GE2025 CHADEMA: Tumepata taarifa ya Tundu Lissu kutaka kupewa sumu

GE2025 CHADEMA: Tumepata taarifa ya Tundu Lissu kutaka kupewa sumu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa nini usiache watu wenye akili timamu waijadili mada? Au umechanganyikiwa kuona ulichotumwa kukifanya kimefahamika kabla hujatekeleza?
Wewe aliyekuambia una Akili za kuona mada ni nani? Kwa upumbavu wako unaweza jadili nini wakati Akili huna , kitu gani cha maana unaweza jadili kwa weledi? Acha kuvuta Bangi ukajidanganya kuwa una Akili wakati kichwani umejaa moshi wa bangi na kamasi tele, kama kuchanganyikiwa ni wewe unayetetea uovu uonevu mateso manyanyaso utekaji mauaji kwa chadema
 
Adui namba one wa Lisu ni Mbowe kwa sasa ingawa ibirisi wa ccm wanamchukia sana lakini wanaoshirikiana na uovu uonevu Mbowe kwa karibu sana na chochote kibaya kikimtokea Lisu Mbowe anahusika,
 
Huu ni upuuzi mwingine wenye lengo la kukusanya pesa kutoka kwa mabwana zenu. No Reporn No Errection.
ccm ndiyo ombaomba misaada kwa wazungu hata uchaguzi wa ndani ccm ndiyo ombaomba pesa kwa makampuni na matajiri, ccm ni chama matonya licha ya kukwapua mabilioni Hazina
 
Tulimpoteza MAGUFULI .

Tulimpoteza Mkapa.

Tulimpoteza Nyerere .

Kuna Watu ambao VIFO vyao Kwa Taifa ni Hasara kwakua Taifa linakua Limepoteza Tunu na MTU ambaye ni Nguzo Kwa Taifa !!.


Nimerudia mara nyingi , AKILI YA TUNDU LISSU, ni akili inayopaswa kutumika kulisaidia Taifa.

Wahuni na genge lao wapo na speed, speed yao imetokana na Ukweli kua wamejitambua Sasa kua Anguko lao ni la uhakika

Ni speed hii hiii inayowafanya Wahuni wajaribu kutumia Mbinu za Mauaji ama kuchelewesha Anguko lao au kujaribu kugeuza Hatima ya Anguko lao !!.
 
Back
Top Bottom