CHADEMA ni wakandamizaji wa Uhuru wa maoni na kujieleza kwa watu. Hawana tofauti na CCM

Naangalia sera ya uhuru wa maoni. Ambayo ni moja ya mambo yanayopiganiwa na CHADEMA. Pia ni moja ya Aspect za Democrasia.

Unasema watu wawe huru kuongea alafu muda huo unawazuia wanaokukosoa
Sera gani wewe isiyotizama mambo ya msingi..? watu wanapewa pesa/rushwa kuhujumu chama kwa njia zote wanazoweza, hao ndio unadai wapewe uhuru wa kuongea? Vyama vina malengo ya kufikia, wao wanafahamu njia ya kuwafikisha kwenye malengo waliyojiwekea..hakuna chama kinajengwa na maoni ya mamluki na wasaliti! hakuna demokrasia isiyo na wajibu, na wajibu unatangulia kwanza kabla ya huo uhuru unaodai uwepo.
 
Wanataka uhuru wa maoni alafu wakikosolewa wanataka kuziba watu midomo.

Waache watu waongee
Robert unakuwa sensitive kwa vitu vidogo, ukikosoa hauna kinga ya kutokukosolewa…. Namaanisha kukosoa iko open to kukosolewa. Kinachofanyika mtandao kati ya Lema vs Wafuasi wa CDM ni kitu natural, Human being will argue about everything, ndio ukamilifu wa ubinadamu.

Nina wasiwasi unapindisha mambo, au unapima mambo katika mzani usiofanana, Unachokiita kuzibwa mdomo isiwe kukosolewa back (Mkosoaji kukosolewa) bali kuchukuliwa hatua kwa ukosoaji, So far CDM haijamchukulia mtu hatua kwa ukosoaji, Kipimo kwa CCM kinatuambia tofauti, majibu baki nayo .

Niambie kama CDM imewahi kumchukulia mtu hatua kwa ukosoaji tupate cha kujadili.
 
Hamjambo!

CHADEMA wengi wao wanatabia ya udikteta uchwara, ukandamizaji wa uhuru wa maoni hasa yanayokinzana na sera zao.

CHADEMA wanauwezo wa kuingilia uhuru binafsi wa mtu mwingine hata kama havunji sheria za chama, katiba ya nchi na maadili.

Ukitaka ugombane na CHADEMA basi pinga au kosoa sera au jambo lolote unaloliona halipo sawa Kimtazamo wako.

Ni tabia mbaya sana. Ni zilezile tabia za kiccm wanazozilalamikia. Tofauti ni kuwa CCM wanadola alafu upande wa Pili hawana.

Sisi Watibeli tunazingatia sana haki za watu hata kama tunatofautiana mawazo na falsafa.

CHADEMA hupenda wao tuu ndio waongee kumaanisha wao tuu ndio wasikilizwe.

Ukimkosoa kiongozi wa CHADEMA Kama wao wanavyokosoa viongozi wa vyama vingine. Inakuwa nongwa.

Sio lazima chama chote kimchukie mtu mmoja. Sio lazima. Sio lazima wanachama wote wampende kiongozi fulani. Sio lazima.

Kupenda mtu ni haki ya mtu iliyo ndani ya hiyari yake.

Humu mnaweza kunipenda Mtibeli au msinipende. Hilo lipo ndani ya mipaka yenu. Sio mimi nijisikie vibaya au niwalazimishe mnipende. Huo ni ukatili.
Au wanaonipenda watake kuwalazimisha wasionipenda wanipende. Huo ni ushenzi.

Haina tofauti na mtu anayelazimisha Salamu. Kusalimia ni hiyari ya mtu. Ipo ndani ya uhuru wake.

Mtu kutoa Salamu za Rambirambi kwenye msiba ni hiyari yake.

Mtu kumsamehe mtu mwingine sio lazima ni hiyari yake.

Usishangae siku Tundu Lisu akiamua kusamehe waliompiga Risasi alafu ukaona baadhi ya watu wakachukia, wakamkasirikie wakamuona Msaliti.

Sisi Watibeli hatuumizwi na maamuzi ya mtu mwingine ambayo yapo ndani ya mipaka yake na Hayagusi mipaka yetu.

Hofu yangu ni hii, tabia za kiccm naziona pia huko CHADEMA.
Usitoe kibanzi jichoni mwa mwenzako wakati wewe unaboriti.

