dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Nilidhani unasema mjinga kumbe majanjaMbowe Ni mjanja sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilidhani unasema mjinga kumbe majanjaMbowe Ni mjanja sana
Wewe Katoe ushauri chatleWasiweke wawe na hadhi sawa... ukishatenganisha viwango umeweka madaraja.. jambo la maana ni kusema madaraja hayo yanakuja na ujiko upi... Sasa kuna vitu ambavyo wote wanaweza kuwa sawa (kama kupiga kura, kuomba nafasi za uongozi, n.k) lakini kuna vingine mnaweza kuwawekea ujiko kidogo... kwa mfano uliotolea...
Kuwe na ngazi ya Wafadhili - wanaotoa 3,000,000 kwenda juu... na hawa wanapewa hata vyeti au alama fulani za kujionesha kuwa wao ni wafadhili...
Tofauti na makanisa haya ya kilokole na chadema ipo wapi kwa pesa?1.Kadi ya bluu (2500) kwa mwaka
2.kadi ya fedha (25,000) kwa mwaka
3.kadi ya dhahabu (50,000) kwa mwaka
4.Kadi ya Platnum (100,000) kwa mwaka
5.Kadi ya Almasi (200,000) kwa mwaka
Huu ndio mpango mpya utaowezesha chama kujiendesha kwa mapato yake chenyewe badala ya pesa za ruzuku ambazo Chadema ilishazikataa kitambo kwa vile hazikuwa za halali.
MUHIMU SANA : Pamoja na kadi hizo kuwa na viwango tofauti lakini hadhi ya wanachama wote ni sawa , viwango tofauti vimewekwa kwa ubunifu tu ili kuongeza mapato ya Chama yatayowezesha kijiendeshe bila kukwama .
Ombi : Chadema ituwekee utaratibu sisi wengine tulio na uwezo wa kulipa zaidi ya hivyo viwango vyao hata kwa kutuandalia risiti maalum bila hata kubadilisha viwango vilivyowekwa , Kwa mfano naweza kulipa milioni 3 lakini nikaomba nipewe kadi ya bluu ambayo ada yake kwa mwaka ni 2500/= tu
View attachment 1800416
Haiwezekani wa 2500 akawa sawa na 200000 haitakaa itokee! Msajili anapaswa kuliingilia hili.
Ni ubaguzi wa kipato
Chukua Almasi itapendeza kiongozi wao wakiwa ubeligijiMatusi na uchawi ndio silaha ya Kapuku
Mjinga kama wewe unaharisha hapa ikiwa hata pakulala huna huko ugambani hakuna anaekujua asee ccm imewafanya misukule yakudumuMwenyekiti kashazeeka, kaishiwa ufanisi, wacha wajinga wapigwe
Ushauri huu peleka chatleMkiambiwa ni saccos mnakuja juu eti tunawatolea lugha za kuudhi.
====
Ni majukumu ya kukitumikia chama tu ndiyo yanatofautisha uanachama wa mtu. Ikifika mwanachama anatofautishwa na kadi ya chama chake kwa kigezo cha fedha na kadi hiyo ya chama inakaribia kabisa kuwa sawa na hisa...hicho siyo chsms tena bali saccos au kitu cha namna hiyo.
1.Kadi ya bluu (2500) kwa mwaka
2.kadi ya fedha (25,000) kwa mwaka
3.kadi ya dhahabu (50,000) kwa mwaka
4.Kadi ya Platnum (100,000) kwa mwaka
5.Kadi ya Almasi (200,000) kwa mwaka
Huu ndio mpango mpya utaowezesha chama kujiendesha kwa mapato yake chenyewe badala ya pesa za ruzuku ambazo Chadema ilishazikataa kitambo kwa vile hazikuwa za halali.
MUHIMU SANA : Pamoja na kadi hizo kuwa na viwango tofauti lakini hadhi ya wanachama wote ni sawa , viwango tofauti vimewekwa kwa ubunifu tu ili kuongeza mapato ya Chama yatayowezesha kijiendeshe bila kukwama .
