CHADEMA sasa hivi wanashikiwa akili na Lissu, Lema na Wanaharakati

Chadema bila uongozi wa akina Mbowe, Prof.Safari, Mdee, Bulaya naona ni kama FUSO iliyovunja Deef
 
Wanaukumbi,

Tatizo kubwa la vijana wa Chadema na wafuasi wao karibia wote sasa hivi wanameshikiwa akili na Lissu, Lema na wanaharakati huko Team Space kila siku mnajikuaanya na kulishwa pumba mnameza tu.

Hakuna taifa duniani ukigusa mambo yanayohatarisha ‘National Security’ serikali ikakuchekea. HAKUNA. Maslahi ya Taifa ni makubwa zaidi ya mtu au chama.

Kipindi Rais Samia ameingia madarakani tulisihi tumpe MUDA aweze kuweka uchumi na nchi katika mstari.

CHADEMA wakajazwa upepo na ‘Team Space’ kuanzisha vuguvugu la Katiba Mpya.

Kosa ni kujaribu ku-Sabotage Rais Samia ashindwe ku-control na kuendesha nchi.
Tuliwaonya mkakaidi.

Endeleeni tu kujazwa upepo na “Team Space wenzenu wanapiga pesa wakati nyie mnabatizwa kwa moto cha kushangaza anachoongea Lema na Lissu marufuku kupinga.
Uchumi huo uko Wapi Dogo? Mkishiba mataputapu mnajamba hovyo, mbona hatuuoni huo uchumi ukiimarika?

Mbona kinachohatarisha usalama wa nchi kitaondoshwa na katiba mpya

alafu ni nani aliharibu huo uchumi wenu?
 
Wanaukumbi,

Tatizo kubwa la vijana wa Chadema na wafuasi wao karibia wote sasa hivi wanameshikiwa akili na Lissu, Lema na wanaharakati huko Team Space kila siku mnajikuaanya na kulishwa pumba mnameza tu.

Hakuna taifa duniani ukigusa mambo yanayohatarisha ‘National Security’ serikali ikakuchekea. HAKUNA. Maslahi ya Taifa ni makubwa zaidi ya mtu au chama.

Kipindi Rais Samia ameingia madarakani tulisihi tumpe MUDA aweze kuweka uchumi na nchi katika mstari.

CHADEMA wakajazwa upepo na ‘Team Space’ kuanzisha vuguvugu la Katiba Mpya.

Kosa ni kujaribu ku-Sabotage Rais Samia ashindwe ku-control na kuendesha nchi.
Tuliwaonya mkakaidi.

Endeleeni tu kujazwa upepo na “Team Space wenzenu wanapiga pesa wakati nyie mnabatizwa kwa moto cha kushangaza anachoongea Lema na Lissu marufuku kupinga.
Masirahi ya CCM sio National security,,,afu Kama Chadema wameshikwa na Lissu, inakuuma nini [emoji1]
 
Wanaukumbi,

Tatizo kubwa la vijana wa Chadema na wafuasi wao karibia wote sasa hivi wanameshikiwa akili na Lissu, Lema na wanaharakati huko Team Space kila siku mnajikuaanya na kulishwa pumba mnameza tu.

Hakuna taifa duniani ukigusa mambo yanayohatarisha ‘National Security’ serikali ikakuchekea. HAKUNA. Maslahi ya Taifa ni makubwa zaidi ya mtu au chama.

Kipindi Rais Samia ameingia madarakani tulisihi tumpe MUDA aweze kuweka uchumi na nchi katika mstari.

CHADEMA wakajazwa upepo na ‘Team Space’ kuanzisha vuguvugu la Katiba Mpya.

Kosa ni kujaribu ku-Sabotage Rais Samia ashindwe ku-control na kuendesha nchi.
Tuliwaonya mkakaidi.

Endeleeni tu kujazwa upepo na “Team Space wenzenu wanapiga pesa wakati nyie mnabatizwa kwa moto cha kushangaza anachoongea Lema na Lissu marufuku kupinga.
Unachokitetea au kikipigania hapa ni nni hasa. Au mwenzetu unayemsupport Chui Jike unakula kwa urefu wa kamba yako ndiyo maana kusupport Chadema ni kupoteza muda kwa vile wanaokula ni wao tu Team Space....!!?
 
Wanaukumbi,

Tatizo kubwa la vijana wa Chadema na wafuasi wao karibia wote sasa hivi wanameshikiwa akili na Lissu, Lema na wanaharakati huko Team Space kila siku mnajikuaanya na kulishwa pumba mnameza tu.

Hakuna taifa duniani ukigusa mambo yanayohatarisha ‘National Security’ serikali ikakuchekea. HAKUNA. Maslahi ya Taifa ni makubwa zaidi ya mtu au chama.