Tabia za kiccm, inaletwa hoja na upinzani. Wafuasi wa CCM wanajibu ninyi vibaraka wa wazungu, sijui blah blah.

Wanaccm nao wakileta hoja, wafuasi wa chadema utasikia buku 7 sijui blah blah blah.

Mwanaccm akikosoa chama chake. Anaandamwa na CCM wenzake ikiwezekani kufukuzwa kabisa uanachama.

Mwanachadema akikosoa chadema au viongozi wa chadema, wanachadema wanaanza kelele na kumuita msaliti na majina mengine.

Hatutaki vyama vinavyotaka kusifiwa na kupongezwa tuu. Tunataka vyama ambavyo wanachama wake watakuwa huru kukosoa na kusifia bila kuletewa fujo.

Nimemaliza

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Nakushauri tu, hayo malalamiko yako Uchwara yatolee taarifa Polisi.
 
Kuna maoni ambayo yamezua mjadala na mashambulizi kwa mtoa maoni, ndiyo mtoa mada anayoyaongelea.
Nilivyosoma mada ya mtibeli sijaona popote alipoongelea hayo mashambulizi.
Enewei, naomba usome tena maswali yangu na unijibu.
Sio kila maoni yanapigwa,.
Nani anaamua yapi yakubalike na yapi yapingwe?
Maoni yenye muelekeo wa "hila" au yenye kuonyesha wazi yana kitu nyuma yake, lazima yatakutana na mashambulizi. Kutoa maoni ni "two way traffic", unayatoa na watu wanayapima na ikowezekana kuya "challenge". Sasa maoni ya mtu yanapokutana na challenge isionekane kama ni ukandamizaji au udikteta.
Maoni yakitolewa kwa taasisi au kiongozi ni nani anaamua yana hila au lah? je si jukumu la taasisi kuyapokea yote na kuyafanyia kazi?
Kama ukotoa maoni na watu wakaona kuna namna, watatumia pia uhuru huo huo kuku challenge.
Kuchallenge ni kitu kizuri na kila mtu ana uhuru wa kufanya hivyo.
 
Nilishasema CCM imeoza lakini CHADEMA sio mbadala wake, CHADEMA ni zaidi ya Ccm kwenye kutokuvumilia maoni tofauti.
Mi Ile mitusi tu wanayoporomosha ukitoa maoni tofauti ndo nachoka kbisa..
Hawa watu walichku nchi watatushughulikia kuliko ccm
 
Hamjambo!

CHADEMA wengi wao wanatabia ya udikteta uchwara, ukandamizaji wa uhuru wa maoni hasa yanayokinzana na sera zao.

CHADEMA wanauwezo wa kuingilia uhuru binafsi wa mtu mwingine hata kama havunji sheria za chama, katiba ya nchi na maadili.

Ukitaka ugombane na CHADEMA basi pinga au kosoa sera au jambo lolote unaloliona halipo sawa Kimtazamo wako.

Ni tabia mbaya sana. Ni zilezile tabia za kiccm wanazozilalamikia. Tofauti ni kuwa CCM wanadola alafu upande wa Pili hawana.

Sisi Watibeli tunazingatia sana haki za watu hata kama tunatofautiana mawazo na falsafa.

CHADEMA hupenda wao tuu ndio waongee kumaanisha wao tuu ndio wasikilizwe.

Ukimkosoa kiongozi wa CHADEMA Kama wao wanavyokosoa viongozi wa vyama vingine. Inakuwa nongwa.

Sio lazima chama chote kimchukie mtu mmoja. Sio lazima. Sio lazima wanachama wote wampende kiongozi fulani. Sio lazima.

Kupenda mtu ni haki ya mtu iliyo ndani ya hiyari yake.

Humu mnaweza kunipenda Mtibeli au msinipende. Hilo lipo ndani ya mipaka yenu. Sio mimi nijisikie vibaya au niwalazimishe mnipende. Huo ni ukatili.
Au wanaonipenda watake kuwalazimisha wasionipenda wanipende. Huo ni ushenzi.

Haina tofauti na mtu anayelazimisha Salamu. Kusalimia ni hiyari ya mtu. Ipo ndani ya uhuru wake.

Mtu kutoa Salamu za Rambirambi kwenye msiba ni hiyari yake.

Mtu kumsamehe mtu mwingine sio lazima ni hiyari yake.

