CHADEMA ni wakandamizaji wa Uhuru wa maoni na kujieleza kwa watu. Hawana tofauti na CCM

CHADEMA ni wakandamizaji wa Uhuru wa maoni na kujieleza kwa watu. Hawana tofauti na CCM

Watanzania ni wale wale, nashangaa tunaweka classes. Hatuna tofauti, iwe CDM vs CCM, iwe SIMBA vs YANGA, iwe CHRISTIANS vs MUSLIMS hatuna tofauti iwe kwenye kufikiri wala kufanya mambo.

Watu wameichoka tu CCM na mambo yake, utawala unaoongozwa kwa katiba ya 1977 wakati asilimia kubwa ya watanzania wa leo hawajazaliwa. Wakija CDM kuna mambo yatabadilika kama kupepesa macho, then tutarudi kwenye default mode, sababu kubwa ni kwamba hatuna tofauti, hata kama kiitikadi tunatofautiana.
Katiba ya 1977 imemzuwia gen z kutengeneza codes,kulima matikiti,kuendesha boda?
Katiba siyo nguo kwamba muda ukipita imeisha fashion
 
Naona watetezi wa Lema mnakuja mbio mbio kisa ni wa kaskazini mwenzenu?
Lema alitakiwa kujibu kuhusu Passport yake alipataje, na sio kumuingiza Heche, Heche wakati wake ungefika na angeulizwa kuhusu passport yake kaipataje.
Hilo la kuingiza mtu mwingine ndipo watu walipopata mushkeli huyo nabii uchwaraa.
Ninafurahi sana CHADEMA mkigombana. Mbarikiwe sana na muendelee na moyo huohuo.
 
Katiba ya 1977 imemzuwia gen z kutengeneza codes,kulima matikiti,kuendesha boda?
Katiba siyo nguo kwamba muda ukipita imeisha fashion
Ndio maana tunataka CCM itoke mahali ilipo ili walau mambo yabadilike maana watu kama nyie maCCM mnang'ang'ania ibaki hivi ilivyo ili muendelee kubaki madarakani.
 
Siasa ni sayansi na mchezo wa akili na sio mihemko na matusi .
Chadema imejaa watu yenye mihemko ya kipumbavu.
..akili gani wanayotumia hao tiss wanaoimiliki ccm, kuteka watu na kuua ndio akili..? Stupid!
 
Hizi scenarios sio za kumfunga mtu mdomo.

Mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake, muda au mahali popote anapoamua mwenyewe.

Muhimu ni yule anayetuhumiwa kuja na majibu, sio kujaribu kwa kila njia kumjibia kama vile yeye ni mtoto mdogo.

Heche ajitokeze kujibu tuhuma dhidi yake, ukimya wa nini?!

Hajiamini?
1000079692.jpg
 
Naangalia sera ya uhuru wa maoni. Ambayo ni moja ya mambo yanayopiganiwa na CHADEMA. Pia ni moja ya Aspect za Democrasia.

Unasema watu wawe huru kuongea alafu muda huo unawazuia wanaokukosoa
Sijawahi kuona kiongozi wa CHADEMA (Brenda,Heche,Lissu,Gorugwa,Mnyika) wakizuia watu wanaowakosoa kutoa maoni yao.

Ninachokiona ni watu wenye mrengo wa upinzani (kiCHADEMA CHADEMA) kutopenda ukosoaji au utoaji wa maoni kinzani.
 
Ndio maana watu wenye akili na mapenzi mema na Tanzania tunapigania katiba mpya, ili yeyote atakayeshinda kuongoza, (iwe chama au binafsi), aweze kunyooshwa na katiba.

Chini ya katiba mpya inayojisimamia, hakutakuwa na huyu CCM ataleta uCCM (uchawa, ushirikina, uuaji, wizi, uongo na maovu yote wayafanyayo), au huyu CHADEMA ataleta uCHADEMA ( kisasi, chuki, uminywaji wa uhuru wa maoni, matusi).
 
Nyie mmeshazidiwa hoja, so mmeshajua makabila yetu!.

Probably, kwa hii mindset yenu, nanyi mtakuwa mnamtetea Mkurya mwenzenu, ryt?!

Wake up!
Umechanganyikiwa? Kwanini unaniuliza maswali ambayo sijayasema?

Ndio maana wafuasi wa CDM wakiongea kitu unakibeba kama msimamo wa Chama, this is simplification, watu wenye critical thinking hawawazi namna hii.

Amka wewe, mi niliamka jana.
 
Umechanganyikiwa? Kwanini unaniuliza maswali ambayo sijayasema?

Ndio maana wafuasi wa CDM wakiongea kitu unakibeba kama msimamo wa Chama, this is simplification, watu wenye critical thinking hawawazi namna hii.

Amka wewe, mi niliamka jana.
Huwezi kunifundisha kitu wewe, kama una support mambo ya ukabila utakuwa mkabila tu, pumzika unywe maji mengi!.

Sijalala bado.
 
Umechanganyikiwa? Kwanini unaniuliza maswali ambayo sijayasema?

Ndio maana wafuasi wa CDM wakiongea kitu unakibeba kama msimamo wa Chama, this is simplification, watu wenye critical thinking hawawazi namna hii.

Amka wewe, mi niliamka jana.
Wapo wengi sana ambao ni vilaza ama ni elimu ndogo inayowafanya kuchukua maoni ya mwananchi mmoja aliyechoshwa na madudu ya CCM na wao kuyafanya ni msimamo wa CHADEMA.

Kuna tatizo kubwa sana la kusoma kiufahamu na kuelewa jambo kwa watu wengi humu jukwaani.
 
Wanataka uhuru wa maoni alafu wakikosolewa wanataka kuziba watu midomo.

Waache watu waongee
Tatizo lako wewe unadeal na mitandao kama platform rasmi ya chama. Mimi sijawahi kuona mwanachama amefukuzwa kwa kupishana maoni na uongozi wa Lissu/Heche sasa huo udikteta ni upi?

Udikteta ni CCM huko tuliona wazi Mpina, Nchimbi n.k wanamkosoa Mwenyekiti na wakashughulikiwa.

Tofautisha mitandao na chama!! Chadema haifanyi kaz twitter after all yamejaa maroboti ya UVCCM kule kukosoa chochote kinachofanywa na Chadema
 
Nilishasema CCM imeoza lakini CHADEMA sio mbadala wake, CHADEMA ni zaidi ya Ccm kwenye kutokuvumilia maoni tofauti.
Kivipi? Hivi kipindi wale G55 wanamkosoa Lissu baada ya uchaguzi kuisha ingekua CCM wangesurvive? In fact kina Catherine Ruge na Julius Mwita waliteuliwa kwenye secretariat licha ya kumpinga wazi Lissu.

Chadema wana uvumilivu sana tatizo lako unachukua comments za washabiki wa chadema mitandaoni na kufanya ndio msimamo rasmi wa chadema makao makuu
 
Kila nikiwatizama Chadema sioni tofauti kati yao na BJP ya India.
 
Back
Top Bottom