Kipindi Rais Samia ameingia madarakani tulisihi tumpe MUDA aweze kuweka uchumi na nchi katika mstari.

CHADEMA wakajazwa upepo na ‘Team Space’ kuanzisha vuguvugu la Katiba Mpya.

Kosa ni kujaribu ku-Sabotage Rais Samia ashindwe ku-control na kuendesha nchi.
Tuliwaonya mkakaidi.

Endeleeni tu kujazwa upepo na “Team Space wenzenu wanapiga pesa wakati nyie mnabatizwa kwa moto cha kushangaza anachoongea Lema na Lissu marufuku kupinga.
Si dhani kama uko sahihi!
Binafsi nafahamu mbowe yuko korokoroni kwa kuwa na tuhuma za ugaidi.
Wewe hayo ya katiba umeyatoa wapi!
Labda kama unataka kufungua mashtaka mapya, tueleze
 
Kama ambavyo bunge limeshikiwa akili na Samia? amewaaminisha Spika ni mteule wa rais
Ni wewe tu na uelewa wako.
Kwanza tambua spika aanadhaminiwa na chama
Anateuliwa na kamati kuu yenye wajumbe 36 ambao theluthi 2 ni wateule wa Mwenyekiti. Kumbuka Rais ndio mwenyekiti wa chama pia
Bungeni Wabunge wa chama wanakaa kwenye Party CAUCUS kumpitisha mteule wa chama dhidi ya wagombea toka vyama vingine.
Wabunge nao wanategemea kuteuluwa na kamati kuu hiyohiyo
Hapo utajua Rais ana nguvu kiasi gani
Ndio maana Ndugai alijiuzulu baada kupishana naa Mwenyekiti wa chama ambaye pia ni RAIS
 
Wewe ulitakaje kwa mfano Spika awe Lema yaani wewe upo Chadema unataka kuwapangia cha kufanya chama kingine akili za Bavicha wanazijua wenyewe.
Bado muhimili wa mahakama kuweka jinsia Kama yako. Maana miwili tayari
 
Mleta mada imeandikwa kuwa 'heri kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi ukiwa umepiga magoti'
Hii kesi ni ya uzushi sema aliyebariki iende mahakamani aliamua hivyo kwa sababu zake, hata aliposema msamaha uombwe ili aachiwe anaombwa msamaha kwa kosa gani? Kesi ya mchongo halafu aombwe msamaha? Ni udhalilishaji huo!
Ila maandiko yanasema kuwa;
Kuna vitu sita anavyochukia Mungu;
Macho ya kiburi, ulimi wa uongo na mikono imwagayo damu isiyo na hatia.
Moyo uwazao matendo mabaya, miguu iliyo mepesi kukimbilia maovu.
Shahidi wa uongo asemae uongo.

Nae apandae mbegu za fitna kati ya watu.
ccm! ccm! ccm! ccm! kumbukeni kuna kiama
 
Wewe ulitakaje kwa mfano Spika awe Lema yaani wewe upo Chadema unataka kuwapangia cha kufanya chama kingine akili za Bavicha wanazijua wenyewe.
Sasa mbona wewe unawapangia CDM Cha kufanya?Ya CDM waachie wenyewe!
Halafu Uzi huu ni kama unakiri Mbowe kabambikwa kesi kutokana na madai yake ya Katiba mpya!
 
Wewe ulitakaje kwa mfano Spika awe Lema yaani wewe upo Chadema unataka kuwapangia cha kufanya chama kingine akili za Bavicha wanazijua wenyewe.
Sasa wewe uko CCM unapowapangia CHADEMA cha kufanya unakuwa na akili au tope?
 
Ndio tatizo la kuwa kundi maalum la Machinga...

Unatumika kama Kondomu, kisha soko lako linachomwa moto..
Mpuuzi
 
Mleta mada imeandikwa kuwa 'heri kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi ukiwa umepiga magoti'
Hii kesi ni ya uzushi sema aliyebariki iende mahakamani aliamua hivyo kwa sababu zake, hata aliposema msamaha uombwe ili aachiwe anaombwa msamaha kwa kosa gani? Kesi ya mchongo halafu aombwe msamaha? Ni udhalilishaji huo!
Ila maandiko yanasema kuwa;
Kuna vitu sita anavyochukia Mungu;
Macho ya kiburi, ulimi wa uongo na mikono imwagayo damu isiyo na hatia.
Moyo uwazao matendo mabaya, miguu iliyo mepesi kukimbilia maovu.
Shahidi wa uongo asemae uongo.

Nae apandae mbegu za fitna kati ya watu.
ccm! ccm! ccm! ccm! kumbukeni kuna kiama
Siku hizi mmekuwa walokole
 
Back
Top Bottom