Uchaguzi 2020 CHADEMA, ni wakati mwafaka mgombea Urais Mh. Tundu Lissu kutumia Helicopter kwa siku 10 hizi zilizobaki

Uchaguzi 2020 CHADEMA, ni wakati mwafaka mgombea Urais Mh. Tundu Lissu kutumia Helicopter kwa siku 10 hizi zilizobaki

The Palm Tree

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
7,951
Reaction score
12,541
Natoa ushauri kwa CHADEMA

Ni takribani siku 10 tu zimebaki kuhitimisha kampeni. Na trh 28/10/2020 ni siku ya uchaguzi yenyewe.

Mgombea wetu na Rais anayesubiri kuapishwa, Mh. Tundu Lissu kuna mikoa takribani 7 au 8 hajaifikia.

Aidha kuna viraka vya majimbo ndani ya mikoa aliyokwisha itembelea nao wanahitaji kumuona Rais wao.

Watu wanahitaji kupata elimu ya URAIA, SHERIA, HAKI na WAJIBU kutoka kwa kiongozi charismatic huyu.

Tundu Lissu si tu anafanya kampeni za uchaguzi lakini ana isntall ujasiri, kujiamini na matumaini ndani ya nafsi na mioyo ya watu.

Tafadhali tumie Helicopter sasa ili kwa muda huu mfupi uliobaki aweze kuyafukia maeneo yote yaliyobaki. Afike hadi Mafia kisiwani.

Kwa helicopter anaweza kuuchakaza mkoa wote na majimbo yake kwa siku.

Aidha nashauri ifikapo tarehe 25/20 awe amemaliza maeneo yote. Na apate siku 2 za kupumzika na kukagua logistics zote na tarehe 27/10/2020 tukutane mahali pa kufungia kampeni - DSM.

Asanteni
 
Kama sikosei mamlaka ya Anga ILIZUIA CHOPA ALIYOKUWA AKIITUMIA KWENYE KAMPENI.

FIGISU.
 
Wakati serikali ina hamasisha watu waende kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu Chadema walikua wakihamasisha watu wasiende kujiandikisha mbaka ipatikane katiba Mpya, Chakushangaza baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu chadema watadai wameibiwa kura.
 
Pesa za kuzungusha kile kidude angani wanayo?
Watapata wapi fedha
Ndesa katangulia mbele ya haki.
Lowassa kawakimbia.
Mbowe pesa anazo ila atoi kizembe zembe,kaziyake kukusanya pesa za chama tu.
 
Acha tu atumie gari watamwondoa kirahisi.

Kilichobaki ni kulinda ushindi tu.

Watanzania hawaitaki C C M basi.

Next time Mh Lissu, Mnyika, Mwalimu, Kigaila, Bulaya na Matiko, wafanye ZIARA maalumu kwenye PERIPHERALS za TANZANIA kule hali ni mbaya sana, Maendeleo ya WATU yanahitajika sana kule, pia ELIMU kule Ni MUHIMU sana, MIJINI watu wanajielewa sana sana sana.
 
Hakuna nakataa ,siku zilizo baki ,chadema achana na chopa ,acha amalize kampeni kwa utaratibu huu alionao, mawazo ya chopa NO Alafu mi najua nje ya lissu mgombea mweza kaishafika majimbo mengi ukijumlisha na ya lissu hizo siku kumi watakua wamemaliza majimbo yote,ni kwa sababu tu hatujui ila mwalim na lissu ni kitu kimoja na kaisha fanya kampen ya kufa mtu
 
MKuu tatizo kubw alilipo ni tuma ye Uchaguzi na upangaji wake wa ratiba, hawapo fair kabisa, walipaswa kuwka kipaumbele kwa wagombea wawili wakuu kwanza kabla ya wengine kwenye kupanga ratiba, ila kibaya ni wanalinganisha CDM na Chauma au ADC kwenye kupanga ratiba.
 
Hakuna nakataa ,siku zilizo baki ,chadema achana na chopa ,acha amalize kampeni kwa utaratibu huu alionao, mawazo ya chopa NO Alafu mi najua nje ya lissu mgombea mweza kaishafika majimbo mengi ukijumlisha na ya lissu hizo siku kumi watakua wamemaliza majimbo yote,ni kwa sababu tu hatujui ila mwalim na lissu ni kitu kimoja na kaisha fanya kampen ya kufa mtu
Kwenye gari anakuwa na vituo vingi vya kuiutana na watu. Acha endelee hivi hivi
 
Back
Top Bottom