Uchaguzi 2020 CHADEMA ni lazima ioneshe mshikamano juu ya mgombea mmoja, Lissu awe Waziri Mkuu

Na waungane kwa kweli
 
Kwa kuitumia ACT ndio maana mnalilia muungano na Chadema sio. Safari hii Chadema inasimamia show yenyewe.
Hii inamaanisha kila chama kisimamishe mgombea wake!!!
Hiki ndicho CCM wanachokutaka na mwisho wa siku matokeo yanajulikana.
Nadhani hatujawa tayari kwa mageuzi maana vitu vidogo vingali vinatubabaisha na kwa mfumo huu wa kutoshirikiana tusubiri matokeo.
 
Faida ya kuungana Chadema wanaijua sana, ila wana mashaka na anaetaka waungane nae.
 
Hahah... Awe waziri mkuu wa nchi gani? Hebu weka wazi hapa uwaziri huo wapi kati ya kule Wcb, Mnzese kW Madee au insta kw Mwijaku
 
Faida ya kuungana Chadema wanaijua sana, ila wana mashaka na anaetaka waungane nae.
Mkuu muungano wowote hufungwa kwa mkataba wa kimaandishi ambayo huwa na faida pande zote na jamii husika. Mpaka sasa sioni dalili za viongozi wa vyama mbadala kutafuta suluhisho la muungano linalofaa zaidi ya kuona panzi wakiparurana mtandaoni huku jikunguru likichochea moto...
 
MAGUFULI4LIFE
 
Hivi kwa akili yako unamfananisha membe na Lissu? Lissu ni habari ingine wewe kiumbe.
 
Una damu ya kimasai. Mgeni akija kwako leo unamkabidhi mke halafu ww mwenyewe unakwenda kulala kwenye banda la ng'ombe. Yaani huyu Membe ndio amekuwa mpinzani na mwakilishi mzr wa upinzani kuliko Lissu? Kwa nn usiseme yeye ndio awe Mgombea Mwenza au W/Mkuu? Halafu unavyosema hivyo huku ukijua ni vyama 2 tofauti unamaana gani? Usiache akili zako chooni, uwe unatembea nazo zote.
 
Janja yenu tumeshaigundua
 
Watanzania tunajua na tunapenda sana kugamble na maisha yetu..
 
Chadema kuna wachaga pale wana tamaa. Pesa mbele. Ukizungumzia mgombea mmoja wanataka asilimia kubwa watoke kwao ili wapate ruzuku. Waulize UKAWA 2015 hawana hamu nao.
Ccm kuna wasukuma watoto wa kuozesha mama zao kwa jogoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…