Unafikiri yupi anaepoteza zaidi..?
Unamwitaje mwenzako Mbigiri??.Tumia akili wewe mbigiri, bunge limejaa CCM 99 %. Huoni ni Maccm tu haya? Alafu mimi sio kada wa Ccm
We pimbi hao Wabunge na spika si wanalipwa KWA hela ya kodi ya Wana chademaTumia akili wewe mbigiri, bunge limejaa CCM 99 %. Huoni ni Maccm tu haya? Alafu mimi sio kada wa Ccm
Ndio ninihaya kapokee buku 7 yako hapo kwa Shaka chaap.
Unafikiri yupi anaepoteza zaidi..?
Swala la usahihi ni juu ya mvuaji lakini nachosemea ni ubora wa uvuvi!.Nashukuru umekiri kwamba CHADEMA wana samaki wazuri kiasi kwamba CCM wanapenda kuwavua maana Wana impact nzuri. Ila acha cha kuwa biased, kwa hivyo usahihi upo kwa CCM kuvua samaki ila sio kwa CHADEMA?. CHADEMA waliwahi kuvua samaki CCM ikawaltea faida kuliko CCM walivyotarajia, mpaka kuweka katazo la mikutano ya nje ya siasa kwa miaka sita Sasa.
Potential but they are going to work on other side!,tamaa bado inatafuna imani za mmoja mmoja na hii ndio inanifanya nisiamini vyama pekee ila niamini kitu nyuma ya pazia.Anayepoteza au anayeonekana imara?. Yani CCM ya miaka karibia 45 imekosa watu mpaka ikatafute kina katamb, Gekuli , nassari na silinde iwatoe CHADEMA. CCM imewahi kuwa na katibu Mkuu mwanachama wa CUF aliyeletwa na Hayati Magufuri. Hii inaonesha upinzani wana watu potential.
Daudi Mchambuzi hawa jamaa wanatupa makavu.Hoja zilikuwepo kipindi cha Slaa!
Tangu wamfanye gawajima kuwa mshenga wao wa kumleta Lowasa chamani, wakawa kama kuku aliekatwa kichwa
hayo makavu ndiyo mazuri yatasababisha Shaka akulipe buku 7 yako chaap.Daudi Mchambuzi hawa jamaa wanatupa makavu.
Pumbavu mkubwahayo makavu ndiyo mazuri yatasababisha Shaka akulipe buku 7 yako chaap.
safi sana,Pumbavu mkubwa
Sema Chadema wame.. na sio tume...!Kila sekeseke la WanaCCM sisi ni mashibiki. Alivyofukuzwa uspika Ndugai tukageuka kuwa mashabiki.
Sasa tena sekeseke la uchaguzi wa Spika tumegeuka kuwa washabiki. Duh kweli huu ni uzoba wa kisiasa.
Kichaa sio lazima lolote MAKOPO hata kuandika Upuuzi kama uliouandikaKila sekeseke la WanaCCM sisi ni mashibiki. Alivyofukuzwa uspika Ndugai tukageuka kuwa mashabiki.
Sasa tena sekeseke la uchaguzi wa Spika tumegeuka kuwa washabiki. Duh kweli huu ni uzoba wa kisiasa.
Tangu lin nawe acha uzuzu! Kindakindaki my foot!!!Kusema kweli imekua kosa? Mimi ni Chadema kindakindaki.
Title ndefu kuliko content, maana yake umeandika ujingaKila sekeseke la WanaCCM sisi ni mashibiki. Alivyofukuzwa uspika Ndugai tukageuka kuwa mashabiki.
Sasa tena sekeseke la uchaguzi wa Spika tumegeuka kuwa washabiki. Duh kweli huu ni uzoba wa kisiasa.