaa. Pesa mbele. Ukizungumzia mgombea mmoja wanataka asilimia kubwa watoke kwao ili wapate ruzuku. Waulize UKAWA 2015 hawana hamu nao.