Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuateni sheria bila shuruti
Mmeijenga wapi nyie nchi inanika umasikini?Mimi nitumike na nani? Mwambie huyu kanjanja wako anayetumika. Tanzania hii tuliyoijenga kwa miaka yote hiyo waje waichukue kama pipi? Unaota wewe! Huyo kibaraka wenu mwacheni alale hapo.
Lissu anapambana kwakila hali ili avuruge amani kisha yeye akimbiliezake ubelgiji akatulie zake.
Ukiona hivyo ujue kuwa huyo dikteta uchwara keshazidiwa katika kila idara na huyo shujaa Tundu Lissu
Mh mwingne ni Rais na ni mwenyekiti.How do you separate the two? It's impossible absolutely.
We jamaa usukuma umekutawala mpaka umekuwa kama hayawani.Serikali hii iko macho sana. Hivi mnafikiri maendeleo haya yamefanywa kwa kujaribisha? Tuwekeze kwenye kuwaletea maendeleo wananchi then aje kimburu flani hivi alete chokochoko? Thubutu!
What about you?We jamaa usukuma umekutawala mpaka umekuwa kama hayawani.
Polisi wamesema watalala nae hapo hapoHii mbona ni aibu kwa nchi. Nimeona twitter kwa fichua tanzania mpaka sasa Lissu amegoma kuondoka.
How do you separate the two? It's impossible absolutely.
Tatizo la CCM na vyombo vyake ni wazito wa kuelewa au wanajifanya hawaelewi! Kwasasa Lissu ana kofia mbili , ni mgombea urais na pia ni Makamu mwenyekiti! Hata Mbowe ameshalifafanua hili, kwa hiyo kwasasa anafanya kazi za chama kama Makamu mwenyekiti, CHADEMA imeweka wagombea nchi nzima hivyo uongozi hauwezi kubaki kukaa tu pale ofisini bila kufanya shughuli za kimkakati!
Mbona waziri mkuu Khasim Majaliwa sio mgombea wa nafasi ya kitaifa lakini anazunguka huku na huko akitumia kofia ya mjumbe halmashauri kuu ya taifa ya ccm kufanya kampeni tena ambazo hata ratiba yake haitambuliwi na NEC?
Hazuiliwi na wala hapigwi mabomu na hata tume haitoi kauli yoyote ilihali hata mwananchi wa kawaida tu anaona wazi jambo hilo sio halali!
06 September 2020
Pwani
Tanzania
Tundu Lissu aongea toka Kiluvya mkoa wa Pwani
Unafikiri ICC ni kama mahakama ya mbuzi?Ushauri kwa CHADEMA, anzeni mchakato wa kufungua kesi Mahakama ya Kimataifa ICC kwa Kuandika barua kwa Bensouda!! Pelekeni nakala Mahakama ya Afrika Mashariki na Umoja wa Africa.
CCM inaonekana wamezidiwa kwene Kampeni hivo wanataka kuvuruga kabisa Uchaguzi kwa kutumia Tume isiyo Huru na Jeshi la POLICCM!
tumia rangi nyeusi kuandika nyekundu zinaumiza macho au uko period ,msomi gani unatumia rangi nyekundu kwenye mada mbona unakuwa mshambaMtanzania sio kama wewe uliyevamia na kuajiriwa na JF unafikiri mnaweza kufanya mnachotaka. Angalau unajifahamu wewe ni kapuku.
Nakuonea huruma pole kwa uoga babako katishwa kidogo karudi ccmUnipe pole Mimi nimetoka familia tajiri? Au mm nikupe pole wewe unayefanya biashara isiyokupa faida