Uchaguzi 2020 CHADEMA: Taarifa tulizo nazo zinaonyesha Kampuni yenye makada wa CCM ndiyo itachapisha karatasi za kupigia kura...


Unaandika mifano mingi ukidhani ndio utatupoteza kwenye hoja ya msingi. Ungejibu tu nani mzabuni wa kuprint karatasi za kura. Hiyo mifano mingi ni kutaka kututoa kwenye hoja ya msingi. Kwa taarifa yako hata waliopendekeza mbinu hii, wanajua kabisa togwa limeingia nzi.
 
South African firm, Ms Ren-Form CC, will print ballot papers for the October General Election after winning a Sh14.4 billion tender.

The company was awarded the tender in May after defeating a Dubai-based firm, Ms Al Ghurair Printing and Publishing LLC, that is also known to have supplied ballot papers for the just-ended Malawi presidential election re-run

Source gazeti la The Citizen la Tarehe 30 June 2020.

Link:
South Africa firm to print Tanzania's 2020 ballot papers
 

Tunasubiri majibu ya NEC na wataweka ushahidi wa hiyo tender. Hii ni ya kusambaza dunia nzima ili kila mtu ajiridhishe na ukweli wa hilo.
 
Sisi hatutaki ushindi wa mezani,tunataka haki ifanyike
 

Hatuna tatizo lolote la kushindwa, tunataka mshindi halali full stop.
 
Tunasubiri majibu ya NEC na wataweka ushahidi wa hiyo tender. Hii ni ya kusambaza dunia nzima ili kila mtu ajiridhishe na ukweli wa hilo.
Wewe unataka majibu ya NEC au unataka kujua nani alieshinda tender?
Coz mwanzoni ulitaka uambiwe nani kashinda, umeambiwa now umebadili gia angani.

By theway mbona dunia inajua nani kashinda hio tender tangu mwezi June?Mnataka tujue mara ngapi labda?
Are you guys tryn to send a reminder to the world or telling them something they already knew about?
au mnataka muwasambazie kitu gani kipya wasichokijua kuhusu io tender?
 
Hatuna tatizo lolote la kushindwa, tunataka mshindi halali full stop.
Nyie wajinga kweli kweli, hivi nani atawapigia kura watu wenyewe ni vibaraka?? Mtakuwa mlikuwa mmejiandaa kijinga na makaratasi ya kuibia kura imekula kwenu wapumbavu kabisa. Ngoja uchaguzi uishe muone mtakavyopata tabu vibaraka wa mabeberu, lazima muhame nchi, maana hatutaki wasaliti ktk nchi yetu, lazima tuwakomeshe wajinga kabisa
 

Tume ndio wako responsible na majibu, ww sio mamlaka husika. Sina tatizo na maelezo yako lakini ww sio reliable source, uko na fake I'd ni kipi naweza kutegemea toka kwako? Kwahiyo nitegemee matokeo ya kura kwako?
 
Tena ni wajibu wa kila chama kujua ni karatasi ngapi zimetengenezwa ili kuzuia mianya ya wizi sio kupelekwa pelekwa tuu
 

Tuko kwenye nchi hii toka tumezaliwa, mbona hatujawahi kuondoka mbali ya unyama tuliofanyiwa? Au huo unyama utazidi wa hii miaka mitano inayoisha? Kura za halali kwetu sio za kutafuta, tunazo kibao, labda useme kingine lakini sio kura.
 
Ushahidi wa kupeleka/kujenga hoja ICC huanza kukusanywa kupitia mambo/matukio ya aina hii.
 
Yote hayo ni maendeleo ya vitu pia Jamana Printers watashitakiwa MIGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…