Usishangae siku Tundu Lisu akiamua kusamehe waliompiga Risasi alafu ukaona baadhi ya watu wakachukia, wakamkasirikie wakamuona Msaliti.

Sisi Watibeli hatuumizwi na maamuzi ya mtu mwingine ambayo yapo ndani ya mipaka yake na Hayagusi mipaka yetu.

Hofu yangu ni hii, tabia za kiccm naziona pia huko CHADEMA.
Usitoe kibanzi jichoni mwa mwenzako wakati wewe unaboriti.

Tabia za kiccm, inaletwa hoja na upinzani. Wafuasi wa CCM wanajibu ninyi vibaraka wa wazungu, sijui blah blah.

Wanaccm nao wakileta hoja, wafuasi wa chadema utasikia buku 7 sijui blah blah blah.

Mwanaccm akikosoa chama chake. Anaandamwa na CCM wenzake ikiwezekani kufukuzwa kabisa uanachama.

Mwanachadema akikosoa chadema au viongozi wa chadema, wanachadema wanaanza kelele na kumuita msaliti na majina mengine.

Hatutaki vyama vinavyotaka kusifiwa na kupongezwa tuu. Tunataka vyama ambavyo wanachama wake watakuwa huru kukosoa na kusifia bila kuletewa fujo.

Nimemaliza

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Usijifaiji ndugu mtibeli.Nchimbi yuko wako wapi ndiyo tujue CHADEMA ni madikteta au vipi.
 
Hila inafahamika, na dhamira njema inaeleweka. Mfano halisi, Lema kajifanya kutoa pole kwa Samia wakati Samia kaua maelfu ya watanzania na kaona sawa. Lakini hila yake iko wazi kabisa kuwa Lema sio wa hivyo, maana aligoma kumsalimia Makonda huko Monduli kwenye msiba wa Lowassa. Kwanini asipewe ukweli wake?
Hawa jamaa wengi wana CHUKI BINAFSI hawa sio wakuwapa nchi wengi WABINAFSI.
 
Robert unakuwa sensitive kwa vitu vidogo, ukikosoa hauna kinga ya kutokukosolewa…. Namaanisha kukosoa iko open to kukosolewa. Kinachofanyika mtandao kati ya Lema vs Wafuasi wa CDM ni kitu natural, Human being will argue about everything, ndio ukamilifu wa ubinadamu.

Nina wasiwasi unapindisha mambo, au unapima mambo katika mzani usiofanana, Unachokiita kuzibwa mdomo isiwe kukosolewa back (Mkosoaji kukosolewa) bali kuchukuliwa hatua kwa ukosoaji, So far CDM haijamchukulia mtu hatua kwa ukosoaji, Kipimo kwa CCM kinatuambia tofauti, majibu baki nayo .

Niambie kama CDM imewahi kumchukulia mtu hatua kwa ukosoaji tupate cha kujadili.

Wafuasi na wanachadema ndio Chadema yenyewe. Hao viongozi ni wawakilishi tuu.

Sijawahi sikia viongozi wa CHADEMA wakiwaambia Wafuasi na wanachama wao kwamba waache kuwatukana na kuwadhihaki watu wanaotumia haki yao ya kikatiba kutoa mawazo yao.
 
Sera gani wewe isiyotizama mambo ya msingi..? watu wanapewa pesa/rushwa kuhujumu chama kwa njia zote wanazoweza, hao ndio unadai wapewe uhuru wa kuongea? Vyama vina malengo ya kufikia, wao wanafahamu njia ya kuwafikisha kwenye malengo waliyojiwekea..hakuna chama kinajengwa na maoni ya mamluki na wasaliti! hakuna demokrasia isiyo na wajibu, na wajibu unatangulia kwanza kabla ya huo uhuru unaodai uwepo.

CHADEMA pia wapo wanaopewa pesa tena mnawaamini sana.
 
Naona watetezi wa Lema mnakuja mbio mbio kisa ni wa kaskazini mwenzenu?
Lema alitakiwa kujibu kuhusu Passport yake alipataje, na sio kumuingiza Heche, Heche wakati wake ungefika na angeulizwa kuhusu passport yake kaipataje.
Hilo la kuingiza mtu mwingine ndipo watu walipopata mushkeli huyo nabii uchwaraa.
Hili ni gumu kiasi gani watu kulielewa? 😅
 
20260913_064553.jpg
 
Back
Top Bottom