CHADEMA sasa itakuwa na kadi za aina 5 za uanachama zitakazolipiwa viwango tofauti kwa mwaka

Nafasi za uongozi ndani ya Chadema ni sawa na mateso , hazina malipo unayoyadhani , ni za kujitolea hata uhai
 
Kazi ipo. Tena ngumu. Tangu Mwendazake jiwe alivyokuwa anatubana amefifisha sana ile morali vijana waliyokuwa nayo huku field.
Inabidi viongozi wa chama warudi tena kwa wananchi. Hii mambo ya press na matamko hatutaki tena. Waje field kabisa.
Huyo mwendazake mwenyewe yuko wapi leo ?
 
Mwenyekiti wa saccos naona kaja na mbinu mpya ya kukusanya pesa, kufidia ruzuku alizikosa. Nyumbu mnakazi kubwa sana.
 
Sijawahi kukiona hiki chama kikiwa na nia ya dhati kuwatoa watanzania katika umasikini zaidi ya ujanja ujanja tu na umangi meza. kaifieni mbali huko.
 
Sawa... kwa wanajiweza 2500 swafi
 
Sijawahi kukiona hiki chama kikiwa na nia ya dhati kuwatoa watanzania katika umasikini zaidi ya ujanja ujanja tu na umangi meza. kaifieni mbali huko.
Baada ya jiwe kuondoka naona vichaka vinafufuka
 
Una matatizo wew, ebu pumzisha ubongo wako kidogo
 
Mjinga kama wewe unaharisha hapa ikiwa hata pakulala huna huko ugambani hakuna anaekujua asee ccm imewafanya misukule yakudumu
Huu mchezo hauitaji hasira, wacha dawa ikuingie
 
Chama Cha kibaguzi sana hiki

Hayo madaraja ya Nini kama wote ni binadamu??

Huku CCM wote tunalipa ada moja, uwe Rais au Mkulima ada ni Moja.

Haya Watanzania nendeni Chadema mkabaguliwe.
Acha kujimwambafai wewe unadhani unaweza kutoa mchango wa chama kumzidi Rostam Aziz?
 
mnataka kuanza kula pesa za wananchi... mlizopora kwa wabunge wenu hazitoshi tu
 
Safi sn chadema...... Hiki ndio chama cha ukombozi wa Tanzania...... Huu ukoo qa panya walishashindwa kuomgoza nchi sasa wanajichotea tu pesa na kuvunja katiba na sheria za nchi mbwa hawa
chama cha ukombozi wa familia yako......
 
wapiga dili sasa mtaani kidigitali..........................
 
Acha kujimwambafai wewe unadhani unaweza kutoa mchango wa chama kumzidi Rostam Aziz?
Kajifunze Kwanza tofauti Kati ya ada ya uanachama na michango ya hiari ya wanachama.
 
Hiyo dhahabu ni material yake halisi au rangi ya dhahabu?

Binafsi siafiki utaratibu huu.

Itafikia wakati kwenye kugombea nafasi ndani ya chama watu watapeana kipaumbele kisa ada ya uanachama.
Sio hivyo tu,kutakua na matabaka ya kuheshimiana kwamba yule mwanachama mwenye kadi inayolipiwa fedha nyingi heshima take itakuwa kubwa zaidi ya yule mwenye kutoa pesa kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…