CHADEMA: Salamu za rambirambi kwa IGP

CHADEMA: Salamu za rambirambi kwa IGP

Mkuu kutoa pole tu unataka watu wafanya uchunguzi? Hapa tumetoa pole na rambi rambi. Jesho litafanya uchunguzi kiweledi
Chadema wanasma kwamba alitembea na bunduki bila kugundulika sio kweli

Sikiliza mashuhuda wakinena
 
Sirro na jeshi lake nawaweka kuwa suspected no 1.
Hapo jamaa alipokuwepo ni 100 kutoka nyumba ya Diwani Athuman

Mita 200 ofisi ya usalama wa Taifa
Akauua polisi wawili kwa pistol/bastola then akachukua bunduki zao ?
Bado akaua mlinzi wa kampuni binafsi halafu tena akawa anaongoza msafara wa magari ya kiraia .
Yeye alikuwa anataka tu polisi
Kwa nini ?
Nyumba ya diwani ipo upanga? Ebu fanys utafiti kwanza kabla ya kuandika jambo, anyeishi hapo karibu ni mkuu wa usalama mkoa wa dar na sio DGIS
 
Hiyo mitqa huww napita huwa nadhani muda wote wenye miwani mieusi wananiona kumbe ni geresha tu. Muda huo ni mrefu kwa maeneo sensitive kama hayo.

Sasa ingekuwa Mbagala kwetu si angemaliza mtaa mzima?
 
inadaiwa Mbowe aliwarubuni na kuwatumia vijana wafuatao katika matendo ya Kigaidi;
1. HALFANI BWIRE HASSAN
2. ADAM HASSAN KASEKWA
3. MOHAMEDI ABDILAHI LINGWENYA.
Tafakakuri.
 
inadaiwa Mbowe aliwarubuni na kuwatumia vijana wafuatao katika matendo ya Kigaidi;
1. HALFANI BWIRE HASSAN
2. ADAM HASSAN KASEKWA
3. MOHAMEDI ABDILAHI LINGWENYA.
Tafakakuri.
kwa nini alikuwa ana target maaskari tu?! aliwalenga kuwauwa maaskari.
 
We
bahati mbaya mkuu mimi sio mfuasi wa chama chochote mimi ni mtanzania, naipenda nchi yangu, ila inapo tokea chama chochte kina hubiri na kuhamasisha uvunjifu wa amani siwezi kukaa kimya, CHADEMA ni Chama ambacho tayari kimeonyesha wazi ni chama kinacho hamasisha uvunjifu wa amani, Mwenyekiti wa Chama hicho Mbowe tayari anakabiliwa na Mashitaka ya Ugaidi, hujiulizi swali tu kama Baba yao alikuwa anaratibu matendo ya Kigaidi je watoto (Vionhozi wenzake na wafuasi) wake watakuwa na tabia gani?! ni hatari sana, hiki chama kilipaswa kufutwe kabisa.
Wewe nakuomba uache hiyo roho ,Dunia hii ni ya Mungu siyo ya CCM.Sikufiji utakufa kifo Kibaya sana
 
inadaiwa Mbowe aliwarubuni na kuwatumia vijana wafuatao katika matendo ya Kigaidi;
1. HALFANI BWIRE HASSAN
2. ADAM HASSAN KASEKWA
3. MOHAMEDI ABDILAHI LINGWENYA.
Tafakakuri.
Hahaha..... Sirro ana kazi kubwa kujustify Ugadi wa Mbowe.

Kama kweli intelijensia yao inafanya kazi walishindwa je kuuona mapema huu Ugaidi wakaweza kuuona ule wa laki 6.
 
Back
Top Bottom