Uchaguzi 2020 CHADEMA: Taarifa tulizo nazo zinaonyesha Kampuni yenye makada wa CCM ndiyo itachapisha karatasi za kupigia kura...

Uchaguzi 2020 CHADEMA: Taarifa tulizo nazo zinaonyesha Kampuni yenye makada wa CCM ndiyo itachapisha karatasi za kupigia kura...

Meko na genge lake mwaka huu watatema ulimi,utakuta kura zimewekwa mpka majumbani kwa hao makada ila wasambaze watupige
 
Hivi unadhani unaongea na mtu mwenye uelewa finyu wa mambo? Nina uzoefu na mambo ya nchi hii. Mtu kupewa tender ni jambo moja, utekelezaji wa tender ni jambo jingine. Nina mifano lukuki wa mambo hayo, ukitaka naweza kukupa mifano halisi.
Umetaka kujua aliepewa tender ukapewa...ukabadili hoja unataka reliable source...ukapewa reliable source, now umebadili hoja unazungumzia habari nyingine tofauti ambayo haikuwemo ktk hoja zako zote za mwanzo...will you run out of excuses kweli?...sarakasi nyingi...nway lets call it a day Mkuu...
 
Kumaliza haya matatizo Ni kutokuwa na tume inayoteuliwa na mwenyekiti wa ccm.
 
Nyie wajinga kweli kweli, hivi nani atawapigia kura watu wenyewe ni vibaraka?? Mtakuwa mlikuwa mmejiandaa kijinga na makaratasi ya kuibia kura imekula kwenu wapumbavu kabisa. Ngoja uchaguzi uishe muone mtakavyopata tabu vibaraka wa mabeberu, lazima muhame nchi, maana hatutaki wasaliti ktk nchi yetu, lazima tuwakomeshe wajinga kabisa
Free and Fair election full stop ...habari ya vibaraka au hapakazi tuu its due raia aamumwe .
 
Wewe Mnyika wewe uliomba hiyo tenda ukakosa ??

Hebu acha blablah andaa mawakala wa kutosha usijelalamika na hilo
 
Hivieeee kama nawaona mtakavyokua manakimbizana kuendesha kuanzia tarehe 28. Andaeni ticket kurudi kwa bwana wenu Amstadam kabla ya aibu ya mwaka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Siyo kila mtu ni hater, wengine tupo neutral, tunaona upande wa uonevu na upande wa waovu.
Kwani kubadirika ni dhambi?
 
Chama cha wasiwasi, kinaongozwa na wenye wasiwasi, kila siku wanaamka na wasiwasi na kuongea kwao ni wasiwasi na kila wanachokifanya wana wasiwasi nacho, sisi wananchi hatukutaki watatuletee wasiwasi.
Wagombea wa ccm huwa wanatuambia Tuache Kutegemea Kuajiriwa Na Serikali, Tujitegemee Na Tujiajiri Wenyewe!! Wakati Wao Wanatuomba Kura Ili Tuwape Ajira Waajiriwe Na wananchi.

TUSAIDIANE MAWAZO HAPA VIJANA WENZANGU, HAWA WATU ZIMO KWELI VICHWANI MWAO ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siasa imewashinda sasa wanageukia zabuni
Sio Kila kitu lazima uelewe jombaa
Sometime Kuna Mambo makubwa kuliko akili yako huwezi kuelewa
Kuna wajuba siasa zilishawashinda kitambo wamebaki na fiesta majukwaani plus utemi mitaani na hatari Ni kwamba ukifungamana nao tu akili zote zinaama kichwa
Sasa tunachoweza kufanya Ni kukuombeeni Mungu tu
 
Umetaka kujua aliepewa tender ukapewa...ukabadili hoja unataka reliable source...ukapewa reliable source, now umebadili hoja unazungumzia habari nyingine tofauti ambayo haikuwemo ktk hoja zako zote za mwanzo...will you run out of excuses kweli?...sarakasi nyingi...nway lets call it a day Mkuu...

Narudia tena, najua utendaji kazi na mwenendo wa maamuzi yake. Usiende mbali, subiri tume waje na maelezo yake kisha utaendelea na mjadala.
 
Wagombea wa ccm huwa wanatuambia Tuache Kutegemea Kuajiriwa Na Serikali, Tujitegemee Na Tujiajiri Wenyewe!! Wakati Wao Wanatuomba Kura Ili Tuwape Ajira Waajiriwe Na wananchi.

TUSAIDIANE MAWAZO HAPA VIJANA WENZANGU, HAWA WATU ZIMO KWELI VICHWANI MWAO ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasiwasi na mashaka ni ndugu zenu, mkiamuka mnatuma ujumbe wa kuonyesha mnavyoishi kwa wasiwasi, Vijana nawashauri kujitenga na vyama vya aina hii, vinginevyo leo yenu ni wasiwasi, kesho yenu ni wasiwasi na uzee wenu utakuwa wasiwasi.
 
Dah hawa jamaa punguani kweli kweli, si ndiyo hao walidai ujenzi wa bwawa la stigler haukufuata taratibu? Baada ya kushushiwa nondo haya wamekuja na mapya tena. Hivi mnadhani serikali ya awamu ya tano inabahatisha? Jiulizeni mlivyoumbuka corona na huu uchaguzi umewabua uchi wa mnyama, mmejulikana ni vibaraka wa wazungu mpaka mkakodisha mzungu awasemee, hakika mlishashindwa vibaya mno na historia ilishawahukumu kwa usaliti
Hakuna la maana uliloandika ata CCM ikiondoka utakula tu.
 
Dah hawa jamaa punguani kweli kweli, si ndiyo hao walidai ujenzi wa bwawa la stigler haukufuata taratibu? Baada ya kushushiwa nondo haya wamekuja na mapya tena. Hivi mnadhani serikali ya awamu ya tano inabahatisha? Jiulizeni mlivyoumbuka corona na huu uchaguzi umewabua uchi wa mnyama, mmejulikana ni vibaraka wa wazungu mpaka mkakodisha mzungu awasemee, hakika mlishashindwa vibaya mno na historia ilishawahukumu kwa usaliti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hivi kweli na wewe ni kiumbe hai?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Munaomba vitu vingi ilihali mnajua hakuna litakalotekelezwa
 
Back
Top Bottom