CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Hujui historia , umekaririshwa Mandela alitoka gerezani hai.
Tumia akili yako kujua Mandela alifia wapi ? Na alipokufa nani alivalishwa sura ya Mandela. Na alitolewa gerezani ama alizikwa wapi?
Kwa nini Winnie Mandela alikataa kulala na kivuli cha Mandela ?
Hujiulizi na kuona kifo cha Mandela fake na Mandela original ni tofauti?
Endelea kulishwa matango pori na Lisu wako.
Ubongo wako una dhiki ya uelewa.

Kaburi lake la huyo Mandela orijino liko wapi?
Ni nani alizibaini hizo njama na akaweka ushahidi usio na shaka kuwa Mandela amefariki na sura yake kavikwa mwingine?

Waswahili ubongo wetu umetiwa upofu na siasa za hovyo hovyo zilizo tufanya tuwe watu wa kusifu na kuabudu huku ufukara kwenye jamii zetu ukitamalaki.
 
Wewe siyo raia wa nchi hii kwanza. Tunakufiatilia kwa ukaribu sana.
Ninaweza nikawa sio raia wa nchi hii lakini nikawa mzalendo kuliko hata raia wa hii nchi, mmejaa tu utapeli na ukandamizaji kwa raia wa nchi hii.
 
Na
Ukiona hilo Jeshi la Polisi linatumia nguvu hivyo kumdhibiti huyo Tundu Lissu, ujue hao watawala wa CCM weshaona maji yako shingoni!

Hilo Jeshi la Polisi, kwa kujua au kutojua, wanampaisha mno huyo Tundu Lissu.

Ukombozi kamili tayari ushakaribia mno.

Tarehe 28/10/2020 twende tukamalize kazi.

Watanzania wana jambo lao kwenye sanduku la kura
Na wasilolijua ni kwamba hao polisi wanawakarisha jwtz na wakishaingia hao kazi imeisha.
 
Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha.


sa
Sasa nashangaa huyu mgombea urais kupitia chadema alizuiliwa kwamuda wasiku7 kufanyakampeni?au alizuiliwa kutembea nchini
Kama uingereza wamesapoti hali hii kumbe hatawao kunamatatizo
 
Lissu kuna muda mwingine hashauriwi vizuri.
Sasa utakesha hapo unafanya nini? Leo tarehe 6 ni siku mbili tu zimebaki kufika tarehe 9, si asubiri tu
 
Huyu ni mtu bwege! Anadhalau polisi na kusema hawa siyo tume ya uchaguzi wakati anaelewa nini alichoambiwa na Tume hiyo. Sifa za kijinga.

Jitazame kwenye kioo ujione....

Wewe ndiye "bwege" na "mjinga" maana hujui usemalo wala uwazalo...!!
 
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba vijana wa uvccm wanavalishwa sare na kuingizwa polis, pia wanatumika kuvuruga mikutano au mikakati ya wapinzani kama walivyofanya kule kwa heche na lema
 
POLISI PWANI WASEMA WATALALA NA LISSU BARABARANI KUMLINDA.

‘’Lissu amesema atakaa pale,atalala pale,tunasema asante sana kukesha pale,na sisi tutakesha nae,ni sehemu ya kazi yetu kukesha kwenye malindo’’-Wankyo Nyigesa,RPC Pwani.

1601993544137.png
 
I am financially sound more than you might think. I can even be your employer. So be careful not to ruin your employment chances by your improper responses to my posts.
Umenikumbusha shilolekiuno official mchambaji wa instagram.
Waswahili tuna safari ndefu sana
 
Lissu kuna muda mwingine hashauriwi vizuri.
Sasa utakesha hapo unafanya nini? Leo tarehe 6 ni siku mbili tu zimebaki kufika tarehe 9, si asubiri tu

Wanamuonea tu.
Kwani wangemruhusu kufanya shughuli zake kungetokea madhara gani?
Tangu TL amerejea nchini hajaumiza mtu yeyote yule mahali kote alikopita.
 
Lisu atadhibitiwa kila anapokanyaga! Hatutaki vibaraka hapa nchini
MTU was kwanza kudakwa na ICC ni siro...muda utasema.polis ndo wanavuruga amani ya nchi yetu kwa kuipendelea ccm...
 
Ataruhusiwaje ikiwa amefungiwa?

..amefungiwa kufanya kampeni za Uraisi.

..lakini hajafungiwa kufanya mikutano ya ndani ya chama.

..pia hajafungiwa kutembelea maeneo mbalimbali ya nchi yetu.

..wakati mwingine Polisi wetu ndio wanatishia na kuhatarisha amani kuliko wagombea.
 
Back
Top Bottom