Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Wewe ni mmoja wa watengeneza michongo bambikizi ndio maana.Hoa magaidi mnawabembeleza nn ,chama jinai
USSR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mmoja wa watengeneza michongo bambikizi ndio maana.Hoa magaidi mnawabembeleza nn ,chama jinai
USSR
Unataka kusema anaweza kuwa kule timu viroboto au?Mayalla nia ya uzi wake ni kutaka kuiponda Chadema kuwa siyo Chama makini. Yaani Mayalla ni antiChadema.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Watakwambia "nafasi za u-DC zimejaa." Wanatunyeshea mvua ya matusi huko Twitter. Labda hii ndio demokrasia inayotafutwa kwenye #KatibaMpya, yaani uhuru wa kutukana kila wasiyeafikiana nae kimtazamo.Wanabodi,
Hili mada ya ushauri wa bure kwa Chadema, nimesoma humu kuwa wamesusia mkutano wa kesho wa vyama vya siasa kule Dodoma. Nawashauri ndugu zangu Chadema, wasisuse unless wana uhakika, kwa kususa kwao, kuna something tangible, they wish to achieve na kwa kususa huko they will, achieve, lakini huku kususa tuu just for the sake ya kususa, ili kuonekana ni mashujaa, wanaweza sana kususa, lakini kwa kususa huko, they won't achieve, anything, nawashauri Chadema, wasisuse, wahudhurie mkutano wa kesho, waende na hoja zao, mkononi, wasiwazilishe mezani, zitamfikia Rais Mama Samia, kwasababu tayari Rais Samia, ameishaonyesha kwa kauli na matendo, ana nia njema ya dhati to heal the nation, na tusonge mbele kwenda kwenye maendeleo ya kweli ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Kuhusu Hii Tabia ya Kususa Sasa
kuhusu tabia ya kususa, kisiasa, huu mtindo wa kuzira au kususa susa, kususia kila jambo usilokubaliana nalo, sio tabia za kike hizi?, au sio tabia za kitoto?!. Mtu unasusia jambo fulani la kisiasa, ili upate nini?. Kususia jambo lolote la kisiasa bila kupiga hesabu ya what do you want to achieve na kususa huko, sio political suicide?.
The Motive Behind Kususa.
Jee ni nini the motive behind kususa jambo fulani, una susa ili uachieve nini, na baada ya kususa, jee hao wasusaji huwa wanakipata kile walichokusudia?!. Kususa jambo fulani bila malengo, sio tuu ni utoto, bali ni ujinga, kwa sababu ni sawa na kumsusia ngedere shamba la mahindi!, utayavuna mabua!.
My Take. (Maoni Yangu).
Kususia kushiriki mkutano huo sio suluhisho, huku ni kujiua kabisa kisiasa, dawa ni kujenga hoja madhubuti na kukaa mezani kuzungumza, vingine tuitumie mahakama yetu kuzifumua sheria kandamizi za uchaguzi ili zituletee uchaguzi huru na wa haki.
1. Tume yetu ya Uchaguzi NEC, japo sio inclusive lakini ni Tume Huru, licha ya kuteuliwa na rais ambaye ni Mwenyekiti wa chama kimojawapo, kwa uhuru ule ule wa Mahakama zetu ambazo majaji huteuliwa na rais huyo huyo ambaye pia humteua Mtendaji Mkuu wa Bunge letu. Kama Bunge limeweza kuwa huru kwa mfumo huu, na Mahakama ni huru, hata Tume pia ni huru, ila ionekane kuwa huru, something more needs to be done kwenye Tume Hii.
2. Sheria yetu ya uchaguzi, ina mapungufu makubwa yanayohitaji kufanyiwa marekebisho ili kutoa ushindani wa haki. Tusiilaumu Tume kwa chochote kinachotokea kwa sababu Tume inatekeleza sheria zilizopo, kama ni sheria kandamizi, ni kosa la sheria na aliyezitunga na sio kosa la mtekelezaji.
3. The political game playing field is not level, we need to create a level playing field ili kupata ushindani wa haki. Hili nalo ni tatizo la kikanuni, mfano uchaguzi wa 2020, kuna mgombea mmoja anaingia kwenye kinyanganyiro na vingora, msafara, media, na wasaidizi kibao, huku budget yake is fully footed by state, ashindane na makapuku!, unategemea nini?. Tangu tumeanza uchaguzi wa vyama vingi, kuna chama dola kinashindana na vyama makapuku!.
4. Now it's high time vyama vya siasa, vianze kutake responsibilities kwa matokeo ya utendaji wa vyama vyetu kwenye chaguzi mbalimbali, kwa kukubali kushiriki uchaguzi katika mazingira haya, na tukishindwa kihalali kwenye sanduku la kura, katika uchaguzi huru na wa haki, tukubali matokeo, na sio kutafuta visingizio.
