CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Mara baada ya mchakato wa uteuzi wa wagombea uchaguzi ngazi ya vyama kuanza, tulimuona Katibu wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF) kwenye mikutano ya vyama vya upinzani. Kwa uelewa wangu, ushiriki huo ulukuwa sehemu ya kutekeleza wajibu wale wa kuona kuwa uchaguzi haupelekei kuvunjika kwa amani.

Tulitegemea kuwa ili kudumisha amani MNF itakuwa mstari wa mbele kuona kuwa mchakato wa uchaguzi wote unatawaliwa na haki na kufanyika kwa mujibu wa sheria.

Kinyume na matarajio yetu MNF mpaka sasa iko kimya wakati ambapo kumekuwa na matukio mengi yanayohatarisha amani kwa kufinya haki. Je, MNF nayo ni muumini wa dhana ya amani pasipo haki?
 
Serikali hii iko macho sana. Hivi mnafikiri maendeleo haya yamefanywa kwa kujaribisha? Tuwekeze kwenye kuwaletea maendeleo wananchi then aje kimburu flani hivi alete chokochoko? Thubutu!
 
Nchi nzima mabango yenu hivi mnatafuta nini kwa Lisu Mungu anaweza waonyesha kitu cha ajabu msiamini anaweza leta mvua ya mawe na uchaguzi wenu ukapotea au tetemeko au huyo Jiwe wenu akapewa pepo laajabu acheni fitina na unafiki
 
..Ni nchi yako.

..Ni nchi ya Magufuli...
Sasa unalalamika nini? Hapo lazima Chadema watapigwa pesa ndefu tu ya kusumbua Jeshi a Polisi kwenye mambo ambayo yapo kikatiba, yeye alipaswa kujifungia nyumbani kwake hadi siku ziishe za kufungiwa. Ujanja mwingi mbele giza. Ngoma ya kitoto haikeshi.
 
Ni bora wamruhusu aende zake manake ninachokiona watu wasijetoka Morogoro, Kibaha Tanga kuandamana kwenda kukesha nae....
 
Mara baada ya mchakato wa uteuzi wa wagombea uchaguzi ngazi ya vyama kuanza, tulimuona Katibu wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF)kwenye mikutano ya vyama vya upinzani....
Inashangaza Sana...enzi za Kikwete Butiku na Taasisi yake walikuwa mstari wa mbele kukemea na kukosoa ...siku hizi wamelala dorooo...na huu ndio mwisho wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere
 

..Nalalamikia jeshi la Polisi kutokutenda HAKI.

..Chadema wamelisumbua vipi jeshi la Polisi?

..Hawajavunja sheria yoyote ile.
 
We fala unafikiri hatukujui? Likiharibika tutaanza na wewe pamoja na familiar yako yote
 
Magufuli no Rais wa nchi uwe unaelewa wewe. Serikali haiendi likizo ndiyo maana hata. wewe unapata amani ya kupost. Bila Magufuli, usingekaa kwa aman

Nilikuwa nakaa kwa amani na kupost hata kabla ya Magufuli kuwa rais. Sidhani kama unajua unachoongea.
 
Serikali hii iko macho sana. Hivi mnafikiri maendeleo haya yamefanywa kwa kujaribisha? Tuwekeze kwenye kuwaletea maendeleo wananchi then aje kimburu flani hivi alete chokochoko? Thubutu!
punguza njaa jamaa yangu. Ujue unatumika afu huna unachopata zaidi ya kuthibiti mkuno wa njaa ya tumbo! Kabla nilikuwa nakuonaga mjanja, kumbe 0 kabisa.
 
Nalipongeza jeshi letu la polisi kwa kazi nzuri ya kuitangazia dunia kuwa ccm imeshakoma kuwa chama cha kisiasa bali sasa ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.
Tulishasema kwamba bila polisi CCM ni wepesi kuliko pamba
 
Mkuu Lisu akitaka kwenda kukagua soko kama nani?

Kwenye sheria ni nani anapaswa kukagua soko? Ingekuwa anaenda kukagua kambi ya jeshi hapo ungekuwa na hoja. Soko ni eneo huru kila mtu anaweza kwenda, au kuna sheria maalumu za kwenda sokoni siku hizi?
 
punguza njaa jamaa yangu. Ujue unatumika afu huna unachopata zaidi ya kuthibiti mkuno wa njaa ya tumbo! Kabla nilikuwa nakuonaga mjanja, kumbe 0 kabisa.
Mimi nitumike na nani? Mwambie huyu kanjanja wako anayetumika. Tanzania hii tuliyoijenga kwa miaka yote hiyo waje waichukue kama pipi? Unaota wewe! Huyo kibaraka wenu mwacheni alale hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…