CHADEMA tulishapoteza mvuto na nguvu Mwanza na Kanda ya Ziwa. Kuzindua mikutano Kanda ya Mwanza haisaidii

Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika.

Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena.

Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
Waache waje wawasaidie CCM kusomba watu kutoka maeneo tofauti.
 
Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika.

Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena.

Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
Umepoteza mvuto wewe peke yako na uccm wako
 
Huko kwenu CCM watu hawataki kugombea nafasi mbalimbali baada ya chama kuleta maisha magumu kwa wananchi wa Tanzania🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
 
Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika.

Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena.

Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
wanasumbuka tu huko, hawakuwa na akili kumtukana marehemu akiwa amekufa na kuzikwa
 
Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika.

Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena.

Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
Modes tafadhali heading isomeke.. CDM washapoteza mvuto na sio CDM tushapoteza mvuto! Modes kwann mnaendekeza wanafiki kama huyu mamluki toka Lumumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…