CHADEMA tubuni dhambi ya kushangilia kifo cha Magufuli ndiyo mje Mwanza

Danganya chawa wenzako tu, jumamosi mwanza hapatoshi
Sawa lakini naamini mtamtaja Jembe kwa mazuri tu.
Viongozi wako wanalijua hilo, nyie chawa uchwara mnajua pia lakini mnajifanya hamnazo.
 
Ujumbe huo pia wafikishie CCM kuwa,

Wasithubutu kumkejeli au kumtukana Magu majukwwaani maana Wataanguka kisiasa.

Maana nimegundua nchini Pana makundi makubwa 3.

1. CCM. 2. UPINZANI. 3. WAZALENDO wanaomtazama Magu kama SHUJAA ktk kutatua changamoto mbalimbali kisiasa ktk Nchi kupitia utendaji wake.
 
Yaonglewe mara 2? Kwenye kampeni dhalimu alikuwa anasemwa wazi wazi, akaishia kukaa garage kila baada ya mikutano miwili ya kampeni.
Sawa mkuu, karibuni sana mumseme waziwazi huyo unae muita dhalimu.
 
Aombe radhi kwanza kwa usaliti wake.
 
chadema haina jipya.wenyewe walete Hela zao tule wapite kule
 
Lissu hana dhambi yoyote ile kuhusu Serikali labda mwenye dhambi ni wewe kwa kumchukia Tundu Lisu kwa kosa ambalo hajawahi kutendea au kulikosea Taifa sababu tu kulikuwa mtu alikuaminisha kuwa Lissu ni adui wa maendeleo.
Mimi ni mtu mwenye fikra huru.

Simchukii LISU. Namkubali Lissu ktk yafuatayo.

1. Ni JASIRI 2. INTELLIGENT 3.Mwanasheria mahiri. 4. Mtetezi wa wananchi wasio na uwezo.

MAPUNGUFU ya LISSU.

1. Kutokubali STRENGTH za WAPINZANI wake.

Mfano mzuri ni jinsi alivyopinga Kila kitu alichofanya Magu, upinzani wa namna hii ni WA kizamani.

Anatakiwa kukubali ikiwa Watawala wamefanya vizuri ktk jambo Fulani na baada ya hapo akatoa namna Bora zaidi ambayo wao wanaweza fanya wakipewa nafasi.

2. KUTETEA BARRICK na ACCACIA.

Mtu huyu sijawahi kumuelewa labda kama nitakutana naye na kuhojiana naye face to face.

Alikubali AJIRA ya kuwatetea Kampuni inayokandamiza wananchi. Akalipwa pesa na akasimama dhidi ya Serikali ktk case za kimataifa,

Kwangu mm nilimuona kama msaliti. Alipasa ajiuzulu uongozi wa CDM Ili akafanye KAZI yake kama professional Kwa maslah yake binafsi na Si kukaa nafasi zote mbili.

.
 
CHADEMA hawana sera za kuwaambia Wanamwanza, kiufupi hawana sera kabisa safari hii. Watakuja na maneno ya uchonganishi tu, na kumbukizi za wapendwa wao walitangulia mbele za haki. Mambo waliyo yapigia kelele mtangulizi wa Rais Samia alianzisha machakato na sasa Rasi Samia anamalizia kuyafanya na mengine mengi anayashughulikia. Yule gaidi uchwara tangu aachiwe hana nguvu kisiasa, zaidi kunasiku anaweza akaunga mkono juhudi maana ile kesi ilikua inamuondoa kwenye mstari.
 
Nakuona unavyofurahia kifo cha nduli Magufuli kwa mbaali! Sasa umeamua kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa machawa!
 
Na le Nsukuma getegete Nzagamba ya Maganzo

Makamanda Karibuni sana Nyanza

Sisiemu Ng'wanza wamepela komatongo
 
Siku hizi kesi za UCHOCHEZI hazipo.
 
Chadema ni [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]tu
 
Mwambie mama Yako atubu kwanza Kwa kusaliti baba yako
 
Hivi ile wa 2020 ulikua uchaguzi?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…