Uchaguzi 2020 CHADEMA: Taarifa tulizo nazo zinaonyesha Kampuni yenye makada wa CCM ndiyo itachapisha karatasi za kupigia kura...

Uchaguzi 2020 CHADEMA: Taarifa tulizo nazo zinaonyesha Kampuni yenye makada wa CCM ndiyo itachapisha karatasi za kupigia kura...

Hizi ni dalili za wazi kabisa za kuishiwa sera mmeona hamna Cha kusema jukwaani Sasa mmehamia kwenye zabubi? Kwa kweli napata mashaka na wapinzani wa nchi hii
Maana ya demkrasia ni Accountability and transparent kwaiyo kila kitu kinatakiwa kiwe wazi
 
hakuna lolote hapo ,mnunuzi wa vifaa hivyo ni Chadema au Tume ya uchaguzi?Tume wao siwana tumia sheria ya manunuzi ya umma ktk manunuzi yao.chadema wanataka wajue na karatasi zilipo chapishiwa ulikwisha ona wapi utopolo wa namna hii,ili nao wakale dili huko waje na zakwao?wanaomba waujue mfumo wa kuhesabu kura unavyofanya kazi hivi hawa wanaakili kweli?wanataka wakipewa ili waweze kuuingilia nakuja na matokeo yao Tume wana akili sana na wana weledi wakutosha.
Sheria gani mwenyekiti wa Tume anampigia kampeni aliyemuweka Eti watanzania hawataki atakaeuza madini nje utazani CHADEMA ni wizara ya madini
 
mmeanza kutafuta sababu hivyo kabla hata tarehe 28/10 haijafika, unachopswa kuelewa ni hiki hata karatasi za kupigia kura zingeandaliwa na tanzania daima, mwenyekiti wa tume awe Edwin Mtei na mkurugenzi wa tume ya uchaguzi awe Allute Mghwai Lisu Chadema na Tundu Lisu wenu hamtoboi kwa CCM na Magufuli.
Unafiki sio mzuri kwani ukisema ukweli utakufa?
 
Wewe unataka majibu ya NEC au unataka kujua nani alieshinda tender?
Coz mwanzoni ulitaka uambiwe nani kashinda, umeambiwa now umebadili gia angani.

By theway mbona dunia inajua nani kashinda hio tender tangu mwezi June?Mnataka tujue mara ngapi labda?
Are you guys tryn to send a reminder to the world or telling them something they already knew about?
au mnataka muwasambazie kitu gani kipya wasichokijua kuhusu io tender?
Kwa nini aliyeshinda zabuni si aliyepewa zabuni hiyo?
 
CCM haipendwi na kila mtu na hakuna ilichofanya ndiyo maana inaiba kura
 
Kama waliua mwanafunzi wa chuo Iringa, mwananchi wa kawaida Mbeya; na kule Pemba kupiga watu mapanga na kuchoma maskani za CCM hawashindwi kuhujumu uchaguzi kwa kuvamia kampuni inayochapisha, na kuiba karatasi, kuichoma moto, kuwatisha wafanyakazi, ama hata kuwahonga pesa
Mawazo aliuawa na nani mkuu?
 
Ushahidi usio na shaka ninao, na nimewapatia NEC, ndio nasubiri walete utetezi wao kwa nini aliyeshinda zabuni si aliyepewa zabuni.
Hili ni Jukwaa la Great Thinker, where we dare talk openely.
Tuwekee na sisi huo ushahidi tuupitie.
By theway tangu lini Ushahidi akapelekewa Mtuhumiwa? You are violating the integrit ya ushahidi wenyewe.
 
Hili ni Jukwaa la Great Thinker, where we dare talk openely.
Tuwekee na sisi huo ushahidi tuupitie.
By theway tangu lini Ushahidi akapelekewa Mtuhumiwa? You are violating the integrit ya ushahidi wenyewe.
Una elimu gani tafadhali?
Unajua kuwa "great thinker" ni pamoja na kutokuweka wazi hadharani vitu ambavyo havitakiwi kuwa wazi?
Unajua pamoja na JF kuwa na kaulimbiu "where we dare to talk openly", bado kuna moderators kwa ajili ya kuchuja maudhui?
Unajua kuna nyaraka ambazo zina muhuri wa "siri" hazitakiwi kuwekwa hadharani?
NEC wakinipa majibu,nitayaweka wazi hapa Jukwaani.
 
Wizo mtupu , ufisadi mtupu.yaleyale ya mtoto wa dada kulipa fedha , mayanga construction.
 
Chama cha walalamikaji na wapiga ramli. Mnawaogopa sana ccm nyie! Mnawaota na kuwawaza kutwa yani
 
chadema ni chama cha hovyo sana,ujuaji mwingi mbele kiza
 
Nimeshangazwa sana na kauli ya katibu mkuu wa chama changu, kuhoji na kutaka kujua kampuni ambayo itachapisha karatasi za kupigia kura.

Hivi mpaka sasa ambapo zimebaki wiki mbili uchaguzi kufanyika Nec na Zec hawajazichapa hizi karatasi?

Hivi zikichapwa na Jamana printers kutakuwa na tick kwenye picha ya mgombea wa CCM?

Na kama chama chetu kikifahamu kuwa zinachapwa au zilishachapwa South Africa au hapa Tanzania itasaidia nini ili tupate ushindi? Na NEC hawakutangaza kampuni gani itafanya uchapaji?
 
Back
Top Bottom