Pi Network
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 290
- 319
Sijawahi kuona mwanamke mjinga kama wewe; wewe hata nipewe bure na wazazi wako kisha niongezewe na pesa juu sikuowi, nikijitahidi sana nawatapeli kisha natawanyika...👍Mwambieni ajifunze kutii sheria bila shuruti. Nothing less nothing more.
Nasema tena Lissu ni bwege!Jitazame kwenye kioo ujione....
Wewe ndiye "bwege" na "mjinga" maana hujui usemalo wala uwazalo...!!
Polisi wenye silaha za Moto, sasa mlitakaje yaani mlitaka polisi waje na silaha za maji?? Wapinzani acheni upuuzi aisee, ni vizuri na busara kutii sheria bila shuruti.Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha.
Kazuiliwa kufanya Kampeni hajazuiliwa kusafiriLissu kuna muda mwingine hashauriwi vizuri.
Sasa utakesha hapo unafanya nini? Leo tarehe 6 ni siku mbili tu zimebaki kufika tarehe 9, si asubiri tu
Polisi wenye silaha za Moto, sasa mlitakaje yaani mlitaka polisi waje na silaha za maji?? Wapinzani acheni upuuzi aisee, ni vizuri na busara kutii sheria bila shuruti.
Kapigwa ban, Leo kapigwa block na hamna kitu magwanda watafanyaKuna watu wajinga sana.hapo sindo wanazidi kumpa airtime [emoji28][emoji28] 28 octber ni vilio tu kwa wana lumumba
SUBIRI KIDOGO
Nguvu ya Police ama wananchi? Hivi Crimea somo la Comprehension lilipita kushoto ama ni njaaa njaa mwananchi??[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yeye ni kibaraka wa mabeberu ndio maana unaona kuna nguvu kubwa ya wanachi kumpinga.
Hakuna mgombea urais toka chadema aliwahi kupingwa na wanachi waziwazi kama huyu!
Tulisema toka awali yule beberu wa Lisu ndugu Amsterdam ana mharibia mteja wake kwa kutoa matamko ya kutishia taasisi za selikali toka nchi huru kama hii,, kwa kitendo hicho Lisu hawezi kuungwa mkono na taasisi kama usalama au jeshi.
Sasa leo anaenda eti kukagua soko yeye kama nani?
ku reflect uhalisia wa tukio lenyewe, kichwa cha uzi huu chapaswa kusomeka hivii..... "Polisi wenye silaha nzito za kivita wavamia msafara wa Makamu M/kiti Tundu Lissu ukielekea Kibaha"Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha.
Kuliko mzee wa faragha?Jiwe ni mtu wa hovyo sana!!
hiv unasema unatembelea soko kuzindua matawi.kipindi hiki si kampen hizo pia.
naona kama janja ya kutengeneza trend wawe wanavunja sheria wakizuiwa wao ndio inawapa promotion hiv!!
Sasa kuna mwanamke gani atakubali kuolewa na gasho?Sijawahi kuona mwanamke mjinga kama wewe; wewe hata nipewe bure na wazazi wako kisha niongezewe na pesa juu sikuowi, nikijitahidi sana nawatapeli kisha natawanyika...[emoji106]
safi sana kuona CCM MATAGA wanakuwa mashabiki wa polisi badala ya CCM ambayo kwa sasa ni dhahiri ishakufa!Kapigwa ban, Leo kapigwa block na hamna kitu magwanda watafanya
Kura yangu kwa MaguKura yangu kwa Lissu
Dunia yote inaenda kujadili unyanyasaji huu unaoendelea kwa kumnyima Mh.Lissu kufanya kampeni na sasa kumbe hata kutembea haruhusiwi?CCM mnawatumia Police wetu vibaya na mnawadhalilisha,hizi silaha zote ni kumzuia Mh.Lissu tu!Ukiona hilo Jeshi la Polisi linatumia nguvu hivyo kumdhibiti huyo Tundu Lissu, ujue hao watawala wa CCM weshaona maji yako shingoni!
Hilo Jeshi la Polisi, kwa kujua au kutojua, wanampaisha mno huyo Tundu Lissu.
Ukombozi kamili tayari ushakaribia mno.
Tarehe 28/10/2020 twende tukamalize kazi.
Watanzania wana jambo lao kwenye sanduku la kura