Ombi : Chadema ituwekee utaratibu sisi wengine tulio na uwezo wa kulipa zaidi ya hivyo viwango vyao hata kwa kutuandalia risiti maalum bila hata kubadilisha viwango vilivyowekwa , Kwa mfano naweza kulipa milioni 3 lakini nikaomba nipewe kadi ya bluu ambayo ada yake kwa mwaka ni 2500/= tu
View attachment 1800416
Tatizo wengi mnatumia makalio kufikiri....yaani wee unadhani chama kimefika pale Sababu ya watu kutoa viwango Sawa jinga kabisaUnakuwa na Madaraja ya Uanachama kisha unasema Wanachama wote watakuwa na haki sawa?
Siyo kweli.
Chadema wafikiri upya hapa.
Inaruhusiwa kuwa na kadi za vyama tofauti??? Ya kijani inakutosha mwamba....Mimi niwekeeni hiyo Platnum!
Kumekucha MkuuI love this, I need to support my Party at the highest level. Thanks 🙏🏾 for sharing Mkuu.
Kamanda,kusema kwamba huyu ni mwanachama bora kwa utofauti wa kadi si sawa.Utoaji wa hiari sawa
Mjinga Mamako.Tatizo wengi mnatumia makalio kufikiri....yaani wee unadhani chama kimefika pale Sababu ya watu kutoa viwango Sawa jinga kabisa
Ndiyo Mkuu.Hayo yako
Kamanda,kusema kwamba huyu ni mwanachama bora kwa utofauti wa kadi si sawa.Utoaji wa hiari sawa
Mjinga Mamako.
Jifunze kujenga hoja bila kutukana watu usiowajua we Nguruwe Pori.
Hapo unapohisi Chama kimefika, Binafsi nimeshiriki sana kukiunga mkono Kwa ushauri na Pesa na hata viongozi wake walipoingia matatizoni na Serikali nimeshiriki kikamilifu (if that's what you wanted to know), ila huu utaratibu wanaotaka kuuanzisha wa kuuza Kadi Kwa mfumo wa madaraja utafanya wengine wajione inferior na wengine superior ndani ya Chama.
Chama kinapendwa,Hata kwenye ndege wote ni abiria, lakini kuna madaraja. Na wote wana sifa moja tu kuwa ni abiria. Unakwama wapi?
Ni suala la uelewa tu, chama hakina ruzuku, unategemea bila kutengeneza mtindo wa mwingine chama kitajiendeshaje? Hebu toa maoni wakati huu chama hakina ruzuku njia gani itumike?
Ni kweli kinapendwa, ila ufahamu kuwa cdm sio chama cha kijamaa bali ni cha kibepari. Kwenye ubepari madaraja ndio uhalisia. Ni vyema ujue itikadi ya chama.Chama kinapendwa,
Waombe tu michango tutawachangia.
Lakini siyo kuuza kadi Kwa madaraja.
Hata kwenye Ndege aliyelipa pesa nyingi anapata upendeleo kuliko aliyelipia kidogo..
Ukianza kuleta tofauti za kipesa ndani ya Chama tarajia kuibuka Kwa tofauti za mitazamo na misimamo na hatimaye Chama kuyumba.Ni kweli kinapendwa, ila ufahamu kuwa cdm sio chama cha kijamaa bali ni cha kibepari. Kwenye ubepari madaraja ndio uhalisia. Ni vyema ujue itikadi ya chama.
Hata kwenye maisha yetu ya kawaida kabisa kuna madaraja maana huna ndio uhalisia wa maisha. Mfano hapa Dar kuna watu wana uwezo wa kuishi Osterbay, Msasani nk, na wengine tutaishia huku huku Mwananyamala, kwa mtogole nk. Hata kwenye elimu kuna wenye uwezo wanapeleka watoto wao shule za private nk. Huo ndio uhalisia wa maisha ya binadamu kuwa na madaraja
Ukianza kuleta tofauti za kipesa ndani ya Chama tarajia kuibuka Kwa tofauti za mitazamo na misimamo na hatimaye Chama kuyumba.
Maana aliyelipia Kadi ya Laki mbili akigombea nafasi kwenye chama dhidi ya waliolipa 2500 usishangae kwenye Kampeni akajinadi kuwa yeye amekichangia Chama pesa kubwa zaidi hivyo anastahili zaidi kupewa nafasi kuliko hao wenzake.