Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Kinachopigiwa kelele ni hila ya mtoa maoni, sio maoni ta mtu. Chadema inapambana na hila za watu wake, wala sio maoni yao. Ukitoa maoni ambayo wanaona wazi kuna hila nyuma yake lazima upigwe spana. 😊
Wote ni wale wale tu tabia zinafanana, tofauti ni dola tu basi, ila hata wao siku wakishika dola watakuwa hivyo hivyo na kutenda wanayoyalamikia
Weka mifano ya udikteta uchwara wa CHADEMA
Sijamuona Nchimbi na Polepole wakifika Kizmkazi kutoa pole.
Kama unayaelewa mazingira ambayo chadema wana-operate kisiasa..huwezi walinganisha na ccm kwenye mizani yenye vigezo vinavyofanana..Hamjambo!
CHADEMA wengi wao wanatabia ya udikteta uchwara, ukandamizaji wa uhuru wa maoni hasa yanayokinzana na sera zao.
CHADEMA wanauwezo wa kuingilia uhuru binafsi wa mtu mwingine hata kama havunji sheria za chama, katiba ya nchi na maadili.
Ukitaka ugombane na CHADEMA basi pinga au kosoa sera au jambo lolote unaloliona halipo sawa Kimtazamo wako.
Ni tabia mbaya sana. Ni zilezile tabia za kiccm wanazozilalamikia. Tofauti ni kuwa CCM wanadola alafu upande wa Pili hawana.
Sisi Watibeli tunazingatia sana haki za watu hata kama tunatofautiana mawazo na falsafa.
CHADEMA hupenda wao tuu ndio waongee kumaanisha wao tuu ndio wasikilizwe.
Ukimkosoa kiongozi wa CHADEMA Kama wao wanavyokosoa viongozi wa vyama vingine. Inakuwa nongwa.
Sio lazima chama chote kimchukie mtu mmoja. Sio lazima. Sio lazima wanachama wote wampende kiongozi fulani. Sio lazima.
Kupenda mtu ni haki ya mtu iliyo ndani ya hiyari yake.
Humu mnaweza kunipenda Mtibeli au msinipende. Hilo lipo ndani ya mipaka yenu. Sio mimi nijisikie vibaya au niwalazimishe mnipende. Huo ni ukatili.
Au wanaonipenda watake kuwalazimisha wasionipenda wanipende. Huo ni ushenzi.
Haina tofauti na mtu anayelazimisha Salamu. Kusalimia ni hiyari ya mtu. Ipo ndani ya uhuru wake.
Mtu kutoa Salamu za Rambirambi kwenye msiba ni hiyari yake.
Mtu kumsamehe mtu mwingine sio lazima ni hiyari yake.
Usishangae siku Tundu Lisu akiamua kusamehe waliompiga Risasi alafu ukaona baadhi ya watu wakachukia, wakamkasirikie wakamuona Msaliti.
Sisi Watibeli hatuumizwi na maamuzi ya mtu mwingine ambayo yapo ndani ya mipaka yake na Hayagusi mipaka yetu.
Hofu yangu ni hii, tabia za kiccm naziona pia huko CHADEMA.
Usitoe kibanzi jichoni mwa mwenzako wakati wewe unaboriti.
Tabia za kiccm, inaletwa hoja na upinzani. Wafuasi wa CCM wanajibu ninyi vibaraka wa wazungu, sijui blah blah.
Wanaccm nao wakileta hoja, wafuasi wa chadema utasikia buku 7 sijui blah blah blah.
Mwanaccm akikosoa chama chake. Anaandamwa na CCM wenzake ikiwezekani kufukuzwa kabisa uanachama.
Mwanachadema akikosoa chadema au viongozi wa chadema, wanachadema wanaanza kelele na kumuita msaliti na majina mengine.
Hatutaki vyama vinavyotaka kusifiwa na kupongezwa tuu. Tunataka vyama ambavyo wanachama wake watakuwa huru kukosoa na kusifia bila kuletewa fujo.
Nimemaliza
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Hata jf tu kuna rule zake, kama unataka ujue jaribu kumtukana maxme. Halafu utaoaona kama kila kitu hakina mipaka yakeHamjambo!

Kipindi cha sakata la mbowe kulamba asali, chadema walikua wakali sana 😁Chadema ni chama Cha Watanzania wote ambao wamekandamizwa na CCM na kujikuta wakilazimika kuishi bila kutumia ubongo wao na elimu zao
Je, wewe ni miongoni mwao?
Mtu mnafiki anapokuwa Chadema, hujulikana na kubainika mapema mno kwa sababu ubongo wa watu kwenye chama hiko ni ruksa kuutumia
Wewe unachosema, ni kile kile ambacho kwako wewe unaona ni kama kukandamiza mawazo na kubinya uhuru wa watu ilihali Chadema ingali inapbana na mambo mengi sana
My kaka, ngoja niplay "devil's advocate" kidogo.Kinachopigiwa kelele ni hila ya mtoa maoni, sio maoni ta mtu. Chadema inapambana na hila za watu wake, wala sio maoni yao.
Ukisema "maoni ambayo wanaona wazi kuna hila nyuma yake" unamaanisha ni nani akiona? ni akina nani ambao wana mandate ya kuamua maoni haya au kukosolewa huku kuna hila nyuma yake?Ukitoa maoni ambayo wanaona wazi kuna hila nyuma yake lazima upigwe spana. 😊
Hata jf tu kuna rule zake, kama unataka ujue jaribu kumtukana maxme. Halafu utaoaona kama kila kitu hakina mipaka yake