CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Kabisa maana siku 3 hizi kampeni zilipoa wasivyo na akili wanambust wenyewe.
Tatizo wanamfanyia kampeni Bila kujuwa. Wangemsindikiza Kimia Kimia watu wasingejuwa
 
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Pwani Wankyo Nyigesa amesema watakesha na Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), Tundu Lissu ambaye awali alisema hataondoka baada ya Polisi kusimamisha msafara wake

RPC amesema, "Lissu amesema atakaa pale, atalala pale, tunasema asante sana kukesha pale, na sisi tutakesha nae pale, ni sehemu ya kazi yetu kukesha kwenye malindo

Mapema leo baada ya kuzuiwa Lissu alisema, "Kwa vyovyote vile mimi siondoki hapa, kama wanazuia tutalala hapa na kesho tutakuwa hapa"

Pia, soma >> CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wa CHADEMA Tundu Lissu ukielekea Kibaha
 
Let them continue to watch. We are not going to be used by your masters. Endelea kuwaabudu hao wajinga siku ukizinduka utakuwa umechelewa kama ulivyochelewa hapa.

You idiot and zero brain, do you really know what you're talking about?
Who is your Master? Magufuli and his entire government depends on the Masters by 100%
All Gold, Diamonds, Tanzanite etc are being explorated and exported to Europe, Asia and the USA by the same Masters you are trying to blame and condemn them!!
Hizi propaganda za kuwalaghai Watz ati Lissu na Wapinzani wengine wakishinda Tanzania itatawaliwa na Mabeberu Ni uzuzu na ujinga tu.......!!!What a non-sense?
 
Mimi takataka kama hizo huwa nazipiga spana, block kabisa
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽✊🏾✊🏾✊🏾👍🏽

You idiot and zero brain, do you really know what you're talking about?
Who is your Master? Magufuli and his entire government depends on the Masters by 100%
All Gold, Diamonds, Tanzanite etc are being explorated and exported to Europe, Asia and the USA by the same Masters you are trying to blame and condemn them!!
Hizi propaganda za kuwalaghai Watz ati Lissu na Wapinzani wengine wakishinda Tanzania itatawaliwa na Mabeberu Ni uzuzu na ujinga tu.......!!!What a non-sense?
 
Niliisha sema sasa vyombo vya dola pamoja na Ccm wame pigwa upofu hawaelewi wana fanya nini hadi wanajikuta wote wana mpigia Tundu kampeni bila wao kujua.
 
Hahahaha kwa pembeni tu ya barabara kuna vibanda vyenye bendera za chadema lakini Hakuna aliesogelea barabara

Hawa ndio watanzania ninaowajua
Bado hapo jiandae kuja kulia kwa kelele zaidi
 
You idiot and zero brain, do you really know what you're talking about?
Who is your Master? Magufuli and his entire government depends on the Masters by 100%
All Gold, Diamonds, Tanzanite etc are being explorated and exported to Europe, Asia and the USA by the same Masters you are trying to blame and condemn them!!
Hizi propaganda za kuwalaghai Watz ati Lissu na Wapinzani wengine wakishinda Tanzania itatawaliwa na Mabeberu.......!!!What a non-sense?

M
1602001699993.png

At your stupidity level, you think Europe, Asia and USA are masters? Go back to school.
 
[emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1478][emoji1478][emoji1478][emoji1417]
Which idiot is professing this non sense?
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽✊🏾✊🏾✊🏾👍🏽
Umeshatoka kwenye shift ya kuosha vibibi vya kithungu khe khe khee khee eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Serikali hii iko macho sana. Hivi mnafikiri maendeleo haya yamefanywa kwa kujaribisha? Tuwekeze kwenye kuwaletea maendeleo wananchi then aje kimburu flani hivi alete chokochoko? Thubutu!
ipo macho kivipi? wewe ndiyo kimburu mbumbumbu juha zuzu kilaza hujielewi na hujua unachokiandika baada ya kuvuta Bangi za kutosha kwa cyprian Musiba, maendeleo yapi yameletwa na CCM? Maendeleo ni Hisani za CCM? Maendeleo ni pesa binafsi tokea mfukoni mwa mtukufu magufuli polepole na Bashiru? Acha ufala wako maendeleo ni pesa za walipa kodi na maendeleo ni lazima siyo Ombi kwani ni pesa za umma, miradi yote ina ufisadi mkubwa kila kona kuna wizi
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom