The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Natoa ushauri kwa CHADEMA
Ni takribani siku 10 tu zimebaki kuhitimisha kampeni. Na trh 28/10/2020 ni siku ya uchaguzi yenyewe.
Mgombea wetu na Rais anayesubiri kuapishwa, Mh. Tundu Lissu kuna mikoa takribani 7 au 8 hajaifikia.
Aidha kuna viraka vya majimbo ndani ya mikoa aliyokwisha itembelea nao wanahitaji kumuona Rais wao.
Watu wanahitaji kupata elimu ya URAIA, SHERIA, HAKI na WAJIBU kutoka kwa kiongozi charismatic huyu.
Tundu Lissu si tu anafanya kampeni za uchaguzi lakini ana isntall ujasiri, kujiamini na matumaini ndani ya nafsi na mioyo ya watu.
Tafadhali tumie Helicopter sasa ili kwa muda huu mfupi uliobaki aweze kuyafukia maeneo yote yaliyobaki. Afike hadi Mafia kisiwani.
Kwa helicopter anaweza kuuchakaza mkoa wote na majimbo yake kwa siku.
Aidha nashauri ifikapo tarehe 25/20 awe amemaliza maeneo yote. Na apate siku 2 za kupumzika na kukagua logistics zote na tarehe 27/10/2020 tukutane mahali pa kufungia kampeni - DSM.
Asanteni