CHADEMA tumegeuzwa mazoba wa kisiasa. Tumegeuzwa washabiki wa matukio ya WanaCCM. Sasa hivi tunashabikia uchaguzi wa spika wa CCM

CHADEMA tumegeuzwa mazoba wa kisiasa. Tumegeuzwa washabiki wa matukio ya WanaCCM. Sasa hivi tunashabikia uchaguzi wa spika wa CCM

Unafikiri yupi anaepoteza zaidi..?

..inategemea umesimamia wapj kwa hoja zipi.

..kwa mfano,.polisi walioamrishwa kumdhulumu Lijualikali wana mtizamo gani kuhusu viongozi waliowageuka na kumteua Lijualikali kuwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya wilaya?
 
Unafikiri yupi anaepoteza zaidi..?

Anayepoteza au anayeonekana imara?. Yani CCM ya miaka karibia 45 imekosa watu mpaka ikatafute kina katamb, Gekuli , nassari na silinde iwatoe CHADEMA. CCM imewahi kuwa na katibu Mkuu mwanachama wa CUF aliyeletwa na Hayati Magufuri. Hii inaonesha upinzani wana watu potential.
 
Nashukuru umekiri kwamba CHADEMA wana samaki wazuri kiasi kwamba CCM wanapenda kuwavua maana Wana impact nzuri. Ila acha cha kuwa biased, kwa hivyo usahihi upo kwa CCM kuvua samaki ila sio kwa CHADEMA?. CHADEMA waliwahi kuvua samaki CCM ikawaltea faida kuliko CCM walivyotarajia, mpaka kuweka katazo la mikutano ya nje ya siasa kwa miaka sita Sasa.
Swala la usahihi ni juu ya mvuaji lakini nachosemea ni ubora wa uvuvi!.
Samaki anaovua cdm ni angamizo kwake na hawana pumzi za muda mrefu ndio maana wanajirudi kwa mvuvi mkuu.. all in all ningependa kuona cdm ikiimarika ila Kuna kitu nataka kiimarike zaidi ya ccm na cdm!, something behind our eyes.
 
Hoja zilikuwepo kipindi cha Slaa!

Tangu wamfanye gawajima kuwa mshenga wao wa kumleta Lowasa chamani, wakawa kama kuku aliekatwa kichwa
 
Anayepoteza au anayeonekana imara?. Yani CCM ya miaka karibia 45 imekosa watu mpaka ikatafute kina katamb, Gekuli , nassari na silinde iwatoe CHADEMA. CCM imewahi kuwa na katibu Mkuu mwanachama wa CUF aliyeletwa na Hayati Magufuri. Hii inaonesha upinzani wana watu potential.
Potential but they are going to work on other side!,tamaa bado inatafuna imani za mmoja mmoja na hii ndio inanifanya nisiamini vyama pekee ila niamini kitu nyuma ya pazia.

Naomba tuishie hapa mkuu.
 
Kila sekeseke la WanaCCM sisi ni mashibiki. Alivyofukuzwa uspika Ndugai tukageuka kuwa mashabiki.

Sasa tena sekeseke la uchaguzi wa Spika tumegeuka kuwa washabiki. Duh kweli huu ni uzoba wa kisiasa.
Sema Chadema wame.. na sio tume...!

Screenshot_20211029-110122.png
 
Kila sekeseke la WanaCCM sisi ni mashibiki. Alivyofukuzwa uspika Ndugai tukageuka kuwa mashabiki.

Sasa tena sekeseke la uchaguzi wa Spika tumegeuka kuwa washabiki. Duh kweli huu ni uzoba wa kisiasa.
Title ndefu kuliko content, maana yake umeandika ujinga
 
Back
Top Bottom