CHADEMA sasa itakuwa na kadi za aina 5 za uanachama zitakazolipiwa viwango tofauti kwa mwaka

Wewe Katoe ushauri chatle
 
Tofauti na makanisa haya ya kilokole na chadema ipo wapi kwa pesa?
 
Haiwezekani wa 2500 akawa sawa na 200000 haitakaa itokee! Msajili anapaswa kuliingilia hili.

Ni ubaguzi wa kipato

Ahaa ahaaa nimecheka kwa nguvu, naona uko ccm kimwili, lakini kiroho bado uko cdm. Acha msajili wa chama, mwambie hata mama Samia aingilie au katibu Mkuu wa umoja wa mataifa.
 
Ushauri huu peleka chatle
 
I love this, I need to support my Party at the highest level. Thanks πŸ™πŸΎ for sharing Mkuu.
 
Unakuwa na Madaraja ya Uanachama kisha unasema Wanachama wote watakuwa na haki sawa?

Siyo kweli.

Chadema wafikiri upya hapa.
Tatizo wengi mnatumia makalio kufikiri....yaani wee unadhani chama kimefika pale Sababu ya watu kutoa viwango Sawa jinga kabisa
 
Kamanda,kusema kwamba huyu ni mwanachama bora kwa utofauti wa kadi si sawa.Utoaji wa hiari sawa

Hata kwenye ndege wote ni abiria, lakini kuna madaraja. Na wote wana sifa moja tu kuwa ni abiria. Unakwama wapi?
 
Tatizo wengi mnatumia makalio kufikiri....yaani wee unadhani chama kimefika pale Sababu ya watu kutoa viwango Sawa jinga kabisa
Mjinga Mamako.

Jifunze kujenga hoja bila kutukana watu usiowajua we Nguruwe Pori.

Hapo unapohisi Chama kimefika, Binafsi nimeshiriki sana kukiunga mkono Kwa ushauri na Pesa na hata viongozi wake walipoingia matatizoni na Serikali nimeshiriki kikamilifu (if that's what you wanted to know), ila huu utaratibu wanaotaka kuuanzisha wa kuuza Kadi Kwa mfumo wa madaraja utafanya wengine wajione inferior na wengine superior ndani ya Chama.
 
Kamanda,kusema kwamba huyu ni mwanachama bora kwa utofauti wa kadi si sawa.Utoaji wa hiari sawa

Hata kwenye ndege wote ni abiria, lakini kuna madaraja. Na wote wana sifa moja tu kuwa ni abiria. Unakwama wapi?

Ni suala la uelewa tu, chama hakina ruzuku, unategemea bila kutengeneza mtindo wa mwingine chama kitajiendeshaje? Hebu toa maoni wakati huu chama hakina ruzuku njia gani itumike?
 
Chama kinapendwa,
Waombe tu michango tutawachangia.
Lakini siyo kuuza kadi Kwa madaraja.
Hata kwenye Ndege aliyelipa pesa nyingi anapata upendeleo kuliko aliyelipia kidogo..
 
Chama kinapendwa,
Waombe tu michango tutawachangia.
Lakini siyo kuuza kadi Kwa madaraja.
Hata kwenye Ndege aliyelipa pesa nyingi anapata upendeleo kuliko aliyelipia kidogo..
Ni kweli kinapendwa, ila ufahamu kuwa cdm sio chama cha kijamaa bali ni cha kibepari. Kwenye ubepari madaraja ndio uhalisia. Ni vyema ujue itikadi ya chama.

Hata kwenye maisha yetu ya kawaida kabisa kuna madaraja maana huna ndio uhalisia wa maisha. Mfano hapa Dar kuna watu wana uwezo wa kuishi Osterbay, Msasani nk, na wengine tutaishia huku huku Mwananyamala, kwa mtogole nk. Hata kwenye elimu kuna wenye uwezo wanapeleka watoto wao shule za private nk. Huo ndio uhalisia wa maisha ya binadamu kuwa na madaraja
 
Ukianza kuleta tofauti za kipesa ndani ya Chama tarajia kuibuka Kwa tofauti za mitazamo na misimamo na hatimaye Chama kuyumba.

Maana aliyelipia Kadi ya Laki mbili akigombea nafasi kwenye chama dhidi ya waliolipa 2500 usishangae kwenye Kampeni akajinadi kuwa yeye amekichangia Chama pesa kubwa zaidi hivyo anastahili zaidi kupewa nafasi kuliko hao wenzake.
 

Kura unapewa kwa hela yako au ni za wanachama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…