Mwakipande alishafariki, unaonaje mkuu ukaenda kumrithi?wewe sio msemaji wa CDM, wewe sio msemaji wa watanzania wanaounga mkono Sera za CDM,huu usemaji umeutoa wapi?,kweli nchi ujinga bado umetamalaki hasa kwa wajinga kama weweNguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika.
Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena.
Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.