CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Mwambieni ajifunze kutii sheria bila shuruti. Nothing less nothing more.
Sijawahi kuona mwanamke mjinga kama wewe; wewe hata nipewe bure na wazazi wako kisha niongezewe na pesa juu sikuowi, nikijitahidi sana nawatapeli kisha natawanyika...👍
 
Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha.

Polisi wenye silaha za Moto, sasa mlitakaje yaani mlitaka polisi waje na silaha za maji?? Wapinzani acheni upuuzi aisee, ni vizuri na busara kutii sheria bila shuruti.
 
Kuna watu wajinga sana.hapo sindo wanazidi kumpa airtime [emoji28][emoji28] 28 octber ni vilio tu kwa wana lumumba.

SUBIRI KIDOGO
 
hiv unasema unatembelea soko kuzindua matawi.kipindi hiki si kampen hizo pia.
naona kama janja ya kutengeneza trend wawe wanavunja sheria wakizuiwa wao ndio inawapa promotion hiv!!
 
Polisi wenye silaha za Moto, sasa mlitakaje yaani mlitaka polisi waje na silaha za maji?? Wapinzani acheni upuuzi aisee, ni vizuri na busara kutii sheria bila shuruti.

..Silaha za moto zinatakiwa mahali ambapo Polisi wanakabiliana na mtu mwenye silaha.
 
Lissu Bwana! Kwani alikuwa hajui kuna msafara wa Waziri Mkuu? Ya nini kujitafutia Shari hisio ya lazima.
 
Kuna watu wajinga sana.hapo sindo wanazidi kumpa airtime [emoji28][emoji28] 28 octber ni vilio tu kwa wana lumumba

SUBIRI KIDOGO
Kapigwa ban, Leo kapigwa block na hamna kitu magwanda watafanya
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yeye ni kibaraka wa mabeberu ndio maana unaona kuna nguvu kubwa ya wanachi kumpinga.
Hakuna mgombea urais toka chadema aliwahi kupingwa na wanachi waziwazi kama huyu!

Tulisema toka awali yule beberu wa Lisu ndugu Amsterdam ana mharibia mteja wake kwa kutoa matamko ya kutishia taasisi za selikali toka nchi huru kama hii,, kwa kitendo hicho Lisu hawezi kuungwa mkono na taasisi kama usalama au jeshi.

Sasa leo anaenda eti kukagua soko yeye kama nani?
Nguvu ya Police ama wananchi? Hivi Crimea somo la Comprehension lilipita kushoto ama ni njaaa njaa mwananchi??

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha.

ku reflect uhalisia wa tukio lenyewe, kichwa cha uzi huu chapaswa kusomeka hivii..... "Polisi wenye silaha nzito za kivita wavamia msafara wa Makamu M/kiti Tundu Lissu ukielekea Kibaha"
 
hiv unasema unatembelea soko kuzindua matawi.kipindi hiki si kampen hizo pia.
naona kama janja ya kutengeneza trend wawe wanavunja sheria wakizuiwa wao ndio inawapa promotion hiv!!

..Siyo kampeni.

..Ratiba ya Tume inaonyesha mgombea Uraisi wa CDM alitakiwa kufanya kampeni mkoani Mtwara na Lindi.

..Lakini kwasababu Kamati ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi imemzuia kufanya kampeni ndiyo maana hajakwenda huko.

..Kwa hiyo Tundu Lissu amefuata maelekezo ya Tume ya Uchaguzi na hajavunja sheria yoyote.
 
Sijawahi kuona mwanamke mjinga kama wewe; wewe hata nipewe bure na wazazi wako kisha niongezewe na pesa juu sikuowi, nikijitahidi sana nawatapeli kisha natawanyika...[emoji106]
Sasa kuna mwanamke gani atakubali kuolewa na gasho?

Huyo tutamuoa sisi wanaume mashabiki wa JPM,
Nyie mashabiki wa Lisu ni wazee wa faragha!
 
Hahaha mi ccm imefuraahii.

Mtakiona cha moto October 28.
 
Ukiona hilo Jeshi la Polisi linatumia nguvu hivyo kumdhibiti huyo Tundu Lissu, ujue hao watawala wa CCM weshaona maji yako shingoni!

Hilo Jeshi la Polisi, kwa kujua au kutojua, wanampaisha mno huyo Tundu Lissu.

Ukombozi kamili tayari ushakaribia mno.

Tarehe 28/10/2020 twende tukamalize kazi.

Watanzania wana jambo lao kwenye sanduku la kura
Dunia yote inaenda kujadili unyanyasaji huu unaoendelea kwa kumnyima Mh.Lissu kufanya kampeni na sasa kumbe hata kutembea haruhusiwi?CCM mnawatumia Police wetu vibaya na mnawadhalilisha,hizi silaha zote ni kumzuia Mh.Lissu tu!
Kuna uonevu mkubwa sana nchi hii,kazi ni kuwawinda wapinzani kama swala vile,utadhani kuna vita.
 
Back
Top Bottom