Mkuu kinukisheBwana zako ndiyo wamekutuma kuja kufanya usumbufu mitandaoni au umevuta Bangi mwenyewe ukaanza ujinga?
Tatizo wanamfanyia kampeni Bila kujuwa. Wangemsindikiza Kimia Kimia watu wasingejuwa
Let them continue to watch. We are not going to be used by your masters. Endelea kuwaabudu hao wajinga siku ukizinduka utakuwa umechelewa kama ulivyochelewa hapa.
Kama una ka ubwa kako nyumbani kana kulinda bora ukaombeye kuliko Bwana yuleHii kauli mbona imepotea kitambo haswa Lissu alivyorudi tuu hata kutamka imekuwa shida.
Sababu tayari imeshajulikana mtu wa kuombewa ni yupi...?
Huo muda unatoka wapi hasa!?JAMANI MUNIOMBEE
View attachment 1592062
CCM ndiyo chama cha hovyo DunianiJiwe ni mtu wa hovyo sana!!
Mtajidanganya sana ila mwisho wa ukandamizaji ndo umefika. Baada ya miaka hamsa ya udikteta, ni wazi Wananchi wamechoka.Mwacheni alale hapo si ameomba eti taarifa zisambazwe kote duniani ili asikie beberu aliyemtuma! Subiri sasa.
Mimi takataka kama hizo huwa nazipiga spana, block kabisaYou idiot and zero brain, do you really know what you're talking about?
Who is your Master? Magufuli and his entire government depends on the Masters by 100%
All Gold, Diamonds, Tanzanite etc are being explorated and exported to Europe, Asia and the USA by the same Masters you are trying to blame and condemn them!!
Hizi propaganda za kuwalaghai Watz ati Lissu na Wapinzani wengine wakishinda Tanzania itatawaliwa na Mabeberu Ni uzuzu na ujinga tu.......!!!What a non-sense?
Jamaa walidhani anaenda kukutana na Amsterdam.
Mbona mwaka huu mtatapika damu
Ni kweli mkuu bwana Yule Kwa matendo yake hana hadhi ya kutuambia tumuombee.Kama una ka ubwa kako nyumbani kana kulinda bora ukaombeye kuliko Bwana yule
You idiot and zero brain, do you really know what you're talking about?
Who is your Master? Magufuli and his entire government depends on the Masters by 100%
All Gold, Diamonds, Tanzanite etc are being explorated and exported to Europe, Asia and the USA by the same Masters you are trying to blame and condemn them!!
Hizi propaganda za kuwalaghai Watz ati Lissu na Wapinzani wengine wakishinda Tanzania itatawaliwa na Mabeberu Ni uzuzu na ujinga tu.......!!!What a non-sense?
Bado hapo jiandae kuja kulia kwa kelele zaidiHahahaha kwa pembeni tu ya barabara kuna vibanda vyenye bendera za chadema lakini Hakuna aliesogelea barabara
Hawa ndio watanzania ninaowajua
You idiot and zero brain, do you really know what you're talking about?
Who is your Master? Magufuli and his entire government depends on the Masters by 100%
All Gold, Diamonds, Tanzanite etc are being explorated and exported to Europe, Asia and the USA by the same Masters you are trying to blame and condemn them!!
Hizi propaganda za kuwalaghai Watz ati Lissu na Wapinzani wengine wakishinda Tanzania itatawaliwa na Mabeberu.......!!!What a non-sense?
M
Which idiot is professing this non sense?[emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1478][emoji1478][emoji1478][emoji1417]
Back to your master, idiot.
Umeshatoka kwenye shift ya kuosha vibibi vya kithungu khe khe khee khee eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½βπΎβπΎβπΎππ½
Huu wako nao ni ujinga!Lissu anapambana kwakila hali ili avuruge amani kisha yeye akimbiliezake ubelgiji akatulie zake.
ipo macho kivipi? wewe ndiyo kimburu mbumbumbu juha zuzu kilaza hujielewi na hujua unachokiandika baada ya kuvuta Bangi za kutosha kwa cyprian Musiba, maendeleo yapi yameletwa na CCM? Maendeleo ni Hisani za CCM? Maendeleo ni pesa binafsi tokea mfukoni mwa mtukufu magufuli polepole na Bashiru? Acha ufala wako maendeleo ni pesa za walipa kodi na maendeleo ni lazima siyo Ombi kwani ni pesa za umma, miradi yote ina ufisadi mkubwa kila kona kuna wiziSerikali hii iko macho sana. Hivi mnafikiri maendeleo haya yamefanywa kwa kujaribisha? Tuwekeze kwenye kuwaletea maendeleo wananchi then aje kimburu flani hivi alete chokochoko? Thubutu!