Waweza kuta na wewe ni mama wa familia lakini ndiyo hivyo tenasiasa imewashinda sasa wanageukia zabuni
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waweza kuta na wewe ni mama wa familia lakini ndiyo hivyo tenasiasa imewashinda sasa wanageukia zabuni
Maana ya demkrasia ni Accountability and transparent kwaiyo kila kitu kinatakiwa kiwe waziHizi ni dalili za wazi kabisa za kuishiwa sera mmeona hamna Cha kusema jukwaani Sasa mmehamia kwenye zabubi? Kwa kweli napata mashaka na wapinzani wa nchi hii
Sheria gani mwenyekiti wa Tume anampigia kampeni aliyemuweka Eti watanzania hawataki atakaeuza madini nje utazani CHADEMA ni wizara ya madinihakuna lolote hapo ,mnunuzi wa vifaa hivyo ni Chadema au Tume ya uchaguzi?Tume wao siwana tumia sheria ya manunuzi ya umma ktk manunuzi yao.chadema wanataka wajue na karatasi zilipo chapishiwa ulikwisha ona wapi utopolo wa namna hii,ili nao wakale dili huko waje na zakwao?wanaomba waujue mfumo wa kuhesabu kura unavyofanya kazi hivi hawa wanaakili kweli?wanataka wakipewa ili waweze kuuingilia nakuja na matokeo yao Tume wana akili sana na wana weledi wakutosha.
Unafiki sio mzuri kwani ukisema ukweli utakufa?mmeanza kutafuta sababu hivyo kabla hata tarehe 28/10 haijafika, unachopswa kuelewa ni hiki hata karatasi za kupigia kura zingeandaliwa na tanzania daima, mwenyekiti wa tume awe Edwin Mtei na mkurugenzi wa tume ya uchaguzi awe Allute Mghwai Lisu Chadema na Tundu Lisu wenu hamtoboi kwa CCM na Magufuli.
Kwa nini aliyeshinda zabuni si aliyepewa zabuni hiyo?Wewe unataka majibu ya NEC au unataka kujua nani alieshinda tender?
Coz mwanzoni ulitaka uambiwe nani kashinda, umeambiwa now umebadili gia angani.
By theway mbona dunia inajua nani kashinda hio tender tangu mwezi June?Mnataka tujue mara ngapi labda?
Are you guys tryn to send a reminder to the world or telling them something they already knew about?
au mnataka muwasambazie kitu gani kipya wasichokijua kuhusu io tender?
Hakuna ulichokiandika mtoto haramu weweYote hayo ni maendeleo ya vitu pia Jamana Printers watashitakiwa MIGA
Mawazo aliuawa na nani mkuu?Kama waliua mwanafunzi wa chuo Iringa, mwananchi wa kawaida Mbeya; na kule Pemba kupiga watu mapanga na kuchoma maskani za CCM hawashindwi kuhujumu uchaguzi kwa kuvamia kampuni inayochapisha, na kuiba karatasi, kuichoma moto, kuwatisha wafanyakazi, ama hata kuwahonga pesa
Una ushahidi kua alieshinda sie aliepewa tender?Kwa nini aliyeshinda zabuni si aliyepewa zabuni hiyo?
Ushahidi usio na shaka ninao, na nimewapatia NEC, ndio nasubiri walete utetezi wao kwa nini aliyeshinda zabuni si aliyepewa zabuni.Una ushahidi kua alieshinda sie aliepewa tender?
Hili ni Jukwaa la Great Thinker, where we dare talk openely.Ushahidi usio na shaka ninao, na nimewapatia NEC, ndio nasubiri walete utetezi wao kwa nini aliyeshinda zabuni si aliyepewa zabuni.
Una elimu gani tafadhali?Hili ni Jukwaa la Great Thinker, where we dare talk openely.
Tuwekee na sisi huo ushahidi tuupitie.
By theway tangu lini Ushahidi akapelekewa Mtuhumiwa? You are violating the integrit ya ushahidi wenyewe.
CCM bila mbeleko hamna kitu na mnafrahia kabisa
Kweli bro,chadema ni chama cha hovyo sana,ujuaji mwingi mbele kiza
Kuna unafiki gani kamanda mwenzangu?Mnafiki katika ubora wake!