Mwakipande alishafariki, unaonaje mkuu ukaenda kumrithi?wewe sio msemaji wa CDM, wewe sio msemaji wa watanzania wanaounga mkono Sera za CDM,huu usemaji umeutoa wapi?,kweli nchi ujinga bado umetamalaki hasa kwa wajinga kama weweNguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika.
Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena.
Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
Wewe na nani? Unafeli wewe unayeshindwa kuwasaidia makamanda wenzako waje wazindue mkutano kwakoHapa ndipo makamanda huwa tunafeli
Ulipaswa ufanye tathimini juu ya hoja yenye mashikoWewe na nani? Unafeli wewe unayeshindwa kuwasaidia makamanda wenzako waje wazindue mkutano kwako
PointlessTayari mshaanza kuweweseka, tulia, mmeambiwa mjini hoja kwa takwimu, Sasa mbona CHAWA unaanza kudemka 😃😃
Mtu akisema kweli mnabakia kudai ni MccMTayari mshaanza kuweweseka, tulia, mmeambiwa mjini hoja kwa takwimu, Sasa mbona CHAWA unaanza kudemka 😃😃
The truth is the truth
No.Truth is a matter of perception
Wewe siyo mshauri wa CDM, pambansa na hali yako kivingine.Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika.
Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena.
Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
Haki ya msingi ya kujieleza.Wewe siyo mshauri wa CDM, pambansa na hali yako kivingine.
Mkuu tathmini si ndiyo hiyo...tathimini ipi tena unataka?Ulipaswa ufanye tathimini juu ya hoja yenye mashiko
Je, Mwanza sisi bado tuna ushawishi?Mkuu tathmini si ndiyo hiyo...tathimini ipi tena unataka?
Siyo kupanga almradi vurugu.Haki ya msingi ya kujieleza.
Hatuna mkuu. Ushawishi upo sebuleni kwakoJe, Mwanza sisi bado tuna ushawishi?
Majibu ya kunya nenda ukamjibu mumeo.Hatuna mkuu. Ushawishi upo sebuleni kwako
Mkuu ina maana umeachana na yule bwana wako?Majibu ya kunya nenda ukamjibu mumeo.
Yupi?Mkuu ina maana umeachana na yule bwana wako?
Ina maana una wengi sana?Yupi?
NdioIna maana una wengi sana?