5. Lazima tufike mahali, kwa pale ambapo uchaguzi ulikuwa huru na wa haki licha ya kasoro za hapa na pale, ambazo hazitaathiri, matokeo ya jumla ya uchaguzi huo, tujifunze kukubali matokeo na kushindwa kihalali, asiyekubali kushindwa sio mshindani. Kisha turudi nyuma kujitathmini where did we go wrong. Tulipaswa kufanya nini ili kupata ushindi katika mazingira kama haya.
Conclusion.
The bitter reality kwa wapenda demokrasia wa kweli wa mfumo wa vyama vingi nchini, mimi nikiwemo, tumeshuhudia hali hii ndio uwezo wa ushindani kwa vyama vyetu vya upinzani nchini Tanzania ndio umefikia hapa baada ya miaka 30 ya vyama vingi, naweza kusema kuwa this is the peak ya upinzani Tanzania, upinzani Tanzania, ndio imefika mwisho wake sasa!. Sasa tuanze kujiuliza, jee kama hali ni hii sana, je hali itakuwaje kwa uchaguzi wa 2025?. Kama wapinzani hawatabadili mbinu na strategies, za namna ya kushindana na CCM kwenye ushindani usio sawa kupitia sanduku la kura, then, uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kuna hatari kubwa kwa CCM, kuendelea kuyashikilia majimbo yote ya uchaguzi yaliyokuwa yanashikiliwa na lile jimbo moja la ngama la upinzani, nalo likarudishwa CCM, hivyo kuirudisha Tanzania kuwa ni nchi rasmi ya chama kimoja cha siasa, something which is not healthy at all to true modern democracy!.
Tanzania kama taifa, tujipe pole kwa gharama kubwa za chaguzi hizi, ila tuombe sana Mungu alisaidie taifa letu kama gharama hizi za uchaguzi wa kinachoitwa demokrasia ya uchaguzi huru na wa haki, zinajumuisha, machozi, jasho na damu za Watanzania, kwa kugharimiwa na damu na roho za Watanzania, hakuna namna nyingine yoyote ya fidia kwa damu za watu na roho za watu, zaidi vya karma!, kwa wanaojua the karma operatives, wanajua kilichotokea, tumsaidie rais wetu Mama Samia na nchi yetu Tanzania, tutende haki kwa wote, kuiepuka hii karma isiendelee kututafuna!.
Nawatakia Jumatano Njema na kesho Mkutano Mwema.
Wasalaam.
Paskali
Rejea za kuhusu Kususa.
Baada ya uchaguzi wa 2010, Chadema ilisusia matokeo na kujidai kuwa hawamtambui JK, ila bunge tuu lilipoanza, niliibua mjadala huu
Chadema Yakubali Yaishe! Yamtambua Rais!, Yampongeza Rais!.
Matokeo ya Chadema Kususia Hotuba ya JK na Kuapishwa kwa Pinda
Media Kususia Habari za Fulani: Jee Tanzania Tuna Independent Media Yenye Jeuri Hiyo?.
Uchaguzi wa 2015 Ukawa wakadai Lowassa ndie mshindi, hivyo wakajifanya kususa, na kutomtambua Magufuli, mimi niliwapa ushauri ufuatao
Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali ya Magufuli ni Serikali Haramu. Hukumu ya Karma ii Juu Yake!.
Ushauri wa Bure kwa Lowassa: Hata kama ni kweli uliibiwa kura; Kaa kimya, Mungu ndiye akupiganie!
CUF kushiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar si hiyari, Ni lazima! Vinginevyo, huo ndio mwisho wake - JamiiForums
Hatimaye CUF 'Wameridhia' Rasmi, Kushiriki Uchaguzi Wa Marudio Zanzibar!. - JamiiForums
Japo umegharimiwa kwa machozi, jasho na damu, ulikuwa huru na wa haki!. Hongera CCM, CHADEMA poleni!. Mungu saidia Tz - JamiiForums
Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa, wanapanga kurejea CCM! - JamiiForums
Masikini hana kiapo cha kudumu mkuu!Mkuu Paschal siku hizi umekuwa kama pressure ya kupanda na kushuka, jmosi star TV nilikuwa ulikuwa ni Paschal pure maana ulikuwa unaongea point tupu, leo tena umerudi kule kule. Da so sad
Hivi mpendwa unaongelea CHADEMA ipi? Ile ile unayoinanga ilishakufa na kuzikwa 'six feet under'?Hayo maushauri ya kichawi kutoka kwa wachawi wenzio yafaa ubaki nayo mwenyewe, hukohuko mnapowaimbia watesi wetu, mapambio.Wanabodi,

Mkuu elvischirwa , karibu pande hizi.Mayalla haujawahi kulalamika kitendo cha wanaccm kufanya mikutano kila siku na kila mahali nchini,
Hili mada ya ushauri wa bure kwa Chadema
Hatari snMasikini hana kiapo cha kudumu mkuu!
Wanabodi,

nawashauri Chadema, wasisuse, wahudhurie mkutano wa kesho, waende na hoja zao, mkononi, wasiwasilishe mezani, zitamfikia Rais Mama Samia, kwasababu tayari Rais Samia, ameishaonyesha kwa kauli na matendo, ana nia njema ya dhati to heal the nation, na tusonge mbele kwenda kwenye maendeleo ya kweli ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.
