CHADEMA: Salamu za rambirambi kwa IGP

Mkuu kutoa pole tu unataka watu wafanya uchunguzi? Hapa tumetoa pole na rambi rambi. Jesho litafanya uchunguzi kiweledi
Chadema wanasma kwamba alitembea na bunduki bila kugundulika sio kweli

Sikiliza mashuhuda wakinena
 
Nyumba ya diwani ipo upanga? Ebu fanys utafiti kwanza kabla ya kuandika jambo, anyeishi hapo karibu ni mkuu wa usalama mkoa wa dar na sio DGIS
 
Hiyo mitqa huww napita huwa nadhani muda wote wenye miwani mieusi wananiona kumbe ni geresha tu. Muda huo ni mrefu kwa maeneo sensitive kama hayo.

Sasa ingekuwa Mbagala kwetu si angemaliza mtaa mzima?
 
Hatari Sana inaogopesha tulikofika je kwa nini mhalifu alikuwa akiwatafuta Polisi zaidi uchunguzi wa kina ufanyike Kuna Jambo zito
Hakuwatafuta polisi zaidi, hembu sikiliza mashahidi
 
inadaiwa Mbowe aliwarubuni na kuwatumia vijana wafuatao katika matendo ya Kigaidi;
1. HALFANI BWIRE HASSAN
2. ADAM HASSAN KASEKWA
3. MOHAMEDI ABDILAHI LINGWENYA.
Tafakakuri.
 
inadaiwa Mbowe aliwarubuni na kuwatumia vijana wafuatao katika matendo ya Kigaidi;
1. HALFANI BWIRE HASSAN
2. ADAM HASSAN KASEKWA
3. MOHAMEDI ABDILAHI LINGWENYA.
Tafakakuri.
kwa nini alikuwa ana target maaskari tu?! aliwalenga kuwauwa maaskari.
 
We
Wewe nakuomba uache hiyo roho ,Dunia hii ni ya Mungu siyo ya CCM.Sikufiji utakufa kifo Kibaya sana
 
inadaiwa Mbowe aliwarubuni na kuwatumia vijana wafuatao katika matendo ya Kigaidi;
1. HALFANI BWIRE HASSAN
2. ADAM HASSAN KASEKWA
3. MOHAMEDI ABDILAHI LINGWENYA.
Tafakakuri.
Hahaha..... Sirro ana kazi kubwa kujustify Ugadi wa Mbowe.

Kama kweli intelijensia yao inafanya kazi walishindwa je kuuona mapema huu Ugaidi wakaweza kuuona ule wa laki 6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…