Uchaguzi 2020 CHADEMA: Taarifa tulizo nazo zinaonyesha Kampuni yenye makada wa CCM ndiyo itachapisha karatasi za kupigia kura...

Hizi ni dalili za wazi kabisa za kuishiwa sera mmeona hamna Cha kusema jukwaani Sasa mmehamia kwenye zabubi? Kwa kweli napata mashaka na wapinzani wa nchi hii
Maana ya demkrasia ni Accountability and transparent kwaiyo kila kitu kinatakiwa kiwe wazi
 
Sheria gani mwenyekiti wa Tume anampigia kampeni aliyemuweka Eti watanzania hawataki atakaeuza madini nje utazani CHADEMA ni wizara ya madini
 
Unafiki sio mzuri kwani ukisema ukweli utakufa?
 
Kwa nini aliyeshinda zabuni si aliyepewa zabuni hiyo?
 
CCM haipendwi na kila mtu na hakuna ilichofanya ndiyo maana inaiba kura
 
Mawazo aliuawa na nani mkuu?
 
Una ushahidi kua alieshinda sie aliepewa tender?
Ushahidi usio na shaka ninao, na nimewapatia NEC, ndio nasubiri walete utetezi wao kwa nini aliyeshinda zabuni si aliyepewa zabuni.
 
Ushahidi usio na shaka ninao, na nimewapatia NEC, ndio nasubiri walete utetezi wao kwa nini aliyeshinda zabuni si aliyepewa zabuni.
Hili ni Jukwaa la Great Thinker, where we dare talk openely.
Tuwekee na sisi huo ushahidi tuupitie.
By theway tangu lini Ushahidi akapelekewa Mtuhumiwa? You are violating the integrit ya ushahidi wenyewe.
 
Hili ni Jukwaa la Great Thinker, where we dare talk openely.
Tuwekee na sisi huo ushahidi tuupitie.
By theway tangu lini Ushahidi akapelekewa Mtuhumiwa? You are violating the integrit ya ushahidi wenyewe.
Una elimu gani tafadhali?
Unajua kuwa "great thinker" ni pamoja na kutokuweka wazi hadharani vitu ambavyo havitakiwi kuwa wazi?
Unajua pamoja na JF kuwa na kaulimbiu "where we dare to talk openly", bado kuna moderators kwa ajili ya kuchuja maudhui?
Unajua kuna nyaraka ambazo zina muhuri wa "siri" hazitakiwi kuwekwa hadharani?
NEC wakinipa majibu,nitayaweka wazi hapa Jukwaani.
 
Wizo mtupu , ufisadi mtupu.yaleyale ya mtoto wa dada kulipa fedha , mayanga construction.
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
CCM bila mbeleko hamna kitu na mnafrahia kabisa
 
Chama cha walalamikaji na wapiga ramli. Mnawaogopa sana ccm nyie! Mnawaota na kuwawaza kutwa yani
 
chadema ni chama cha hovyo sana,ujuaji mwingi mbele kiza
 
Nimeshangazwa sana na kauli ya katibu mkuu wa chama changu, kuhoji na kutaka kujua kampuni ambayo itachapisha karatasi za kupigia kura.

Hivi mpaka sasa ambapo zimebaki wiki mbili uchaguzi kufanyika Nec na Zec hawajazichapa hizi karatasi?

Hivi zikichapwa na Jamana printers kutakuwa na tick kwenye picha ya mgombea wa CCM?

Na kama chama chetu kikifahamu kuwa zinachapwa au zilishachapwa South Africa au hapa Tanzania itasaidia nini ili tupate ushindi? Na NEC hawakutangaza kampuni gani itafanya uchapaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…