P
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia amemlipa stahiki zake kama mbunge ambazo ni kiinua mgongo, Serikali ya Rais Magufuli ilikuwa imekataa kumlipa.
Pia Serikali ilimuambia aandike barua pamoja na kuambatanisha na nyaraka ili apewe fedha zake za matibabu ambazo Serikali ya Rais Magufuli pia ilikataa kumlipa.
Tundu Lissu alikutana na Rais Samia alipotembele nchini Ubelgiji ambapo waliongea mambo kadhaa ikiwemo stahiki hizo.
Mzee baba, kila Rais si unasema hivyo?Huu ni uthibitisho kuwa Rais Mama Samia ni mpenda haki, mtenda haki, atabarikiwa, nchi itabarikiwa na itaneemeka kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Kila nikimtafakari Rais Samia, I was never wrong about her niliposema haya kumhusu Samia Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
She is so humble Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...
Na hapa "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Na hapa Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito!
Na hapa Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!.
P
Chadema waliacha kususa, wakakubali kukaa mezani kufanya maridhiano, haya ndio matokeo chanyaWanabodi,
Hili mada ya ushauri wa bure kwa Chadema, nimesoma humu kuwa wamesusia mkutano wa kesho wa vyama vya siasa kule Dodoma kwa hoja mpaka kesi inayomkabili Mwenyekiti wao ifutwe. Nawashauri ndugu zangu Chadema, wasisuse unless wana uhakika, kwa kususa kwao, kuna something tangible, they wish to achieve na kwa kususa huko they will, achieve, lakini huku kususa tuu just for the sake ya kususa, ili kuonekana ni mashujaa, wanaweza sana kususa, lakini kwa kususa huko, they won't achieve, anything, nawashauri Chadema, wasisuse, wahudhurie mkutano wa kesho, waende na hoja zao, mkononi, wasiwazilishe mezani, zitamfikia Rais Mama Samia, kwasababu tayari Rais Samia, ameishaonyesha kwa kauli na matendo, ana nia njema ya dhati to heal the nation, na tusonge mbele kwenda kwenye maendeleo ya kweli ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Kuhusu Hii Tabia ya Kususa Sasa
kuhusu tabia ya kususa, kisiasa, huu mtindo wa kuzira au kususa susa, kususia kila jambo usilokubaliana nalo, sio tabia za kike hizi?, au sio tabia za kitoto?!. Mtu unasusia jambo fulani la kisiasa, ili upate nini?. Kususia jambo lolote la kisiasa bila kupiga hesabu ya what do you want to achieve na kususa huko, sio political suicide?.
The Motive Behind Kususa.
Jee ni nini the motive behind kususa jambo fulani, una susa ili uachieve nini, na baada ya kususa, jee hao wasusaji huwa wanakipata kile walichokusudia?!. Kususa jambo fulani bila malengo, sio tuu ni utoto, bali ni ujinga, kwa sababu ni sawa na kumsusia ngedere shamba la mahindi!, utayavuna mabua!.
My Take. (Maoni Yangu).
Kususia kushiriki mkutano huo sio suluhisho, huku ni kujiua kabisa kisiasa, dawa ni kujenga hoja madhubuti na kukaa mezani kuzungumza, vingine tuitumie mahakama yetu kuzifumua sheria kandamizi za uchaguzi ili zituletee uchaguzi huru na wa haki.
P
Aisee umenifanya niisubiri hiyo tarehe 8 kwa hamu sana, nione kama watawasamehe wale wanawake 19.Chadema waliacha kususa, wakakubali kukaa mezani kufanya maridhiano, haya ndio matokeo chanya
Update
Hatimaye Chadema wameacha kushupaza shingo na wamekubali matokeo!, kwa kuufuata ushauri wa bandiko hili CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
Nimepokea taarifa, hii kutokea twitwani
Kisha nikasoma na bandiko hili humu JF Tundu Lissu: CHADEMA tumeanza kupokea Ruzuku
Chadema wameufuata ushauri wa bandiko hili, waneacha ujinga wa kujifanya hawayatambui matokeo ya uchaguzi wa 2020!, sasa wameacha kushupaza shingo, wameyatambua matokeo kimya kimya!, wamewasamehe mashujaa hawa kimya kimya msamaha ambao utatangazwa rasmi siku ya Jumatano tarehe 8 Machi na Mwenyekiti wa Chadema, mbele ya Rais Samia!.
Iliwa kusemwa kuwa hakuna mkate mgumu wowote mbele ya chai!, tayari Chadema imeisha anza kupokea ruzuku hivyo sasa ita survive!. Na ile kesi ya kina Halima Mdee na wale 19 iliyopo mahakamani itafutwa!.
Hongera sana Chadema, for doing the right thing!, mtabarikiwa, viongozi wenu watabarikiwa, chama chenu kitabarikiwa na Tanzania Itabarikiwa!.
Mungu ibariki Chadema
Mungu ibariki CCM kwa kukubali reconciliation
Mungu ibariki Tanzania
Paskali