CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Mimi nitumike na nani? Mwambie huyu kanjanja wako anayetumika. Tanzania hii tuliyoijenga kwa miaka yote hiyo waje waichukue kama pipi? Unaota wewe! Huyo kibaraka wenu mwacheni alale hapo.
Mmeijenga wapi nyie nchi inanika umasikini?
 
Ukiona hivyo ujue kuwa huyo dikteta uchwara keshazidiwa katika kila idara na huyo shujaa Tundu Lissu

Hakika tuna Rais MWOVU ambaye hajawai kutokea Tanzania tangu ipate Uhuru.

Huyu Magufuli huyu Mungu anamwona. Hivi Kuna sheria gani inayosema MTU AKIWA MGOMBEA WA URAIS BASI HARUHUSIWA KUFANYA SHUGHULI ZINGINE ZA CHAMA CHAKE???
Tumemwona Magufuli ameahirisha Kampeni kwenda kufanya shughuli ZINGINE za kichama nje ya Kampeni!!

Kuna kitu Magufuli anakitaka toka kwa Tundu Lissu kwa kuwatumia POLISI NA NEC.....!!!
CCM, MAGUFULI NA POLISI WAJUE TU KWAMBA DUNIA NZIMA KWA SASA INAIMULIKA TANZANIA..!!!
AFTER THIS ELECTION THERE MUST BE SERIOUS CONSEQUENCES TO FOLLOW!!
 
Hii mbona ni aibu kwa nchi. Nimeona twitter kwa fichua tanzania mpaka sasa Lissu amegoma kuondoka.
 
Serikali hii iko macho sana. Hivi mnafikiri maendeleo haya yamefanywa kwa kujaribisha? Tuwekeze kwenye kuwaletea maendeleo wananchi then aje kimburu flani hivi alete chokochoko? Thubutu!
We jamaa usukuma umekutawala mpaka umekuwa kama hayawani.
 
What a stupid idiot, ati diaspora wamsaidie wakati yeye Tundu Lisu amevunja sheria na kufungiwa. Just eat your bullet.
 

Ushauri kwa CHADEMA, anzeni mchakato wa kufungua kesi Mahakama ya Kimataifa ICC kwa Kuandika barua kwa Bensouda!! Pelekeni nakala Mahakama ya Afrika Mashariki na Umoja wa Africa.
CCM inaonekana wamezidiwa kwene Kampeni hivo wanataka kuvuruga kabisa Uchaguzi kwa kutumia Tume isiyo Huru na Jeshi la POLICCM!
 
06 September 2020
Pwani
Tanzania

Tundu Lissu aongea toka Kiluvya mkoa wa Pwani

Propaganda tu maisha yamewashinda ulaya wanafikiria kuchafua amani yetu. Jeshi letu lipo imara sana, njama zote mnazopanga zinajulikana just FYI. Bado hatujalala Good job Jeshi la Polisi na vyombo vyote vya usalama lazima wafahamu Tanzania ni baba lao.
 
Unafikiri ICC ni kama mahakama ya mbuzi?
 
Mtanzania sio kama wewe uliyevamia na kuajiriwa na JF unafikiri mnaweza kufanya mnachotaka. Angalau unajifahamu wewe ni kapuku.
tumia rangi nyeusi kuandika nyekundu zinaumiza macho au uko period ,msomi gani unatumia rangi nyekundu kwenye mada mbona unakuwa mshamba
 
Unipe pole Mimi nimetoka familia tajiri? Au mm nikupe pole wewe unayefanya biashara isiyokupa faida
Nakuonea huruma pole kwa uoga babako katishwa kidogo karudi ccm
Amekua kama kibinti kinaasubiri kuolewa
Ungekua Tajiri usingekua unajipendekeza
Anyways jiwe linawafatilia kwa karibu andika Sana labda atawasamehe
Upo nchini mwako na unaisha kwa kujipendekeza msije mkafilisiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…