Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Tulia kidogo,ukila CDM,ukinawa CDM,ukilala CDM,ukiamka CDM pumzika kidogo Bwana mdogo.Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika.
Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena.
Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
The truth is the truthTulia kidogo,ukila CDM,ukinawa CDM,ukilala CDM,ukiamka CDM pumzika kidogo Bwana mdogo.
Naomba tuheshimiane we kidampa.Huhuhuuuuu hili ni ingizo jipya kwenye wale chawa waliozinduliwa na mayor wa DSM
Niliambiwa eti wewe siku hizi no mganga wa kienyeji kumbe kweli! Makubwa subiri uone Kwanza ndo uongee usije aibika bure.Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika.
Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena.
Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
Kweli ni chawa asiyechoka umenipigia broken moja hapo hatari SanaThe truth is the truth
Wewe unakosea chawa wenzio hawajistukiagi hivyo ... Maana hiyo staili ndio unazidi kuwaongezea milage CDM na kuonyesha jinsi gani Mambuzi unamcehecheto na ni jinsi gani mnahofia mikutano maana mnajua ndio kifo chenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika.
Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena.
Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
Nimekuona kwenye uzinduzi wa Chawa wa mama , ukiwa pembeni ya Steve Nyerere , hongereni sana kwa uzinduziNguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika.
Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena.
Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
Tumia akili sio makamasi.Nimekuona kwenye uzinduzi wa Chawa wa mama , ukiwa pembeni ya Steve Nyerere , hongereni sana kwa uzinduzi
Tunasemea mwanza ya MwanzaUnaongelea mwanza ipi wewe chawa? Subiri tukuoneshe nguvu ya cdm hapa mwanza. Tumejipanga na tupo tayari
Ndugu kamanda mchomvu,hivi juzi huja kabidhiwa uchawa😂Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika.
Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena.
Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
Unaonaje waje wazindulie sebuleni kwako?Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika.
Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena.
Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
Hii nini unaandika?Unaonaje waje wazindulie sebuleni kwako?
Kajifunze kuandika kwanza. Alafu ujifunze kusoma baadae.Ndugu kamanda mchomvu,hivi juzi huja kabidhiwa uchawa😂
Chawa kunguni viroboto papasi mende teh teh...Naomba tuheshimiane we kidampa.
Wape fursa waje wazundulie sebuleni kwako maana kwako si ndiko mnawakubali sana CHADEMA kuliko kanda ya ziwa...Hii nini unaandika?
Sawa kamanda mchomvu kwa ushauri,ila nimekuwa na jitihada za kujifunza kuandika pamoja na kusoma na umekuwa na mchango mzuri kwangu,nitazidisha juhudi baada ya uzinduzi wa machawa🤔Kajifunze kuandika kwanza. Alafu ujifunze kusoma baadae.
Hapa ndipo makamanda huwa tunafeliWape fursa waje wazundulie sebuleni kwako maana kwako si ndiko mnawakubali sana CHADEMA kuliko kanda ya ziwa...