econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika.
Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena.
Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
Sasa si ndio maana wameenda huko walipopoteza mvuto kuanzia huko, ili kufufua chama.